Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Dr Slaa kaangukia kwa shetani na mtu mwenye mapepo ya kutisha Josephine. Mapepo yatamuua Slaa

Ni kitu cha kiasili mno na hatuna uwezo wa kukizuia Kumbuka habari za Adam na Eva Samson na Delila nknk
 
Mngejibu kwa hoja za mtazamo wa kiroho... Ila kwakuwa hamjui mjibu nini ndio maana mnaishia kuleta mipasho kashfa na matusi na hizi ndio dalili za mshindwa
Vyovyote vile mtaavyosema havitakaa vibadili ukweli wa nilichoandika

Mkuu mshanajr Mimi nimekuelewa vizuri sana .

Slaa anaandwa na usaliti wa kiapo chake cha daraja takatifu.

Slaa alishatiwa muhuri huko mbinguni na akapewa karama yake Utumishi mbele za bwana na kondoo zake.

Ameasi na kukimbilia ya dunia ndo matokeo yote haya .

Na bila shaka mwisho wake mbaya sana .

Anapaswa atubu sasa.
 
Last edited by a moderator:
Mshana jr; leo umeitendea haki jamii forum. Nimesoma bila kuumiza kichwa nikakuelewa kwa haraka sana. Bandiko lako lina nguvu ya Mungu si bure, si kwa akili yako bali umefunuliwa.

Hata Mimi nahisi amefunuliwa kuandika haya maana nimemuelewa vizuri sana .
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.

Usilete uchawi kwenye Biblia tafadhali. Neno la Mungu lisitumike kuhalalisha tamaa za kidunia. Laana ya kiapo cha upadre inatoka wapi kwenye Biblia? Kwamba Slaa anasumbuliwa na laana ni maneno ya watu wanajaribu kuukwepa ukweli. Kristo alifanyika laana ili awakomboe walio chini ya laana. Slaa si wa kwanza kuacha wito wa upadre. Kinachofanywa ni kupata kibali cha Kutoka lakini daraja la upadre halifutiki. Hivyo title itaendelea milele kwa mujibu wa kanisa katoliki. Muhimu watu wenye busara watajadili hoja alizotoa Dr Slaa kuliko kujikita kwenye teolojia ambayo haina mahusiano na siasa. Laana ionekane leo baada ya kuwaumbua akina mshana, ila kabla ya hapo alikuwa rais wa moyoni mwa watanzania? Acheni ajenda za kipuuzi, jadilini maudhui ya hotuba ya Dr Slaa. Vinginevyo tusihamishe mada tukaleta ubishi wa kiteolojia, taifa ni la imani zote. Mungu akusamehe.
 
Ni kwakuwa tumetawaliwa na utashi wa kibinadamu japo binafsi sijamhukumu moja kwa moja bali nimetoa mtazamo wangu kiroho ambao umelenga alipotoka Dr mafanikio na changamoto zake, alipo na aendako ni rahisi kugundua Hana makazi ya kudumu kila alikopita

Ni kweli kwamba post yako imeibua funzo kupitia pande mbili, husema kuupata mwisho rudi kwenye chanzo, historia ya Dr. mi huifananisha na mfugaji anaetafuta marisho kwa ajili ya mifugo yake, kwamba akiona malisho hapa yameisha anahama toka mahali fulani na kwenda sehemu nyingine. Kwa hivyo kuishi mahali fulani kwa kung'ang'ania ili tu ulinde muonekano wako kutaua mifugo yako.

Hivyo sina tatizo na kuondoka kwake toka sehemu fulani ili mradi tu anazo sababu za msingi kufanya hivyo. Rejelea Kuanzia upadri wake na aliyoyafanya huko...ukatibu, CCBRT, CCM, CDM, BUNGENI nk. kwa kufuata tu haki bila ushabiki niambie unaona tatizo wapi? Personal attack ni vitu vya kawaida kwenye siasa kama ulivyosema kwamba Siasa sio dini.

Turudi kwenye hoja ebu bomoa hoja alizozitoa Dr, kwenye PC yake bila ushabiki. tunahaja ya kukubali ukweli kwamba maamuzi bila tathimini hutugharimu sana. Mi pia nimechoshwa na mfumo mbaya wa iliyokuwa CCM ya kina EL na wenzake. Nilichoshwa kiasi cha kufikia maamuzi ya kuondoa watu wote wenye mfumo huo walio uishi. Lakini pahali sahihi kwangu kuidhibu CCM ilikuwa CDM niliwapa imani kwamba wangetusaidia kumfumua CCM.

Ghafla wakashindwa kusimamia imani niliyo wapa, nikaona sawa pamoja na dhamira yangu ya mageuzi kuna mambo ambayo ninaamini hayataweza kwenda sawa baada ya wale walezi wa mfumo kandamizi wengi wamekuja upande huu na wananguvu kuliko sisi.

Siwaamin CCM lakini walau naona ni nafuu kwa upande wa Rais abaki wa CCM kuliko huyu wetu. Sina chuki nae lakini sina imani nae. Mi ninautashi na naweza kupima maswala bila kufuata mob psychology.
 
Kwani kiapo cha upadre huwa kinakuaje?

Huwa kinaandamana na maapizo kama mtu aapaye akikiuka?

Mtu aliyeacha upadre na hataki kuendelea nao hakuna namna ya mtu huyo kutubishwa?

1. Kiapo cha upadre ni maagano anayoweka binadamu ikiwa na ishara ya kukubali muitikio wa wito ambao ameitwa na Mungu ili kukasisi kondoo wa Bwana. Upadre ni moja kati ya sakramenti takatifu zinazosimamiwa na Roho wamtakatifu wa Mungu.
2. Kinaambana na maapizo ya kutokiuka misingi ya upadre tena katika hatua mbali mbali za kufikia upadiri, mfano kuna kipindi cha kujitazamia, ushemashi na hata upadre. Ukishamaliza hatua ya kujitazamia na ukaapa kwamba utaweza, then ni kufuru na laana kufanya kinyume cha hapo.
3. Upadre huwa hauchiki, yaani mtu akishakuwa padre atakufa akiwa padre. Ila kinachotokea baadhi ya mapadre wanakiuka viapo vyao na kuoa au kuzini wakiwa mapadre. Kifupi there is no way mtu akaacha upadre.

NB: Agano lolote baina ya binadamu na mabo ya kiroho huwa halifi isipokuwa kuna kuwa na quesequences ambazo binadamu lazima zimgarimu
 
Usiopotoshe kazi za roho mtakatifu, huyu tuliachiwa na Kristo ili atuongoze katika yote yenye kweli ndani yake.[/COLOR]

>Hapa tupo pamoja, roho ht kweny siasa anatakiwa ili Giza liondoke kule

Ulimwengu wa Roho hauchangamani na kanuni za kidunia rudi usome upya theolojia.[/QUOTE]

>Ulimwengu wa roho ndo Ulimwengu mama, ni msingi! Kwamba, chochote unachokiona ktk Ulimwengu wa mwili kimeanzia ktk Ulimwengu wa roho!!

Ulimwengu wa roho hautumii milango 5 ya fahamu km mwili, lkn Ulimwengu wa mwili na kila unachokiona kinaathiriwa na Ulimwengu wa roho.
 
Sio Mbowe kwa wenye kufikiri kwa makini. Slaa ni mkiristo mzuri kuliko wengi wakristo maana alifikia ngazi ya Upadri. Hivyo anaijua vizuri Biblia. Kutokana na Biblia kuna yafuatayo:
1. Upatapo hasira jua linachomoza usikae na hasira hiyo hadi jua likazama.
2. Dhambi hata iwe nyekundu kama damu ukitubu inakuwa nyeupe kama karatasi.
3. Sauli alikuwa mwiba mkali kwa wafuasi wa Yesu, aliua kupindukia baadae akageuka na kuwa mtume.
4. Mussa alikaa kwa faraho akiwatesa Waisrael lakini ndiye aliongoza msafara wao kuwapeleka kuelekea nchi ya ahadi japo hakuwafikisha.
5. Yapo mengi.

Nimekupenda bure, Nashangaa slaa hayaoni haya
 
Hicho ndicho mama yangu alikisema jana,akatoa mifano ya mapadre wengine walioasi kiapo na jinsi walivyoishia. Mimi namhurumia kuangukia ktk mikono ya yule mama, usiku nimeota kwamba she is an agent of the devil. Mama aliudhika sana kitendo cha Slaa kuwapakazia maaskofu.
Duh, hiyo ndoto
😀😘
 
sasa nimeamini ccm ni kiboko. yaani chadema chini ya mwamvuli wa ukawa wametekenywa wakatekenyeka. hivi jaman tumefumba macho kiasi gani tusione mchezo wanaoucheza ccm na lowasa! lowasa anajua anaumwa na kaja makusudi ili kupunguza nguvu ya upinzani. jamani hii kiboko. sasa naamini lowasa kiboko.

Ndoto njema
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.

Ni kweli kabisa ukiamua kumtumikia Mungu usiache
 
Tupe na tathmini katikla jicho la kiroho kuhusiana na tuhuma za ufisadi za mgombea wa ukawa

Kiroho ni hivi
Biblia inasema hivi
"Dhambi zenu zijapokua nyekundu km bendera mkiziungama zitakua nyeupe km theluji"

"nae hurehemu maelf elf wamrudiao"

"tena ni furaha mbinguni mwenye dhambi. Mmoja akitubu"
 
Mkuu baada ya mwezi octoba kutakuwa na mgogoro mkubwa cdm ambao haujawahi kuukumba na huenda chama kikafa au wakagawana fito..

Ni kweli tunahitaji mabadiliko lkn haya ya hata kuingia na mkataba na shetan aseee hapana kubwa..

May waje watoe majib sahihi si hizi blabla za chekechea

Shetani ni nani mkuu?
 
Usilete uchawi kwenye Biblia tafadhali. Neno la Mungu lisitumike kuhalalisha tamaa za kidunia. Laana ya kiapo cha upadre inatoka wapi kwenye Biblia? Kwamba Slaa anasumbuliwa na laana ni maneno ya watu wanajaribu kuukwepa ukweli. Kristo alifanyika laana ili awakomboe walio chini ya laana. Slaa si wa kwanza kuacha wito wa upadre. Kinachofanywa ni kupata kibali cha Kutoka lakini daraja la upadre halifutiki. Hivyo title itaendelea milele kwa mujibu wa kanisa katoliki. Muhimu watu wenye busara watajadili hoja alizotoa Dr Slaa kuliko kujikita kwenye teolojia ambayo haina mahusiano na siasa. Laana ionekane leo baada ya kuwaumbua akina mshana, ila kabla ya hapo alikuwa rais wa moyoni mwa watanzania? Acheni ajenda za kipuuzi, jadilini maudhui ya hotuba ya Dr Slaa. Vinginevyo tusihamishe mada tukaleta ubishi wa kiteolojia, taifa ni la imani zote. Mungu akusamehe.

Hakuna kitu kibaya kama kukariri usichoweza kukisimamia wala kukielezea
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.

1 cor 6:18 Flee fornication. Every other sin which a man doeth is outside the body, but he that committeth fornication sinneth against his own body.

Hebrews 13:4 "for fornicators and adulterers God will judge"
 
Mkuu unakumbuka pindi sisi wafuasi wa zitto tuna mtetea kuwa sio msaliti, msaliti ni dr slaa mulikua mnatujibu nini? Hii hoja haijaanza leo siku zote tulisema zitto sio,msaliti ni Slaa leo kiko wapi? Lakini nikuambie tu hii ni karma kama ulimfanyia mtu ubaya malipo ni hapahapa Duniani. Slaa ni rais wa mioyo ya watz mmesahau? Na hii haitaishia hapa tu yapo mengi sana yanakuja na mimi nakuhakikishia chadema inalaana ipo siku utaamini maneno yangu.
mtazamo wako hauko kiroho zaidi!!!
chadema ilaaniwe kwa kuyataka madaraka ya nchi!!!! hujui kuwa katiba inaruhusu? sasa laana itoke wapi.
 
Back
Top Bottom