Kwa mliooa wanawake waliowazidi umri

Kwa mliooa wanawake waliowazidi umri

Mwanamke anatakiwa aolewe na mwanaume mwenye umri mdogo kuliko yeye,asipofanya hivyo uwezekano wa yeye(huyo mwanamke) kubaki mjane ni mkubwa sana kwani wanaume wanawahi kufa na sababu kubwa ni kuongezeka kwa umri.Inasemekana kadri mwanaume anavyozidi kuwa na umri mkubwa ndiyo magonjwa kama tezi dume,homa ya ini,ugonjwa wa kifua kikuu n.k yanajitokeza.Epuka kuolewa na mwanaume anayekuzidi ewe mwanamke,utakuja kukumbuka haya niliyoyaandika,hata hivyo wanawake wakifika umri flani huwa na ashki kubwa yakufanya mapenzi wakati mwanaume anakadriwa kuanza kupungukiwa hamu yakufanya mapenzi akifika umri wa miaka kuanzia 30,hivyo mwanamke atahangaika kutoshelezwa kimapenzi hivyo kuanza kutafuta vijana,hii itamshushia heshima mitaani.
Neno
 
Pesa Pesa Pesa kama ipo no problem
 
Ukitaka utulivu na amani owa alokuzidi umri

maana wengi wanakuwa wametulia na mambo yakidunia utapata raha sana
 
Nina huyu amenizidi miaka 5,mda mwingine sitaki aniogeshe ananikata makofi! lakini poa tu...Sitamwacha siri naijua mwenyewe aiseee nyie acheni tu msithubutu kukutwa.
 
Sitaki hata kusikia ndoa yani kuna wanawake mpk utatamani urudi tena kazini.Eti narudi home jioni nimechoka ananivua nguo ananinusa kama sijachepuka sasa anaishije na mtu ambae hamwamini

Ama akikuvua nguo si ndio mahaba hayo jamani? au mimi mshamba ? akikunusa mwache akunuse wa kwake wewe sasa akamnuse nani?
 
Back
Top Bottom