Wanabodi,
Tunasikia viongozi na wanasiasa wetu wakituambia kila siku kwamba kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa letu sasa inakuwaje hatufanyi jitihada kukifufua?.Katika kipindi cha awamu ya tatu tumeona msisitizo ulikuwa kwenye sekta ya madini na imesaidia kidogo angalau kuongeza kodi.Lakini swala kubwa hapa ni kwamba sekta ya madini haiajiri wananchi wengi kama sekta ya kilimo.Swala ni hivi kwanini hatuweki nguvu nyingi kwenye kilimo kama tulivyowekeza kwenye madini? kama tungefanya hivyo miaka 10 hii ya Mkapa hii aibu ya njaa mnadhani ingetukumba?
Kwani kiapo cha upadre huwa kinakuaje?
Huwa kinaandamana na maapizo kama mtu aapaye akikiuka?
Mtu aliyeacha upadre na hataki kuendelea nao hakuna namna ya mtu huyo kutubishwa?
Dr. Slaa katika hotuba yake alisema yeye ni Padre.
Padre na siasa wapi na wapi eeh! au padre na wachumba wapi wapi mzee?
Acha kupotosha watu, kanisa katoriki lina sheria zake, ukiwa mtawa/Padre unaruhusiwa kuendelea na huduma maisha yako yote au unaruhusiwa kuomba kumpumzika na kuendelea maisha ya kawaida kama muumini mwingine wa kawaida. Dr Slaa aliomba kustaafu upadre kabla ya ujio wa Papa John II kuja tanzania miaka ya 1999 wakati huo akiwa na katibu wa TEC lkn kanisa lilimwomba asipumzike mpaka ziara ya PAPA ikamilike, kama ingekuwa ni dhambi basi kanisa lisinge mwomba kuendelea. baada ya ziara ya PAPA nchini Dr Slaa alikubaliwa na makao makuu kustaafu na kuagwa na kanisa kwa sherehe kubwa. Baada ya kustaafu Dr. Slaa alirudi kwao Karatu na kuanzisha miradi ya jamii, aliweza kupata wafadhiri mbalimbali hivyo kufanikiwa kuleta maendeleao Karatu. Baada ya wananchi kuona mafanikio yake, walimwomba agombee ubunge, na kweli akagombea kupitia CCM, CCM waliona kama ni mgeni katika siasa wakakata jina lake na kumpa mshindi wa tatu aliyekuwa mbunge wakati huo. Hivyo basi wananchi wakamshawishi kuhamia chama cha upinzani na kuwa wangempa kura, Dr Slaa akahamia CHADEMA wakati huo CHADEMA hakina umaarufu kama sasa, chama kilichikuwa maarufu kilikuwa ni NCCR mageuzi. Dr Slaa akashinda kwa kishindo na kuwa mbunge wa kwanza kutoka CHADEMA na Dr Warid Kabour kutoka jimbo la Kigoma mjini.
Kwa wasio jua Dr Slaa ndiye aliyeanziasha taasisi ya tiba ya CCBRT na ni mkurugenzi wa board. Nafikiri ni taasisi peke hapa nchini inayotoa tiba ya ulemavu wa viungo na macho kwa gharama nafuu.
In 1994: With the support of CBM, Dr. Willbrod Slaa, (still on the CCBRT Board) and Geert Vanneste founded CCBRT. Their mission was to contribute towards poverty alleviation by making rehabilitative services accessible and affordable to people with disabilities. In 1994, CCBRT was registered as a private Non-Governmental Tanzanian Society (NGO), under the Tanzanian Societies Act, No SO8261.
Mwalimu wako alipata taabu sana!
Tunajadili usaliti wa kiapo cha upadri kinachopelekea dr. slaa kutangatanga asijue pa kushika,
anatumia nguvu nyingi kujaribu kutuaminisha kuwa yeye ni mkweli sana kumbe hola!! usaliti wa kiapo unamtesa
anatumia nguvu nyingi kujaribu kutuaminisha kuwa ana akili nyingi kutuzidi (yeye ni doctor wa falsafa) yote ni katika kutangatanga kunakosababishwa na usaliti wa kiapo cha upadri.
kwa kifupi nikwambie hivii dr. slaa anajiona ana akili kama mungu.
Kiapo alichokisaliti cha upadri kinamhenyesha na hakitamuacha ng'o!!
Tafadhali msome Mathayo 3:33 - 37 ndipo mtajua maana ya kiapo.
Ni kuchanganya dunia tatu kwa pamoja... Kwa wakati mmoja Utaweza kumudu na kuhimili changamoto zake lakini sio marazote
Nimeota Dr Slaa atakuwa anaingia jf na kujibu tuhuma kwa kutimia ID nyingine na sio ile iliyo verified
Acha kupotosha watu, kanisa katoriki lina sheria zake, ukiwa mtawa/Padre unaruhusiwa kuendelea na huduma maisha yako yote au unaruhusiwa kuomba kumpumzika na kuendelea maisha ya kawaida kama muumini mwingine wa kawaida. Dr Slaa aliomba kustaafu upadre kabla ya ujio wa Papa John II kuja tanzania miaka ya 1999 wakati huo akiwa na katibu wa TEC lkn kanisa lilimwomba asipumzike mpaka ziara ya PAPA ikamilike, kama ingekuwa ni dhambi basi kanisa lisinge mwomba kuendelea. baada ya ziara ya PAPA nchini Dr Slaa alikubaliwa na makao makuu kustaafu na kuagwa na kanisa kwa sherehe kubwa. Baada ya kustaafu Dr. Slaa alirudi kwao Karatu na kuanzisha miradi ya jamii, aliweza kupata wafadhiri mbalimbali hivyo kufanikiwa kuleta maendeleao Karatu. Baada ya wananchi kuona mafanikio yake, walimwomba agombee ubunge, na kweli akagombea kupitia CCM, CCM waliona kama ni mgeni katika siasa wakakata jina lake na kumpa mshindi wa tatu aliyekuwa mbunge wakati huo. Hivyo basi wananchi wakamshawishi kuhamia chama cha upinzani na kuwa wangempa kura, Dr Slaa akahamia CHADEMA wakati huo CHADEMA hakina umaarufu kama sasa, chama kilichikuwa maarufu kilikuwa ni NCCR mageuzi. Dr Slaa akashinda kwa kishindo na kuwa mbunge wa kwanza kutoka CHADEMA na Dr Warid Kabour kutoka jimbo la Kigoma mjini.
Kwa wasio jua Dr Slaa ndiye aliyeanziasha taasisi ya tiba ya CCBRT na ni mkurugenzi wa board. Nafikiri ni taasisi peke hapa nchini inayotoa tiba ya ulemavu wa viungo na macho kwa gharama nafuu.
In 1994: With the support of CBM, Dr. Willbrod Slaa, (still on the CCBRT Board) and Geert Vanneste founded CCBRT. Their mission was to contribute towards poverty alleviation by making rehabilitative services accessible and affordable to people with disabilities. In 1994, CCBRT was registered as a private Non-Governmental Tanzanian Society (NGO), under the Tanzanian Societies Act, No SO8261.
Kwanini alijiita ( alisema yeye ni ) Padre katika mkutano wake na wwandishi wa habari kwenye ukumbi wa serena? Alisema mimi ni Padre
Sio sehemu ya mada hii kama unayo tafadhali anzisha post yake utapata wachangiaji
Acha kujitoa ufahamu basi
Suala la uasi tushaliongelea kitambo kipindi iko ninyi chadema mulikua munamtetea leo hii mbona au ulikua bado mtoto?
Mimi nachomaanisha hapa ni kwamba ninyi wenyewe ni wanafiq kwa nini msiliongelee hili kipindi yupo chadema? Au tulete nyuzi hapa ya kuonyesha wayu waliyasema haya na mkamtetea sasa kama hili lilionekana kwa nini msiliseme kipindi yupo chadema iweje leo?