Kwa kuwa platform atayobakia nayo kuendeleza chuki kwenye jamii ni lile kanisa lake, mamlaka zimfungie huduma hiyo tuone jeuri anaitoa wapi

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,546
Reaction score
14,801
Friends and Our Enemies,

GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake.

Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali mbali.

Ni kwa bahati mbaya sana mtu huyu alidekezwa kwa miaka mingi na hadi ikafikia hatua ya kuona anachokifanya hapo kanisani kwake ni sahihi.

Kanisa ni sehemu ya Ibada na kuchunga hao anaosema ni kondoo wake,Kuna UTARATIBU wa kuendesha Ibada na yapi ayafanye na yapi asijiafanye kulingana na leseni yake.

Hakupewa leseni ya kuendesha kanisa kama sehemu ya HARAKATI za kugombana na serikali,kuleta chuki kwa wananchi na kadhalika.
Amepewa leseni afanye KAZI za Ibada na maombi

Sasa,kwa kuwa baada ya kuondoka CCM atarudi kwa Kasi KUBWA kwenye platform yake ya siku zote ya kushambulia wapinzani wake huku akiegemea kwenye kivuli cha huduma ya bwana,kwanini wizara husika,mfano wizara ya mambo ya ndani ISIMFUNGIE MOJA KWA MOJA KUFANYA HUDUMA HIYO ILI TUONE HICHO KIBRI NA JEURI ANAITOLEA WAPI?
 
Kwanini Misikiti inayoeneza chuki dhidi ya ukristo isifungiwe ?.
 
"Niguse, ninuke." Alisikika kachero mbobezi akitema nyongo.
 
Toa maoni nini kifanyike kwa serikali ya CCM mpaka sasa wameuwawa wapinzani 80 na serikali iko kimya hakuna jeshi la polisi wizara ya Mambo ya ndani wala Rais anayejali hivi vifo ndiyo mjadala unaoendelea na watu wanaendelea kutekwa
Au wewe uko upande wa wanaotete watekaji wasijadiliwe?
 
Friends and Our Enemies,

GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake.

Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali mbali.

Ni kwa bahati mbaya sana mtu huyu alidekezwa kwa miaka mingi na hadi ikafikia hatua ya kuona anachokifanya hapo kanisani kwake ni sahihi.

Kanisa ni sehemu ya Ibada na kuchunga hao anaosema ni kondoo wake,Kuna UTARATIBU wa kuendesha Ibada na yapi ayafanye na yapi asijiafanye kulingana na leseni yake.

Hakupewa leseni ya kuendesha kanisa kama sehemu ya HARAKATI za kugombana na serikali,kuleta chuki kwa wananchi na kadhalika.
Amepewa leseni afanye KAZI za Ibada na maombi

Sasa,kwa kuwa baada ya kuondoka CCM atarudi kwa Kasi KUBWA kwenye platform yake ya siku zote ya kushambulia wapinzani wake huku akiegemea kwenye kivuli cha huduma ya bwana,kwanini wizara husika,mfano wizara ya mambo ya ndani ISIMFUNGIE MOJA KWA MOJA KUFANYA HUDUMA HIYO ILI TUONE HICHO KIBRI NA JEURI ANAITOLEA WAPI?
NRNE....kwani si ni mwana CCM, yanatuhusu nn?
 
Kwanini Misikiti inayoeneza chuki dhidi ya ukristo isifungiwe ?.
Hakuna misikiti inayoenezwa chuki dhidi wa ukristo na wakristo,kama ipo itaje.

Acha kauli za kifala kifala kwenye mambo ya msingi.

Sisi tunataka huyo askofu uchwara afungiwe,tuone JEURI ANAITOA WAPI .

Amefungua huduma ya kanisa kutukana watu na serikali au kuchunga nyinyi kondoo wake?

SI anasema anatoa huduma za kufufua WAFU na kuwapa uzima.?them why asiendelee na huduma hiyo,eti kufufua WAFU...na mlivyo mafala mnakubali kwenda kutoa sadaka.
 
Ukimuona mpaka anafungua mdomo ujue ana plan B na usichokijua yeye ni muwakilishi tu Kuna wengi wapo nyuma ya hili labda nikuulize ndugu mtoa mada mpaka muda huu ulishaona jeshi la polisi limezungumza chochote au hao wakuu Wa usalama aliyewataja? Bado tu hujahisi kitu? Rudia kwenye maneno yake alisema mkimjibu ataongea.. tukiweka hisia pembeni tunaweza kugundua kitu katika hili
 
Friends and Our Enemies,

GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake.

Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali mbali.

Ni kwa bahati mbaya sana mtu huyu alidekezwa kwa miaka mingi na hadi ikafikia hatua ya kuona anachokifanya hapo kanisani kwake ni sahihi.

Kanisa ni sehemu ya Ibada na kuchunga hao anaosema ni kondoo wake,Kuna UTARATIBU wa kuendesha Ibada na yapi ayafanye na yapi asijiafanye kulingana na leseni yake.

Hakupewa leseni ya kuendesha kanisa kama sehemu ya HARAKATI za kugombana na serikali,kuleta chuki kwa wananchi na kadhalika.
Amepewa leseni afanye KAZI za Ibada na maombi

Sasa,kwa kuwa baada ya kuondoka CCM atarudi kwa Kasi KUBWA kwenye platform yake ya siku zote ya kushambulia wapinzani wake huku akiegemea kwenye kivuli cha huduma ya bwana,kwanini wizara husika,mfano wizara ya mambo ya ndani ISIMFUNGIE MOJA KWA MOJA KUFANYA HUDUMA HIYO ILI TUONE HICHO KIBRI NA JEURI ANAITOLEA WAPI?

Tunacheleweshwa Nchi hii na Wajinga wajinga Kama Hii
 
Unatanua magoliiii Mbona jazba mzee wangu.

Jibuni hoja ZAKE kwanini watu wanatekwa na kupotea.

GWAJIMA kesha waweka msalabani na for sure pale ufufuo na uzima cathedral huwa Kuna maombi ya KUSHINDANA.

UKISIKIA NENO APIGWEEEEEE unapigwa kweli kweli mzee big show mwombe radhi ASKOFU GWAJIMA otherwise utapigwa knockout na uta fetch consequences.
 
Friends and Our Enemies,

GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake.

Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali mbali.

Ni kwa bahati mbaya sana mtu huyu alidekezwa kwa miaka mingi na hadi ikafikia hatua ya kuona anachokifanya hapo kanisani kwake ni sahihi.

Kanisa ni sehemu ya Ibada na kuchunga hao anaosema ni kondoo wake,Kuna UTARATIBU wa kuendesha Ibada na yapi ayafanye na yapi asijiafanye kulingana na leseni yake.

Hakupewa leseni ya kuendesha kanisa kama sehemu ya HARAKATI za kugombana na serikali,kuleta chuki kwa wananchi na kadhalika.
Amepewa leseni afanye KAZI za Ibada na maombi

Sasa,kwa kuwa baada ya kuondoka CCM atarudi kwa Kasi KUBWA kwenye platform yake ya siku zote ya kushambulia wapinzani wake huku akiegemea kwenye kivuli cha huduma ya bwana,kwanini wizara husika,mfano wizara ya mambo ya ndani ISIMFUNGIE MOJA KWA MOJA KUFANYA HUDUMA HIYO ILI TUONE HICHO KIBRI NA JEURI ANAITOLEA WAPI?
Kosa ni kuzungumzia watu wanaopotea?Tatizo watu wengi hawapendi kukosolewa hasa anapokuja mtu wa chama Chao,anaonekana msaliti!Msaliti kivipi huku tunaona hata vipofu?!!!Hujashawishi Bado!
 
Friends and Our Enemies,

GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake.

Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali mbali.

Ni kwa bahati mbaya sana mtu huyu alidekezwa kwa miaka mingi na hadi ikafikia hatua ya kuona anachokifanya hapo kanisani kwake ni sahihi.

Kanisa ni sehemu ya Ibada na kuchunga hao anaosema ni kondoo wake,Kuna UTARATIBU wa kuendesha Ibada na yapi ayafanye na yapi asijiafanye kulingana na leseni yake.

Hakupewa leseni ya kuendesha kanisa kama sehemu ya HARAKATI za kugombana na serikali,kuleta chuki kwa wananchi na kadhalika.
Amepewa leseni afanye KAZI za Ibada na maombi

Sasa,kwa kuwa baada ya kuondoka CCM atarudi kwa Kasi KUBWA kwenye platform yake ya siku zote ya kushambulia wapinzani wake huku akiegemea kwenye kivuli cha huduma ya bwana,kwanini wizara husika,mfano wizara ya mambo ya ndani ISIMFUNGIE MOJA KWA MOJA KUFANYA HUDUMA HIYO ILI TUONE HICHO KIBRI NA JEURI ANAITOLEA WAPI?
Yaani umekaa kabisa ukawaza kuandika hiki? Kwanini hamuwezi kumjibu hoja zake? N
 
Mafisadi, watekaji, wabakaji, na wauaji wanakulipa shilingi ngapi?
 
Ametenda kosa la jinai? Kama ndio apelekwe mahakamani. Kama sio, aachwe azungumze huu ndio uhuru wa kutoa maoni wa kikatiba mradi huvunji sheria. Jeuri anaitoa kwenye katiba.
 
Back
Top Bottom