Kwa mliooa wanawake waliowazidi umri

Kwa mliooa wanawake waliowazidi umri

Wakuoa ni yule ulo mpenda naye akakupenda kwa mapenzi ya dhati na mkawa mnaendana tabia na malengo.Hizo ndio sifa za muhimu.ukimpenda mtu hata maswala ya umri hutayafikiria
Mkuu yaani wananikoroga tu hata sielewi basi ngoja nivute mda kidogo
 
Sitaki hata kusikia ndoa yani kuna wanawake mpk utatamani urudi tena kazini.Eti narudi home jioni nimechoka ananivua nguo ananinusa kama sijachepuka sasa anaishije na mtu ambae hamwamini
 
Kamwoe Miss Natafuta halafu utatuleta taarifa hapa jamvini! Mkuu kama anakuzidi inabidi uwe mpole kabisaaaa, na hasa ukioa mama wa Kikurya anayekuzidi umri utalijua jiji! Ukileta jeuri unachezea makofi, nakumbuka kijijini kwetu kulikuwa na jamaa ameoa li mwanamke limemzidi umri sasa kila siku jioni linapanga shughuli za kufanya kesho yake, Ngeleja kesho unaenda kupalilia mihogo, watoto wataenda kuchota maji ziwani. Na wewe Ngeleja hakikisha hiyo nusu ekari umemaliza ole wako urudi hapa hujamaliza utanitambua,, Ngeleja anaitikia "sawa mama". Sasa na wewe mkuu ukijichanganya tu,, utasimulia!!
 
Most of them hawajiamini. Which lead them kuwa "control freak". Speaking from experience.
 
Kamwoe Miss Natafuta halafu utatuleta taarifa hapa jamvini! Mkuu kama anakuzidi inabidi uwe mpole kabisaaaa, na hasa ukioa mama wa Kikurya anayekuzidi umri utalijua jiji! Ukileta jeuri unachezea makofi, nakumbuka kijijini kwetu kulikuwa na jamaa ameoa li mwanamke limemzidi umri sasa kila siku jioni linapanga shughuli za kufanya kesho yake, Ngeleja kesho unaenda kupalilia mihogo, watoto wataenda kuchota maji ziwani. Na wewe Ngeleja hakikisha hiyo nusu ekari umemaliza ole wako urudi hapa hujamaliza utanitambua,, Ngeleja anaitikia "sawa mama". Sasa na wewe mkuu ukijichanganya tu,, utasimulia!!
Duu! ulivyoandika Ngeleja,umenikumbusha yule mbunge ambaye inasemekana anamlaga mama Malecela,hivi si anamzidi umri,ukute naye wakiwa hotelini huwa anamtuma Ngeleja duuh!
 
Mwanamke anatakiwa aolewe na mwanaume mwenye umri mdogo kuliko yeye,asipofanya hivyo uwezekano wa yeye(huyo mwanamke) kubaki mjane ni mkubwa sana kwani wanaume wanawahi kufa na sababu kubwa ni kuongezeka kwa umri.Inasemekana kadri mwanaume anavyozidi kuwa na umri mkubwa ndiyo magonjwa kama tezi dume,homa ya ini,ugonjwa wa kifua kikuu n.k yanajitokeza.Epuka kuolewa na mwanaume anayekuzidi ewe mwanamke,utakuja kukumbuka haya niliyoyaandika,hata hivyo wanawake wakifika umri flani huwa na ashki kubwa yakufanya mapenzi wakati mwanaume anakadriwa kuanza kupungukiwa hamu yakufanya mapenzi akifika umri wa miaka kuanzia 30,hivyo mwanamke atahangaika kutoshelezwa kimapenzi hivyo kuanza kutafuta vijana,hii itamshushia heshima mitaani.
 
Duuuuh!!
 
Wewe ki2c, utakuwa kambea wewe, ha ha ha haaaa!! Eti "anamlaga!!"
ndiyo hivyo,mimi nilizipata kutoka kwenye chanzo flani hivi,tena kwa maskio yangu,na aliyekua anaongea alisema maneno yafuatayo"yule mama nilianza kumdharau baada ya kujua kua analiwa na W.Ngeleja".
 
Mapenzi hayachagui umri mwanamke akikupenda hata kama amekuzidi miaka mitano atakuheshimu tu,na unaweza kuoa mdogo kwako na wala asikuheshimu
Kwahiyo wewe unashauri mwanaume aoe mwanamke ambaye punde tu anakaribia menopuase,kisa mapenzi hayana umri,hayo mambo ya WCB siyo mazuri,mtu ulikua unampakata,leo hii anakuja anakutongoza unakubali,unaenda unamvulia nguo na mbaya zaidi kama haitoshi unakubali akuoe,mimi siwezi kuoa mtu mkubwa,naoa wa umri wangu.
 
Mi sion kama kuna shida hapo kwanza kabisa inapokuja swala la mapenzi age is just a number why ukubwa was umri haumaanishi ndo ukubwa was akili na pia udogo wa umri haumaanishi udogo wa akili naweza kusema mapenzi(ndoa) no makubaliano age ts nothing as long as kuna love inayo exist respect ikakuepo care and all that mi sion kama kuna tatizo hapo I have a woman amenizid two years I love her and she loves me for that am sure and hatujawahi kusema or sijui yo too young or yo too ivo my grand used to tell me upendo ni dawa ya tumbo so vingine nyongeza tu and soon she is going to be my wife me mwingine vitu havipo jinsi unvyovion sometimes sukar it my look exactly like chumvi follow your heart vingine mbwembwe
 
Kwahiyo wewe unashauri mwanaume aoe mwanamke ambaye punde tu anakaribia menopuase,kisa mapenzi hayana umri,hayo mambo ya WCB siyo mazuri,mtu ulikua unampakata,leo hii anakuja anakutongoza unakubali,unaenda unamvulia nguo na mbaya zaidi kama haitoshi unakubali akuoe,mimi siwezi kuoa mtu mkubwa,naoa wa umri wangu.
Kupenda bhana kuache tu !!
Ila sasa haimaanishi ndiyo uoe mwenye umri sawa na wa mama yako hapo hapana
 
Mnatushauri nin cc watchers hususan tunaotaka kuingia kweny ndoa? Not only waliwazid umri tu even mliosawa nao au mlipwapita kidogo kidogo pia eken uhalisia hadharani.. me naskiaga wanawake wa aina hiyo ni wababe sana
Nina ndoto ya kuja kuoa mwanamke aliyenizid umri miaka kam mi5 iv mpk 6, eeehh molah jaalia nitimize ndoto hii, amen... Note: mm co 'marioo' .... Cpend kabisa ninaowazd umri, nimebug saana kanizd miaka 2 ad 3...
 
TATIZO SIO UMRI;TATIZO NI AKILI...biblia inasema ishini na wake zenu kwa akili.....
Wengi wanakosea hapo alafu wanaanza kusingizia umri,maumbile,uchumi,elimu nk
Hakika nawaambia unaweza kuoa mwanamke aliyekuzid umri na ukaish naye vizur tu yaani asiwe na mabavu kwako! Cha msing asionekane ni mkubwa kwako maana hiyo huwezi control na inaweza kukusumbua kisaikolojia.
Inawezekana pia ukaoa mdogo kwako tena sana tu..lakini bado ukapelekeshwa vizur tu...akili!
Ufupi sio hoja pia maana kuna watu wameooa wanawake warefu kuliko wao,lakini wanaheshimiwa na wake zao hata kuliko waliooa wafupi kama wao..akili
MWOMBE MUNGU MKE,MWOMBE MUNGU HEKIMA,MWOMBE MUNGU AKILI!
 
Mbona mnazidi kunkatisha tamaa asee mara hivi mara vile sasa yupi ndo wa kuoa daah ngoja ntafute wa kunzalia tu
Wakuoa ni yule aliyekuzidiii tuuu amna namnaa ndo atakuwa amekomaa akili
 
Back
Top Bottom