griffin2
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 694
- 837
Wa Mungu lazima awe mremboo na ana tabia nzuriii bila kusahau churaa

Wa Mungu lazima awe mremboo na ana tabia nzuriii bila kusahau churaa

Mkuu swali zuri na ni muhim pia. Nigefurahi kama tungelipata mtu mmoja mzima humu ndan akatusaidia.
Me sijaoa ila nnachojua ni kwamba, si vyema mwanaume kumuoa mwanamke alo kuzidi umri au kulingana umri. Hii ni kutoka na maumbile ya miili yetu.
Mwanamke anachoka haraka kimwili, hii inakwenda sambamba na ufanyaji wa tendo la ndoa. Kuna umri akifikia anakosa kabisa hamu ya kushirilki tendo la ndoa. Kitu ambacha kwa mwanaume ni kinyume. Ndo hapo baba mtu mzima anatafuta mchepuko.
Lakini mwisho ni muonekano, mwili wa mwanaume miaka 50, na mwili wa mwanamke miaka 50 ni vitu viwili tofauti. Utakuta mtu anaona aibu kutoka ama kuongozana na mkewe sababu anaonekana mzee zaidi kuliko yeye na haipendezi kwa wanandoa mwanamke kuonekana mkubwa zaidi kuliko baba wa familia.
Aah hahaSitaki hata kusikia ndoa yani kuna wanawake mpk utatamani urudi tena kazini.Eti narudi home jioni nimechoka ananivua nguo ananinusa kama sijachepuka sasa anaishije na mtu ambae hamwamini
...Hahahaaaatarget yetu ni utosi mkuu, kwa hyo kofia ni solution mkuu
Kila mtu anamtizamo wake juu ya hili swala, huo ni mtizamo wangu na ndo maana nilisema wajuvi watujuze.Hapo umechemka. Sikupenda kuchangia ila imebidi. Kuzeeka ni mtu anavyojitunza na mme anavyomtunza mkewe. Umri si kweli sababu nikitembea na mme wangu mtashangaa sisemi zaidi. Kuhusu tendo la ndoa, baada ya menopause mwanamke anakuwa kama kigori sasa hiyo ni siri.
Shetani ni kiumbe kilichoumbwa na Mungu. Shetani si Mungu katu!Halaf ujue hata shetani ni mungu pia.. Asa ni MunGu gani unaemwongelea? Na je. Utajuaje kwamba huyu ni wa mungu wa kwelikweli
Kwani ukimsaidia mkeo kuosha sufuria uume utahamia kwake?Mim ni mdada pia ila hata ndugu yangu akitaka kuoa mwanamke alyemzd chochote mfano elimu, mali na umr ctokua upande wake %kubwa ya wanawake wakipata wanapenda kua juu... Na akishajijua amekuzd afu kosa uwe mpole utaosha had masufuria ! Its not advisable kabisa...
Haya maelezo yako sio kwa miaka hii.... Siku izi wababa wakiifikisha mia 50s asilimia 80% zaidi wanasumbuliwaa na visukari....Mwanamke akifikia umri wa menopause ktk mid 40s anakua kwanza sex drive yake iko so low,80%inakua so loww na 20%wanakosa kabisa matamanio,poleni yenu mnaotaka wake watu wazima walowazid umri,mwanamke anazeeka haraka kuliko mwanaume,mwanaume hata awe kibabu cha miaka 80s uko yuko fit kitandani tofaut na mwanamke,mm nashauri mwanaume awe mkubwa kwa mwanamke.
Mm binafsi mwanaume hata kama nlimpenda vp lkn nkagundua nmemzidi japo mwezi tuu basi mapenz yote yanapotea kama nlikusudia kuonesha hisia zang basi apoapo zinayayuka.raha mwanaume akuzid miaka 2,3....mpk saba uko,ni normal.
Ni kweli io pia inachangia,alaf unajua hii mitandao ni sababu ,kwasababu hatujishuulishi mwili umekaa tu sehemu moja,mda wote kuinamia malaptop masimu,mda wote kukaa maofisini,mtu akitoka ofisini kachoka anaenda direct home,lazma maradhi yaje atii..tunajisahau sana .Haya maelezo yako sio kwa miaka hii.... Siku izi wababa wakiifikisha mia 50s asilimia 80% zaidi wanasumbuliwaa na visukari....