NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,271
- 14,512
Toto hilo!!!!!!!Aiseee
Toto hilo!!!!!!!Aiseee
Linaenda wapi?Toto hilo!!!!!!!
Mbona unataka kujua mambo mengi kwa wakati mmoja!!!!Not only waliwazid umri tu even mliosawa nao au mlipwapita kidogo kidogo
What if ni mfupi kwako na anakuzidi umriNamtaka niliyemzidi miaka mitatu au minne kabisa
yaan anatembea huku anaona utosi wako.. utamwambia nini akuelewe... !






Oooookeyyaan anatembea huku anaona utosi wako.. utamwambia nini akuelewe... !
Namtaka niliyemzidi miaka mitatu au minne kabisa
pole mkuu.. sio wote lakin ni baadhi tu!
Mkuu sasa mie napenda walionizidi urefu apo chacha umenivurugaapole mkuu.. sio wote lakin ni baadhi tu!




bora wewe ni kupenda kwako.. kuna mwengine apende asipende lazima apate mke mrefu kuliko yeye.. yaan akithubutu labda kutafuta mfupi kuliko yeye ujue katembea na kibwengo..!!!Mkuu sasa mie napenda walionizidi urefu apo chacha umenivurugaa![]()
Hahahaaa wewe jamaaa una dhambi sana aseebora wewe ni kupenda kwako.. kuna mwengine apende asipende lazima apate mke mrefu kuliko yeye.. yaan akithubutu labda kutafuta mfupi kuliko yeye ujue katembea na kibwengo..!!!
bora wewe ni kupenda kwako.. kuna mwengine apende asipende lazima apate mke mrefu kuliko yeye.. yaan akithubutu labda kutafuta mfupi kuliko yeye ujue katembea na kibwengo..!!!
Mkuu daah hapa si bure utakua unawazungumzia wa futi 4

Ndoa zinapangwa mbinguni?Ndoa imeanza kupangwa tokea mbinguni....
Wewe ni kusali tu mungu akupe aliekuandalia
Kuna siri kubwa katika maombi...Ndoa zinapangwa mbinguni?
Ikiwa ameisha andaliwa yanini kusali basi?
Hahahaha duuh hatari mkuubora wewe ni kupenda kwako.. kuna mwengine apende asipende lazima apate mke mrefu kuliko yeye.. yaan akithubutu labda kutafuta mfupi kuliko yeye ujue katembea na kibwengo..!!!
usioe aliyekuzidi umri nakusihi ndugu nakusihi sanaMnatushauri nin cc watchers hususan tunaotaka kuingia kweny ndoa? Not only waliwazid umri tu even mliosawa nao au mlipwapita kidogo kidogo pia eken uhalisia hadharani.. me naskiaga wanawake wa aina hiyo ni wababe sana