Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,785
- 14,709
Jua kutofautisha mkurungwa,kinyesi ni mbolea ila mbolea si kinyesi,kinyesi cha ma ccm ndiyo kimeua samaki mto mara bwashee!Mbolea imeuwa samaki kule Mara!
Jua kutofautisha mkurungwa,kinyesi ni mbolea ila mbolea si kinyesi,kinyesi cha ma ccm ndiyo kimeua samaki mto mara bwashee!Mbolea imeuwa samaki kule Mara!
Mkuu naona umepoga panapouma, akikujibu naomba unitagKatiba ya shirikisho la madaktari inasemaje kuhusu hilo?
Huijui historia ya Arnold Schwarzeneeger vizuri wewe, umechanganywa na RANGI yake tu.Wasanii wa nchi za dunia ya kwanza huwezi linganisha na hawa wakina Steve Nyerere au Masanja Mkandamizaji.
Kule shule ipo na kichwani wapo vizuri vile vile.
Huku msanii kakulia kwenye kula ugali kila siku usitegemee kamwe awe vizuri kwenye lolote.
Mimi mtazamo wangu naona kuwa kuwa haya ni masuala madogo kwa sababu yule haendi kulopoka bali kusemq yale atakuokua akiagizwa kuyasema. Ingekua mfumo unaoutaka uwe hivyo unavyopendekeza basi tusingekua na afisa habari wa TLS ambaye sio wakili wala mwanasheria kwenye chama cha madaktari yaani kila tasnia isiwepo na watu nje ya tasnia, nadhani haiwezekani.katiba yao siijui maana mimi sio daktari Ila tamaduni ya muundo wa mashirikisho ipo wazi,
kiufupi shirikisho ni kikundi cha watu kinachotetea maslahi yao binafsi na members wao huwa na kada au maslahi yanayofanana.. Honorary members pia wapo ambao huteuliwa kwa kuangalia utaalamu au mchango wao kwa shirikisho kama Tz Tu ilivyopewa special seat SADC hata kama haikukidhi vigezo gya kijiografia
Kwa hiyo ni ngumu kukuta daktari apewe membership ya Shirikisho la wanasheria maana yeye kutokuwa mwanasheria tayari anakosa kigezo cha kuwa member hivyo atawezaje kugombea uongozi
Mimi mtazamo wangu naona kuwa kuwa haya ni masuala madogo kwa sababu yule haendi kulopoka bali kusemq yale atakuokua akiagizwa kuyasema. Ingekua mfumo unaoutaka uwe hivyo unavyopendekeza basi tusingekua na afisa habari wa TLS ambaye sio wakili wala mwanasheria kwenye chama cha madaktari yaani kila tasnia isiwepo na watu nje ya tasnia, nadhani haiwezekani.
Mbona mawaziri wengi wanasimamia wizara ambazo sio wanataaluma nazo?
Mbona Ukraine mchekeshaji amekua kiongozi wa nchi?
US pia ilikua na raisi ambaye alikua mcheza sinema?
Arnold Schwarzeneeger ambaye ni mcheza sinema ila alikuja kua Gavana wa jimbo la California?
Diamond ni mkubwa kuliko huyo wazir.. wazir atashindwa hyo vita... Wanaomback diamond ni wakubwa mno.. diamond amekua taswira ya nchi.. na ncho haiko tayar kumpotezaWaziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amewataka viongozi wa BASATA na COSOTA kuhakikisha wasanii wote wanasajiliwa hususani wale wakubwa ambao mpaka sasa hawajasajiliwa kwani hakuna msanii mkubwa kuliko Nchi.
"Nitoe maelekezo kwa COSOTA na BASATA hatutegemei kusikia wasanii wamesajiliwa wachache, sitegemei kusikia msanii mkubwa hajasajiliwa, tutaanza kuhoji uwezo wa tuliowapa dhamana.
"Jukumu letu sisi serikali ni kuwaunganisha wasanii wote, hakuna msanii mkubwa kuliko nchi, situliopewa mamlaka twende tuwanyenyekee, wanatoa mchango kwa nchi inanufaika na kupitia kodi.
"Tusijifungie maofisini, twende tukawatafute, kwenye nafasi tuweke watu wenye fani ya sanaa, wasanii wakongwe wapo wanaijua sanaa, tuwateue kwenye nafasi mbalimbali hasa za BASATA ili wakasimamie biashara zao, wakasimamie kutafuta wateja, kuangalia walanguzi na haki zao za msingi.
"Mnaponiletea mapendekezo kwenye mabodi, nileteeni majina ya wasanii, kwa mfano Kenya wanaosimamia ni wasanii wenyewe akina Juakali, na sisi tufanye hivyo ili wakalinde haki zao wenyewe ili kuiendeleza tasnia, hawatakubali sanaa ianguke kwani watakuwa wameanguka wao," amesema Mchengerwa.
Chanzo: TanzaniaWeb
========
UCHAMBUZI
Kauli hiyo ya Waziri inakuja ikiwa ni siku chache yangu Diamond Platnumz na wasani wake wote wa lebo ya WCB kutojisajili katika Tuzo zinazosimamiwa na BASATA, pia ni aliziponda tuzo hizo kwa kusema ‘Kama mirabaha hamtupi mtatupa hizo tuzo’.
Mbali na hapo ni siku chache zimepita tangu Diamond alipozungumza kwa nia ya kukosea kuwa kila anaposafiri nje ya nchi hawezi kuruhusiwa hadi alipe Sh 50,000, ambapo alidai kuwa hajui kama hiyo ni kwa wasanii wote au ni yeye pekee ndiye anayefanyiwa hivyo.
Kwa mwenendo huo ni wazi upepo siyo mzuri baina ya taasisi hizo za Serikali na msanii huyo au lebo yake anayoiongoza.
View attachment 2160365
So,msemaji anatakiwa asome level ipi? Nimejibu hoja iliyisema "Mchekeshaji hawezi kua msemaji wa wana muziki"Rais wa Ukraine amesoma (LLB).
Ronald Reagan bila shaka ndio unamtaja amesomea (BA Economics/Sociology).
Arnold Schwarzenegger amesoma BA(Business Administration/Fitness Marketing).
najiuliza walifikaje hapo,usishangae waliletewa jina na CCMIssue inayozungumziwa hapo ni mchekeshaji kuwa kiongozi wa muziki, sijui umenipata?
Ana tabia mbovu mbovu kama zipi? Vp kuhusu Diamond yeye hana tabia mbovu mbovu?Elimu yake ndio duni na anatabia mbovu mbovu
Kwahiyo Steve amepitaje mpaka kufikia hapo alipo?Hao wote uliowataja walipita kwa BALLOT PAPER na wakakubalika na waliowapigia kura.
STEVE hajapigiwa kura na hao anaowaongoza Hawamtaki, mbona unachanganya Mambo.
Mifano uliyoitoa haifanani
Kwanz anachochekesha hakipo ni mtu tu wa mitandao na porojoIssue inayozungumziwa hapo ni mchekeshaji kuwa kiongozi wa muziki, sijui umenipata?
Ideally, inatakiwa awe angalau amesomea field mojawapo kati ya public relations, journalism, mass communication etc. Kwa taasisi kubwa watataka na uzoefu katika tasnia usika, kama ni masuala ya umeme, afya etc. utaambiwa hiyo ni added advantage.So,msemaji anatakiwa asome level ipi? Nimejibu hoja iliyisema "Mchekeshaji hawezi kua msemaji wa wana muziki"
Msemaji sio decision maker,ni muwasilishaji tu wa kinacho ongewa na wahusika wa idara husika,
Msemaji wa Tanesco sio lazima awe fundi umeme.
Mbona Ukraine mchekeshaji amekua kiongozi wa nchi?
US pia ilikua na raisi ambaye alikua mcheza sinema?
Arnold Schwarzeneeger ambaye ni mcheza sinema ila alikuja kua Gavana wa jimbo la California?
Mkuu naomba japo nisikilize EP yakoMchengerwa anafurahisha genge.
Kilq Waziri anakuja na matamko. Hakuna mikakati wala utekelezaji.
Wasanii tuna maoni mengi mazuri wameyafutika kwenye shajara, lakini utasikia kila siku LETENI KERO ZENU.
Wasitufanyie hadaa
Hivi na Us huwa wanatuiga na sisi au?Mbona Ukraine mchekeshaji amekua kiongozi wa nchi?
US pia ilikua na raisi ambaye alikua mcheza sinema?
Arnold Schwarzeneeger ambaye ni mcheza sinema ila alikuja kua Gavana wa jimbo la California?
Sema Boda Tz..Issue inayozungumziwa hapo ni mchekeshaji kuwa kiongozi wa muziki, sijui umenipata?