Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Huwa nacheka sana mtu anapotumia "Mungu".

Vipi unamwita mtu baba (Padri) hapa dunianni kinyume na biblia halafu uvunge eti "kiapo". Soma:

Mat 23:9
Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.

Wajinga ndiyo waliwao.
Baba wa mbinguni anashuka ndan ya wanadamu eti hapo upo kimwili inapokuja kiroho tuna muona Mungu kupitia Mtumishi wake ambapo kujua Hilo mpaka muonane rohoni nae

Yohana 15:4 Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu.

Bibilia sio ya wote ya wachache mno nao Ni watoto waliozaliwa na Mungu mwenyewe. We hushangai Hilo jina BIBI- LIA we Lia tu na maandiko yanaua
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.
We Mzee wa Kilingeni huko wapi muda huu.
 
Yametimia.
 
My take:Siasa sio dini,siasa ni propaganda,siasa ni unafiki,siasa haina kweli na siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Ila naongeza,siasa inaongozwa na Shetani, ni uzushi,uongo na utapeli.Na Mwana wa Mungu hawezi kuwa mwana siasa.
 
utapeli.Na Mwana wa Mungu hawezi kuwa mwana siasa.[emoji419][emoji375]
 
Alikotoka Silaa, ukichunguza kwa makini, ni ulimwengu wa roho, hakuna Mungu wa kweli anaemtoa mwanae kafara. Na siasa nako mambo mengi ni ulimwengu wa roho. Silaa hateswi na viapo ila tu ameteleza katika uwanja wa mapambano. Life is a game!! Big up Silaa.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Silaa hateswi na viapo ila tu ameteleza katika uwanja wa mapambano. Life is a game!! Big up Silaa.[emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom