Ndiyo maana baada tu ya kikao chake na waandishi wa habari pale Serena, tayari nyumba yake ya Dar keshaiona ya moto, keshapanda pipa kuelekea Ulaya kutafuta makazi mengine, baada ya kupokea mgawo wake!
Hicho hicho kiapo kiwatese wale viongozi wa kiroho waliotajwa na Dr. Mmoja ameanza kuteseka nacho anajibu yeye anamahusiano tu ya karibu na aliyetuhumiwa. Waje na Facts zikitaja tarehe na vielelezo km alivyofanya Dr sio kuja na ulimi unaogeukageuka. "Acha kusafisha bali acha king'ae chenyewe"
Nakupa big up sana na maneno yako hayapishan na bibi yangu aliekua muumin wa slaa miaka yuko padr pale mbulu,kiufupi bibi huwa akimuona hutamka huyu mzee ni padri milele na laana ya kuvunja kiapo chake itamfuata milele
Hicho hicho kiapo kiwatese wale viongozi wa kiroho waliotajwa na Dr. Mmoja ameanza kuteseka nacho anajibu yeye anamahusiano tu ya karibu na aliyetuhumiwa. Waje na Facts zikitaja tarehe na vielelezo km alivyofanya Dr sio kuja na ulimi unaogeukageuka. "Acha kusafisha bali acha king'ae chenyewe"
Mkuu unakumbuka pindi sisi wafuasi wa zitto tuna mtetea kuwa sio msaliti, msaliti ni dr slaa mulikua mnatujibu nini? Hii hoja haijaanza leo siku zote tulisema zitto sio,msaliti ni Slaa leo kiko wapi? Lakini nikuambie tu hii ni karma kama ulimfanyia mtu ubaya malipo ni hapahapa Duniani. Slaa ni rais wa mioyo ya watz mmesahau? Na hii haitaishia hapa tu yapo mengi sana yanakuja na mimi nakuhakikishia chadema inalaana ipo siku utaamini maneno yangu.
Duh...hivi na vile viapo wanavyoapaga viongozi wakiwa wanaanza kazi eg:Rais,wabunge, etc huku wameshikilia Biblia/Msahafu na kuinua mikono juu huwa vina nguvu ?
Ulikua unakula mihogo leo unadiliki kutumia zaidi ya mil 200 kwa masaa 3? alafu wewe ni kiongozi wa kiroho? lazima laana ya mungu ikuandame kwa kusema uongo.
Acha kupotosha watu, kanisa katoriki lina sheria zake, ukiwa mtawa/Padre unaruhusiwa kuendelea na huduma maisha yako yote au unaruhusiwa kuomba kumpumzika na kuendelea maisha ya kawaida kama muumini mwingine wa kawaida. Dr Slaa aliomba kustaafu upadre kabla ya ujio wa Papa John II kuja tanzania miaka ya 1989 wakati huo akiwa na katibu wa TEC lkn kanisa lilimwomba asipumzike mpaka ziara ya PAPA ikamilike, kama ingekuwa ni dhambi basi kanisa lisinge mwomba kuendelea. baada ya ziara ya PAPA nchini Dr Slaa alikubaliwa na makao makuu kustaafu na kuagwa na kanisa kwa sherehe kubwa. Baada ya kustaafu Dr. Slaa alirudi kwao Karatu na kuanzisha miradi ya jamii, aliweza kupata wafadhiri mbalimbali hivyo kufanikiwa kuleta maendeleao Karatu. Baada ya wananchi kuona mafanikio yake, walimwomba agombee ubunge, na kweli akagombea kupitia CCM, CCM waliona kama ni mgeni katika siasa wakakata jina lake na kumpa mshindi wa tatu aliyekuwa mbunge wakati huo. Hivyo basi wananchi wakamshawishi kuhamia chama cha upinzani na kuwa wangempa kura, Dr Slaa akahamia CHADEMA wakati huo CHADEMA hakina umaarufu kama sasa, chama kilichikuwa maarufu kilikuwa ni NCCR mageuzi. Dr Slaa akashinda kwa kishindo na kuwa mbunge wa kwanza kutoka CHADEMA na Dr Warid Kabour kutoka jimbo la Kigoma mjini.
Kwa wasio jua Dr Slaa ndiye aliyeanziasha taasisi ya tiba ya CCBRT na ni mkurugenzi wa board. Nafikiri ni taasisi peke hapa nchini inayotoa tiba ya ulemavu wa viungo na macho kwa gharama nafuu.
In 1994: With the support of CBM, Dr. Willbrod Slaa, (still on the CCBRT Board) and Geert Vanneste founded CCBRT. Their mission was to contribute towards poverty alleviation by making rehabilitative services accessible and affordable to people with disabilities. In 1994, CCBRT was registered as a private Non-Governmental Tanzanian Society (NGO), under the Tanzanian Societies Act, No SO8261.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.