Ukaamua ukiwasheAah dharau zimezid bana
Umeoga masta?Nilizani nimesikia yote View attachment 3395276
BroooHapana asee kupigana hapana, kuna namna flani unajisikia kudhalilika sana yani hata kurushiana maneno tu hapana.
Unavoonekana mpole basi yaani hufanani kabisa😂😂😂😂
Nilishindwa kuvumilia, nna moyo na mie, aah wee.
Jamani wee si ulikuwepo au? Unauliza tena?wapi uko Yuzidimu au
Kupambana kupo lakini kwa nyie wanawake inategemea na mavazi mliyovaa kwa kipindi hicho...Hapana asee kupigana hapana, kuna namna flani unajisikia kudhalilika sana yani hata kurushiana maneno tu hapana.
Well saidHaya nywamwi255 hongera kwa kupigana, sasa wahi hospitali ukapime afya kisha utumie dawa za kuzuia maambukizi ya HIV maana hujui kwanini alikung'ata. Utameza kwa siku 30 TLD sio mchezo. Usisahau kupima na homa ya ini chonde chonde
Kama asipokuja naomba hiyo nafasi unipe Mimi tafadhali.Njoo unipe love bite sweetheart
😅 Ina maana ilikua suruali ilikua imekulegea...Ilikuwa jeje
Nilisikiaga stori kama iyo apo yuzidimu naifananishaJamani wee si ulikuwepo au? Unauliza tena?
Mie ni mpole pia sio mpolee.Unavoonekana mpole basi yaani hufanani kabisa