Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,945
- 193,992
Suruali ilikua imekubana au imelegea legea...Suruali
Suruali ilikua imekubana au imelegea legea...Suruali
Unaitwa na dada yako ukaogeshe wapwa zako ..nyama weIvi bado kuna watu wanapigana, any way una anger issues kjn usipojtathimini utaishia jela kwa kesi ya kujeruhi.
Lkn pia naona kama unahasira za maisha magumu tafuta tu ela kisitaarabu sawa
Ugali noma sana 😁Ongezea na kula Ugali.
Huyo ni kiazi meku hawezi kuelewaUkimsoma kwa umakini,chanzo cha ugomvi sio chakula bali kuletewa dharau,mtu akukute sehemu halafu atake kuhudumiwa yeye kwanza kabla yako,huoni kua hiyo ni dharau isiyovumilika?
😂😂😂😂😂 niamini km ulikua eneo la tukio hiyo siku, mie nilipoteza nn?Kumbe yule ndo wewe
Bora walivyo nyoshana kidogo, ila nimemuliza aina ya nguo alizovaa wakati wanapambania take away...Ila kupigana hapana asee, hizo nguvu za kupigana ungeweza kuvumilia tu akapewa yeye kisha utapewa sahani nyingine.
😂😂😂😂Acha wee
Hasira za mkisi
Hapana asee kupigana hapana, kuna namna flani unajisikia kudhalilika sana yani hata kurushiana maneno tu hapana.Bora walivyo nyoshana kidogo, ila nimemuliza aina ya nguo alizovaa wakati wanapambania take away...
Mwenye akili sawasawa hawezi kupigana watuwazima afu ata jogoo nao sikuizi hawapigani iweje watu timamu na ndevu zenu mpigane mabarabarani😀Unaitwa na dada yako ukaogeshe wapwa zako ..nyama we
Subiri kidogo kwa faida ya members alafu mambo yako nitakuachia mwenyewe...Mambo yangu si uniachie mwenyewe 🤣
wapi uko Yuzidimu au😂😂😂😂😂 niamini km ulikua eneo la tukio hiyo siku, mie nilipoteza nn?
Ukitajaa nitaamini, 😂😂😂😂