Kwa mliooa wanawake waliowazidi umri

Kwa mliooa wanawake waliowazidi umri

Ndoa imeanza kupangwa tokea mbinguni....
Wewe ni kusali tu mungu akupe aliekuandalia
La Mujar Jina Lako Linanikumbusha Tamthilia Moja Inaitwa 'La Mujar De Mivida' Kama Sijakosea Maana Yake "Mwanamke Wa Maisha Yangu"
 
We vuta chombo ndan..umri si tatizo lkn ukioa mwanamke yyte aliekuzid maumbile lazma uchapiwe
 
Mkuu swali zuri na ni muhim pia. Nigefurahi kama tungelipata mtu mmoja mzima humu ndan akatusaidia.

Me sijaoa ila nnachojua ni kwamba, si vyema mwanaume kumuoa mwanamke alo kuzidi umri au kulingana umri. Hii ni kutoka na maumbile ya miili yetu.

Mwanamke anachoka haraka kimwili, hii inakwenda sambamba na ufanyaji wa tendo la ndoa. Kuna umri akifikia anakosa kabisa hamu ya kushirilki tendo la ndoa. Kitu ambacha kwa mwanaume ni kinyume. Ndo hapo baba mtu mzima anatafuta mchepuko.

Lakini mwisho ni muonekano, mwili wa mwanaume miaka 50, na mwili wa mwanamke miaka 50 ni vitu viwili tofauti. Utakuta mtu anaona aibu kutoka ama kuongozana na mkewe sababu anaonekana mzee zaidi kuliko yeye na haipendezi kwa wanandoa mwanamke kuonekana mkubwa zaidi kuliko baba wa familia.
 
Kwa kugongwa nje wanaongoza ukioa mwanamke kakuzidi umri hesabu maumivu huwezi kumcontrol atakupelekesha tu nisawa na mwanamke mwenye kazi anakuaga anaenda kazini kumbe anaenda kuliwa uroda.
 
Mhhh Hebu fafanua kidogo hapo kwenye shetani ni Mungu.
Iko ivi... Kwenye biblia kwa wale wakristo. Utaona kwamba.. Kuna mungu iliyoandikwa kwa herufi ndogo na MUNGU ya herufi kubwa. Tofaut ni kwamba mungu ya herufi kubwa ni Mungu wa miungu yote na mungu wa herufi ndogo ni miungu mingineyo kama shetani, mabudha.. n.k
 
Mm,nilikua na mahusiano na Dada mmoja hv,kanizid umri kama miaka 4,tatizo lake alikua ananichukulia mm kama mdogo wake badala ya mpenz wake,Mara anitume kununua nyanya,mkaa.na baya zaidi yeye alikua ana kazi mm nilikua sina kazi,akitoka kazin lazima anipigie simu nikampokee,nisipoenda balaa atanuna hapo,papuchi upewi,wivu wa kupindukia.ukitaka kuishi na mwanamke aliye kuzidi inatakiwa uwe boya kidogo.
 
Mim ni mdada pia ila hata ndugu yangu akitaka kuoa mwanamke alyemzd chochote mfano elimu, mali na umr ctokua upande wake %kubwa ya wanawake wakipata wanapenda kua juu... Na akishajijua amekuzd afu kosa uwe mpole utaosha had masufuria ! Its not advisable kabisa...
 
sasa wakuu m
kuhusu maumbile vp sie wengine wafupi sana, sa inakuwaje? yukioa wafupi kama sisi si tutazaa mbili kimo? tunatamani wanawake warefu ili kubalansi kidogo.
 
Naona mchumba wako kakuzidi sasa unataka exiperience we oa tu mengine mtajuana uko ndani
Mkuu ndoa sio rehearsal hivyo maandalizi yenye umakini mkubwa yanahitajika sio kukurupuka eti mtajuana ndani ya ndoa
 
Mnatushauri nin cc watchers hususan tunaotaka kuingia kweny ndoa? Not only waliwazid umri tu even mliosawa nao au mlipwapita kidogo kidogo pia eken uhalisia hadharani.. me naskiaga wanawake wa aina hiyo ni wababe sana
Inategemeana kwani unaweza kuoa mdogo sana tu ndo kakawa mbogo ndani ya nyumba, Pia hutegemeana na madhaifu ya ko mwenyewe mwanaume.
 
Back
Top Bottom