Mzee samahani hiyo ni Biblia gani ambayo ina Mathayo 3: 33 - 37?
mwenyewe nimecheki,kwangu imeishia 17
Mzee samahani hiyo ni Biblia gani ambayo ina Mathayo 3: 33 - 37?
Ni kweli kwamba post yako imeibua funzo kupitia pande mbili, husema kuupata mwisho rudi kwenye chanzo, historia ya Dr. mi huifananisha na mfugaji anaetafuta marisho kwa ajili ya mifugo yake, kwamba akiona malisho hapa yameisha anahama toka mahali fulani na kwenda sehemu nyingine. Kwa hivyo kuishi mahali fulani kwa kung'ang'ania ili tu ulinde muonekano wako kutaua mifugo yako.
Hivyo sina tatizo na kuondoka kwake toka sehemu fulani ili mradi tu anazo sababu za msingi kufanya hivyo. Rejelea Kuanzia upadri wake na aliyoyafanya huko...ukatibu, CCBRT, CCM, CDM, BUNGENI nk. kwa kufuata tu haki bila ushabiki niambie unaona tatizo wapi? Personal attack ni vitu vya kawaida kwenye siasa kama ulivyosema kwamba Siasa sio dini.
Turudi kwenye hoja ebu bomoa hoja alizozitoa Dr, kwenye PC yake bila ushabiki. tunahaja ya kukubali ukweli kwamba maamuzi bila tathimini hutugharimu sana. Mi pia nimechoshwa na mfumo mbaya wa iliyokuwa CCM ya kina EL na wenzake. Nilichoshwa kiasi cha kufikia maamuzi ya kuondoa watu wote wenye mfumo huo walio uishi. Lakini pahali sahihi kwangu kuidhibu CCM ilikuwa CDM niliwapa imani kwamba wangetusaidia kumfumua CCM.
Ghafla wakashindwa kusimamia imani niliyo wapa, nikaona sawa pamoja na dhamira yangu ya mageuzi kuna mambo ambayo ninaamini hayataweza kwenda sawa baada ya wale walezi wa mfumo kandamizi wengi wamekuja upande huu na wananguvu kuliko sisi.
Siwaamin CCM lakini walau naona ni nafuu kwa upande wa Rais abaki wa CCM kuliko huyu wetu. Sina chuki nae lakini sina imani nae. Mi ninautashi na naweza kupima maswala bila kufuata mob psychology.
Tafadhali msome Mathayo 3:33 - 37 ndipo mtajua maana ya kiapo.
Sio Mbowe kwa wenye kufikiri kwa makini. Slaa ni mkiristo mzuri kuliko wengi wakristo maana alifikia ngazi ya Upadri. Hivyo anaijua vizuri Biblia. Kutokana na Biblia kuna yafuatayo:
1. Upatapo hasira jua linachomoza usikae na hasira hiyo hadi jua likazama.
2. Dhambi hata iwe nyekundu kama damu ukitubu inakuwa nyeupe kama karatasi.
3. Sauli alikuwa mwiba mkali kwa wafuasi wa Yesu, aliua kupindukia baadae akageuka na kuwa mtume.
4. Mussa alikaa kwa faraho akiwatesa Waisrael lakini ndiye aliongoza msafara wao kuwapeleka kuelekea nchi ya ahadi japo hakuwafikisha.
5. Yapo mengi.
Nisaidieni waungwana anapodai damu ya mkewe imemwagika kuokoa taifa
Nisaidieni waungwana anapodai damu ya mkewe imemwagika kuokoa taifa
Sio Mbowe kwa wenye kufikiri kwa makini. Slaa ni mkiristo mzuri kuliko wengi wakristo maana alifikia ngazi ya Upadri. Hivyo anaijua vizuri Biblia. Kutokana na Biblia kuna yafuatayo:
1. Upatapo hasira jua linachomoza usikae na hasira hiyo hadi jua likazama.
2. Dhambi hata iwe nyekundu kama damu ukitubu inakuwa nyeupe kama karatasi.
3. Sauli alikuwa mwiba mkali kwa wafuasi wa Yesu, aliua kupindukia baadae akageuka na kuwa mtume.
4. Mussa alikaa kwa faraho akiwatesa Waisrael lakini ndiye aliongoza msafara wao kuwapeleka kuelekea nchi ya ahadi japo hakuwafikisha.
5. Yapo mengi.
Hakuna kitu kibaya kama kukariri usichoweza kukisimamia wala kukielezea
mtu akifikiri kijuu juu hawezi kukuelewaKwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.
Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .
Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.
Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.
Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.
Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.
Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.
Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.
Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .
Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.
kwa maana alipewa cheo kwenye utawala wa farao, alimuua mmisri pale alipowakuta wakipigana na myahudi, wakamfukia mchangani. siku nyingine yule myahudi akawa anagimbana na myahudi mwenzie, Musa alipotaka kuwaamua yule myahudi akamuuliza Musa ni nani amekuchagua uwe mwamuzi kati yetu? au unataka kuniua kama ulivyomuua mmisri?Umesema musa aliwatesa wa Israel?
mwenyewe nimecheki,kwangu imeishia 17
kwa maana alipewa cheo kwenye utawala wa farao, alimuua mmisri pale alipowakuta wakipigana na myahudi, wakamfukia mchangani. siku nyingine yule myahudi akawa anagimbana na myahudi mwenzie, Musa alipotaka kuwaamua yule myahudi akamuuliza Musa ni nani amekuchagua uwe mwamuzi kati yetu? au unataka kuniua kama ulivyomuua mmisri?
Musa akaona ile siri sasa imejulikana na watu waliosikia pale.
akaamua kuikimbia misri akihofia farao akijua kuwa alimuua mmisri angeuliwa.
Duh...hivi na vile viapo wanavyoapaga viongozi wakiwa wanaanza kazi eg:Rais,wabunge, etc huku wameshikilia Biblia/Msahafu na kuinua mikono juu huwa vina nguvu ?
Ndugu Aangu Mshana Jr nakukubali hoja zako karibu ya zote, na hapo ulipoweka hii hoja haina uhusiano wa siasa kwa wale ambao wamebase kwenye siasa hii inamzungumzia maisha yake yote kwa ujumla Dr. Slaa.
Sasa napenda kukuuliza je mtu anawezaje kuviondosha viapo hivi ili visimsumbue? nimewahi kukutana na watu kama hivi ambao walitoa viapo na wengine unaweza kuwakuta wanakufa kiungo kimoja baada ya kimoja.
ukristo unaelekeza mke mmoja mume mmoja, kama ni mke alipaswa kuwa rose kamili.
Na mtu yeyote asemaye Dr. Slaa alistaafu upadre atakuwa hajatambua kuwa Slaa alichukua hatua mapema za kuudanganya umma dhidi ya dhambi yake ya UZINZI, ndio maana hata kwa Rose hakukaa, analitumikia Pepo la ngono.
Unasaafuje kumtumikia Mungu? unastafu kuhubiri kwani huwezi kuongea. Slaa ni mgoni na wale wote waliopiga kelele kabla yetu sasa ni wakati wa kuongeza sauti za wimbo huu.
"MPUUZENI SLAAA KWA MAANA NI MGONI"
chorus:-
amemdanganya Mungu itakuwa sisi wanadam x2