Kwa hoja ipi watu wanaamini kuwa taifa la Israel ni taifa la Mungu ingalikuwa ni taifa linaloishi kwa Upanga?

Mungu wa biblia,

Imeandikwa katika biblia kuwa Mungu ndie alieliteua taifa la Israel kuwa taifa lake,ambalo kupitia taifa hilo neno lake lingesambazwa dunia nzima!.

Katika kitabu hicho kimenadi sana kuwa Mungu kutoka taifa hilo ndie Mungu wa kweli na uzima pia kikanadi kuwa Mungu ndie pekee angeweza kuwafikisha wana wa Abraham ktk nchi ya asali na maziwa ambayo ndo Israel!.

Haikuishia hapo tu bali ikanadi taifa hili kuwa atakaelibariki nae atabarikiwa,vivyohivyo ambae ataridhihaki taifa hili nae atadhihakiwa!. (Sijaandika Kama ilivyoandikwa ila kwa ambao wameshasoma hicho kitabu watakuwa wameshanielewa).

Tukifatilia taifa hili ni moja ya taifa ambalo watu wake wameishi sana kwa upanga(Vita),toka agano la kale mpaka sasa Mambo ni moto.

Moja Kati ya sifa ya Mungu wa taifa hili tumekuwa tukihubiriwa kuwa ni Mungu wa amani lakini taifa lake aliloliteua na kulinadi mbele ya mataifa mengine limekua ni taifa lililotapakaa sana damu!.

Je,hiyo ndio amani iliyomjaa Mungu wa taifa hilo..?
Mpaka sasa jilani yao palestina amekuwa ni jilani ambae amekuwa akipokea kichapo kikali toka ktk taifa hili teule!.
Je,hiyo ndo nchi ya asali na maziwa waliyoahidiwa..?

Hata wao wenyewe wamekuwa sio wamoja ktk imani kwani wapo wanaoamini agano la kale nakuacha hili jipya!, namaanisha wanaamini yesu bado hajaja Kama ilivyotabiliwa agano la kale na wanamsubiri bado na pia wapo wanaoamini kuwa aliekuja na kuteswa ndie yesu it means yule alietabiliwa ktk agano la kale ameshakuja na ameshasurubiwa,Kama ilivyoandikwa agano jipya.

Sasa kwa mikanganyiko hii ya wana wa taifa hili teule ambao mikono yao imetapakaa damu kwa kuvunja amri ya Mungu wao wenyewe ya "USIUE" je,ipo haja ya kuamini kuwa hili ni taifa teule au tujue tumepigwa na kitu kizito kichwani..?

Kwani Mungu alikosa njia nyengine ya kuweza kuwapitisha watu wake vizuri nakwaamani pasipo kuwamwagisha damu..?

Hawaoni kuwa wanatupa mkanganyiko hasa wao na Mungu wao kwa kuvunja sheria walizoweka...??

Suala la kuwa Mungu wa Israeli lina utata gani?

Ni kweli kuwa jamii za zamani kulingana na uimara wa tawala na himaya zao, kila jamii iliamini kupitia miungu wake na walijiaminisha kuwa mungu wao ndiye perfect na ilikuwa wajibu wa kila jamii kuhakikisha inaambukiza jadi, imani na tamaduni zao kwa jamii zingine zisizoamini kama wao kama njia mojawapo yakujieneza na kudominate wengine hivyo hapa kanuni ni yule weak anayeshindwa kunadi chake uwa conquered na stronger one. Hivyo kwa Mungu wa Israeli kuwa Mungu wa wote hivi ss ni hiyari yetu wenyewe kwa kuwa defeated kiimani nakuamua kufuata njia hiyo.

Kwanini Mungu wa amani anakuwa Mungu mgomvi na mmwagaji damu?

Kanuni ya kuishi duniani ni kuharibu au kukatisha uhai wa kiumbe kingine ndo u-survive wewe, hiyo ni asili ya ulimwengu tunaoishi sisi.

Nakwakulitambua hilo jamii za kale ambazo zilikuwa za kifalme ziliishi kwa kanuni ya expansionism ilikuwa lazima mchapane battle ndo ujiakikishie miliki na upanue mipaka ya eneo la utawala wako, hivyo jiulize bible inapozungumzia mapigano na namna Mungu alivyohusika kwenye hizo battle kuwasaidia watu wake na sheria zake za torati kulingana na nyakati hizo unaisi sheria zake zilikuwa za kikatili?

Leo hii tulichobadili katika vita ni kutoka katika zana duni za kale na kuwa na zana za kisasa na za maangamizi makubwa kuliko zamani, lakini wanaoifahamu kanuni hii(wanaoicontrol dunia hii kimaslahi na kwa kutaka ww na mm tuishi) wanatambua bila vita haijawa dunia,

hivyo daima utengeneza sababu ya watu kuendelea kufa mfano kuzalisha magonjwa, kuongeza ajali, utumwa, kuchochea maovu, kuchochea mapigano kwa itikadi za kiimani,kutengeneza mazingira ya umwagaji damu kupitia demokrasia na propaganda zakisiasa,n.k hii yote ni kutengeneza faida huku wakibalance nature maana utake usitake duniani twaishi kwa upanga.

Swali la kujiuliza hapa ni kwanini ilipoumbwa dunia haikuumbwa kuwa sehemu ya amani?

Kwanini taifa la Mungu huyu ndiyo linaongoza kwa umwagaji damu za watesi wake?

Iliaidiwa kwenye maandiko yao wenyewe kuwa siku wakiiacha njia ya Mungu wao (kwa maana ndiyo wateule na mfano wakuigwa na mataifa yote ulimwenguni) na kufuata njia zao wenyewe chamoto watakiona, hivyo atuwezi jua kama chanzo ni laana kwa kukiuka amri za Mungu wao au lah!
Kwa kuwa nje ya kuwa taifa la mapigano yasiyoisha pia ndilo taifa tangatanga ambalo kwa muda mrefu alikuwai kuwa na makao hapa duniani.

Kwanini taifa hilo haliamini katika uwepo wa Yesu?

Wayaudi au watu wa yuda ni kabila kubwa na kiongozi kwa makabila ndugu yote ya taifa hilo linalofuata misingi ya imani ya kale ya babu zao tokea kipindi cha Mungu wa Israeli katika zama za Musa aliyemuongoza musa kuandika amri kumi na sheria za kufuatwa kule jangwani misri, ambapo walisali na kuitunza sabato yao siku ya jumamosi(kama wafanyavyo wasabato waleo), nyumba zao za kuabudu zilikuwa masinagogi yenye ufanano fulani na misikiti na yenye kufuata misingi ya kuabudu kwa kusujudu mpaka nyuso ziguse ardhini nakukaa kitako kama wafanyavyo waislamu leo hii.

Isipokuwa tu waligoma kumtambua Yesu waliemwona akikua na kulelewa kama mwana wa yusufu kuwa Mungu au aliyetumwa na Mungu wao na hivyo hawakupokea wala kuhifadhi mafundisho yake hivyo wakabaki kuamini katika original book za mapokeo ya manabii wao wa kale tu,

ambapo walipokuja wanamapokeo ya mafunzo ya Mungu wa Israeli walikopi vichache walivyoona vyawafaa na vingine wakajiongeza kukamilisha imani zao. Kila mmoja kwa upande wake akikiri kupokea mafunzo ya unabii wa mwisho ulioletwa na Mungu mwenyewe kwa njia ya mwanae/manabii pamoja na kuamua kila mmoja kumfuata Mungu wao anayekidhi matakwa na matarajio yao kulingana na uhitaji wa imani na tamaduni za jamii husika.
 
Tatizo agano la jipya limetupumbaza wengi (Kwa wakristo), Mungu hataki watu wazembe na wanyonge, soma vizuri agano la kale kuanzia kutoka mpaka waamuzi uone jinsi upanga ulivyokua unatumika tena kwa maagizo ya Mungu mwenyewe
 
Ama kwa hakika sijawahi kuelewa kwanini Kuna tofauti kuhusu agano la kale na jipya.Mkuu Undava King kama ulivyosema,Jews walimkataa yesu ilhali wao ndio watu wa kwanza kupata ufunuo kutoka kwa Mungu.Agano la kale liliandikwa kwa Hebrew language ambapo katika song of solomon 5:16 wamepotosha neno la nabii Muhhamad kwa kutafsiri as "all together lovely".Ndio maana Hadi leo wakristo hawatambui kuwa Muhhamad ni nabii.

Kwa nini nimesema hivi,Jews sio kwamba hawamuamini yesu pekee hata Muhhamad hawamuamini na sababi ni ugumu wa nyoyo zao tangu enzi za nabii Musa.Katika vitabu vyao vya kale vilivyoandikwa in Hebrew Yesu yupo pamoja na Muhhamad (Wazungu wamepotosha kwa kutafsiri jina la Muhhamad Kama "all together lovely".

Mkuu Nibiru asante kwa post yako.Mimi huwa najiuliza kuwa kuna baadhi ya watu wanasema Mungu wa Ukristo ni tofauti na Mungu wa Uislamu sasa mbona katika Biblia Mungu wa agano la kale ni tofauti na Mungu wa agano jipya.

Most people tuna claim Mungu ni mwanzo na mwisho.Yeye anajua past,present na future inakuaje Mungu atoe amri katika agano la kale na atoe adhabu alafu katika agano jipya aone kuwa watu hawawezi kufuata amri?Ina maana alikua hajui watu hawatofuata amri zake?

Katika agano la kale Mungu alisema hakuna kula nguruwe lakini katika agano jipya Peter anapata vision kuwa ale chochote kwa kua alichokiumba Mungu sio najisi.Sasa hapa Kuna Miungu miwili au Mungu anakua kigeugeu.

Je Mungu wa agano la kale alileta dhana ya Trinity?

Haya katika Quran 92:3 Allah anaapa kwa aliye umba kike na kiume.Ilhali katika Aya nyinginezo Yeye ndio aliyemuumba binadamu.

Nisiwachoshe wakuu reference zipo nyingi sana about these errors both in Quran and Bible.

ERRORS EVERYWHERE!!!
HAKIKA KAMA UNATAKA KUWA MTU MWENYE HEKIMA BASI MUNGU WAKO AWE MOYONI MWAKO THEN BALANCE MAFUNDISHO YA QURAN NA BIBLIA 50/50 NA CHUKUA YALE TU YENYE FAIDA.

Ephraem_EE.
 
Katika agano la kale Mungu alisema hakuna kula nguruwe lakini katika agano jipya Peter anapata vision kuwa ale chochote kwa kua alichokiumba Mungu sio najisi.Sasa hapa Kuna Miungu miwili au Mungu anakua kigeugeu.
Hapa hakuruhusu bali Petro alikuwa anaandaliwa kwenda kwenye nyumba ya jamii ambayo walikuwa sio wayaudi na walikuwa na tamaduni ya kutofanyiwa tohara kwaiyo jamii za kuyaudi waliwaona kama hio ni jamii ya watu najisi.
Soma vizuri Matendo ya Mitume 10:8-48
Ni ndefu sana siwezi iweka hapa.

Ila bado sizui kuoneaha errors nyingine nipo hapa najifunza
 
Suala la kuwa Mungu wa Israeli lina utata gani?

Ni kweli kuwa jamii za zamani kulingana na uimara wa tawala na himaya zao, kila jamii iliamini kupitia miungu wake na walijiaminisha kuwa mungu wao ndiye perfect na ilikuwa wajibu wa kila jamii kuhakikisha inaambukiza jadi, imani na tamaduni zao kwa jamii zingine zisizoamini kama wao kama njia mojawapo yakujieneza na kudominate wengine hivyo hapa kanuni ni yule weak anayeshindwa kunadi chake uwa conquered na stronger one. Hivyo kwa Mungu wa Israeli kuwa Mungu wa wote hivi ss ni hiyari yetu wenyewe kwa kuwa defeated kiimani nakuamua kufuata njia hiyo.

Kwanini Mungu wa amani anakuwa Mungu mgomvi na mmwagaji damu?

Kanuni ya kuishi duniani ni kuharibu au kukatisha uhai wa kiumbe kingine ndo u-survive wewe, hiyo ni asili ya ulimwengu tunaoishi sisi.

Nakwakulitambua hilo jamii za kale ambazo zilikuwa za kifalme ziliishi kwa kanuni ya expansionism ilikuwa lazima mchapane battle ndo ujiakikishie miliki na upanue mipaka ya eneo la utawala wako, hivyo jiulize bible inapozungumzia mapigano na namna Mungu alivyohusika kwenye hizo battle kuwasaidia watu wake na sheria zake za torati kulingana na nyakati hizo unaisi sheria zake zilikuwa za kikatili?

Leo hii tulichobadili katika vita ni kutoka katika zana duni za kale na kuwa na zana za kisasa na za maangamizi makubwa kuliko zamani, lakini wanaoifahamu kanuni hii(wanaoicontrol dunia hii kimaslahi na kwa kutaka ww na mm tuishi) wanatambua bila vita haijawa dunia,

hivyo daima utengeneza sababu ya watu kuendelea kufa mfano kuzalisha magonjwa, kuongeza ajali, utumwa, kuchochea maovu, kuchochea mapigano kwa itikadi za kiimani,kutengeneza mazingira ya umwagaji damu kupitia demokrasia na propaganda zakisiasa,n.k hii yote ni kutengeneza faida huku wakibalance nature maana utake usitake duniani twaishi kwa upanga.

Swali la kujiuliza hapa ni kwanini ilipoumbwa dunia haikuumbwa kuwa sehemu ya amani?

Kwanini taifa la Mungu huyu ndiyo linaongoza kwa umwagaji damu za watesi wake?

Iliaidiwa kwenye maandiko yao wenyewe kuwa siku wakiiacha njia ya Mungu wao (kwa maana ndiyo wateule na mfano wakuigwa na mataifa yote ulimwenguni) na kufuata njia zao wenyewe chamoto watakiona, hivyo atuwezi jua kama chanzo ni laana kwa kukiuka amri za Mungu wao au lah!
Kwa kuwa nje ya kuwa taifa la mapigano yasiyoisha pia ndilo taifa tangatanga ambalo kwa muda mrefu alikuwai kuwa na makao hapa duniani.

Kwanini taifa hilo haliamini katika uwepo wa Yesu?

Wayaudi au watu wa yuda ni kabila kubwa na kiongozi kwa makabila ndugu yote ya taifa hilo linalofuata misingi ya imani ya kale ya babu zao tokea kipindi cha Mungu wa Israeli katika zama za Musa aliyemuongoza musa kuandika amri kumi na sheria za kufuatwa kule jangwani misri, ambapo walisali na kuitunza sabato yao siku ya jumamosi(kama wafanyavyo wasabato waleo), nyumba zao za kuabudu zilikuwa masinagogi yenye ufanano fulani na misikiti na yenye kufuata misingi ya kuabudu kwa kusujudu mpaka nyuso ziguse ardhini nakukaa kitako kama wafanyavyo waislamu leo hii.

Isipokuwa tu waligoma kumtambua Yesu waliemwona akikua na kulelewa kama mwana wa yusufu kuwa Mungu au aliyetumwa na Mungu wao na hivyo hawakupokea wala kuhifadhi mafundisho yake hivyo wakabaki kuamini katika original book za mapokeo ya manabii wao wa kale tu,

ambapo walipokuja wanamapokeo ya mafunzo ya Mungu wa Israeli walikopi vichache walivyoona vyawafaa na vingine wakajiongeza kukamilisha imani zao. Kila mmoja kwa upande wake akikiri kupokea mafunzo ya unabii wa mwisho ulioletwa na Mungu mwenyewe kwa njia ya mwanae/manabii pamoja na kuamua kila mmoja kumfuata Mungu wao anayekidhi matakwa na matarajio yao kulingana na uhitaji wa imani na tamaduni za jamii husika.
"Kanuni ya kuishi duniani ni kuharibu au kukatisha uhai wa kiumbe kingine ndo u-survive wewe, hiyo ni asili ya ulimwengu tunaoishi sisi."

Kwahiyo Mungu alileta kanuni ya usiue huku duniani huku yeye mwenyewe akiwa amewaruhusu watu wake waue kwasababu kanuni ya ulimwengu wetu huku ni ili u survive inakupasa uue! Sasa huoni Kama hapo unaleta mkanganyiko..? Na anavunja sheria zake mwenyewe au yeye kukuruhusu kuvunja haina shida..?
 
Hapa hakuruhusu bali Petro alikuwa anaandaliwa kwenda kwenye nyumba ya jamii ambayo walikuwa sio wayaudi na walikuwa na tamaduni ya kutofanyiwa tohara kwaiyo jamii za kuyaudi waliwaona kama hio ni jamii ya watu najisi.
Soma vizuri Matendo ya Mitume 10:8-48
Ni ndefu sana siwezi iweka hapa.

Ila bado sizui kuoneaha errors nyingine nipo hapa najifunza
Mkuu hiyo stori nzima ninaijua na ninashukuru wewe kuiongelea.Hivi wakatoliki hawali nguruwe? Reference yao ya kula nguruwe inatoka wapi?
Je wasabato wanakula nguruwe? Reference yao ya kutokula nguruwe inatoka wapi?
 
Kumekucha! kumekucha!

Hao jamaa na hekaya zao za Mungu wamewafanya mpaka African kua Brain washed hawaambiliki

Yaani Mungu wao El/YHW/JEHOVAH/Elohim

Ni Mungu mshenzi na mgomvi, katili,uncivilized,mwongo na mwenye ahadi hewa Kwa watu wake
Imagine aliwaahidi Babu zao kina Abraham Kwamba uzao wake utakua mwingi kama mchanga wa bahari

Akawaambia Tena Atawapa Kaanan iwe Mali Yao Kwa kupora na ubabe,
Aliwatoa misri utumwani et
anawapeleka nchi ya ahadi yenye Asali na maziwa maajabu akawatembeza jangwani miaka 40 hata hawafiki mpaka wakafa wote

Baada ya miaka 40 ndio wanaanza panga vita ya kupora ardhi ya watu yenye maziwa na asali Kwa kuua raia wote mpaka wanawake na watoto!

Alivyo juha Huyo Mungu wao badala Ile Miaka 40 awapeleke kusini mwa jangwa la Sahara kama huku East Afrika au Zimbabwe sehemu yenye maeneo makubwa na hakuna watu wanaishi akaanza akawapeleka kuvamia mashamba ya watu Kaanan

Stupid God!
Mbona unathubutu kuandika maneno makuu na yaliyojaa dhihaka na kebehi kubwa kuhusu Mungu ambaye wewe mwenyewe umeliandika jina lake, yaani YHW?

Kipi kinachokufanya hata ujae kiburi cha uzima!? Unatambua ya kuwa yule ajitwezaye atashushwa? Kumbuka ya kwamba Mungu hadhihakiwi, kwa kuwa Yeye si sawa na binadamu.

Tubu na uombe msamaha, kwa kuwa maneno uliyatoa ndiyo ambayo hata Shetani atayatumia kwa mashtaka dhidi yako.

UFUNUO 13

8 Wote waishio duniani watamwabudu huyo mnyama isipokuwa tu wale ambao majina yao yameandikwa tangu kuwekwa kwa misingi ya ulimwengu katika kitabu cha uzima cha MwanaKondoo aliyechinjwa.

9 Aliye na masikio, na asikie!

10 Aliyepangiwa kuchukuliwa mateka lazima atatekwa; atakaye kuuwa kwa upanga atauawa kwa upanga. Hivyo, watu wa Mungu na wawe na uvumilivu na imani ya watakatifu.
 
Mkuu hiyo stori nzima ninaijua na ninashukuru wewe kuiongelea.Hivi wakatoliki hawali nguruwe? Reference yao ya kula nguruwe inatoka wapi?
Je wasabato wanakula nguruwe? Reference yao ya kutokula nguruwe inatoka wapi?
Ka wameweza kupotosha kuwa askofu asioe ilihali maandiko hayasemi hvyo watashindwa kupotosha juu ya chakula au mambo mengne?
Watakwambia hii
“Sikilizeni, mfahamu; Sicho kiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi.
”Mathayo 15:11. Lakin jiulize alikuwa anaongea na watu wa jamii gan? Na walikuwa wanazungumzia kula kwa aina gani?

kwa wasabato na wakristu wengne wanaoamin katika kutokula vitu najisi wao wamerefer kutoka walawi, kutoka torati (kumbuka hiki kitabu kinatoa miongozo ya jinsi watu wanatakiwa kuishi hapa duniani) pia Yesu mwenyewe alisema
Mathayo 5:17-18
¹⁷ Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
¹⁸ Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
 
Mbona unathubutu kuandika maneno makuu na yaliyojaa dhihaka na kebehi kubwa kuhusu Mungu ambaye wewe mwenyewe umeliandika jina lake, yaani YHW?

Kipi kinachokufanya hata ujae kiburi cha uzima!? Unatambua ya kuwa yule ajitwezaye atashushwa? Kumbuka ya kwamba Mungu hadhihakiwi, kwa kuwa Yeye si sawa na binadamu.

Tubu na uombe msamaha, kwa kuwa maneno uliyatoa ndiyo ambayo hata Shetani atayatumia kwa mashtaka dhidi yako.

UFUNUO 13

8 Wote waishio duniani watamwabudu huyo mnyama isipokuwa tu wale ambao majina yao yameandikwa tangu kuwekwa kwa misingi ya ulimwengu katika kitabu cha uzima cha MwanaKondoo aliyechinjwa.

9 Aliye na masikio, na asikie!

10 Aliyepangiwa kuchukuliwa mateka lazima atatekwa; atakaye kuuwa kwa upanga atauawa kwa upanga. Hivyo, watu wa Mungu na wawe na uvumilivu na imani ya watakatifu.
Katika hiyo Aya ya 8 mwanakondoo ni Nani?
 
Kwa reference hio inamaanisha kila.mtu kaishapangiwa destiny yake kwaiyo tunachofanya hapa ni kujisumbua tu kukimbia destiny zetu ila hatutaweza ni kama unatazama movie ambayo unajua kabisa mwisho nani atakufa na nan atabaki?
 
Ka wameweza kupotosha kuwa askofu asioe ilihali maandiko hayasemi hvyo watashindwa kupotosha juu ya chakula au mambo mengne?
Watakwambia hii
“Sikilizeni, mfahamu; Sicho kiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi.
”Mathayo 15:11. Lakin jiulize alikuwa anaongea na watu wa jamii gan? Na walikuwa wanazungumzia kula kwa aina gani?

kwa wasabato na wakristu wengne wanaoamin katika kutokula vitu najisi wao wamerefer kutoka walawi, kutoka torati (kumbuka hiki kitabu kinatoa miongozo ya jinsi watu wanatakiwa kuishi hapa duniani) pia Yesu mwenyewe alisema
Mathayo 5:17-18
¹⁷ Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
¹⁸ Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
Sawasawa mkuu.Hivi Yesu ni Mungu?
 
Katika hiyo Aya ya 8 mwanakondoo ni Nani?
WAFILIPI

9 Kwa sababu hiyo, Mungu alimwinua juu kabisa, akampa jina ambalo ni kuu kuliko majina yote;

10 ili kwa jina la Yesu, kila goti lipigwe, mbinguni na duniani na kuzimu;

11 na kila ulimi ukiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu
 
Kwa reference hio inamaanisha kila.mtu kaishapangiwa destiny yake kwaiyo tunachofanya hapa ni kujisumbua tu kukimbia destiny zetu ila hatutaweza ni kama unatazama movie ambayo unajua kabisa mwisho nani atakufa na nan atabaki?
Mkuu, ni kweli kabisa, maisha ya binadamu ni kama "road map" kwa kuwa hatima yake ilifahamika toka kuwekwa kwa misingi ya dunia.

JEREMIA 1

5 Kabla sijakuumba katika tumbo la mama yako nalikujua, na kabla hujatoka tumboni mwake, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
 
Mkuu nilitaka kusema hivihivi.Kuna kitu kinaitwa "third eye" reference ni lile jicho la Freemasons.Kwa nini hawa watu wanausiri sana?
Kwa nilivyofuatilia hili jicho la tatu linatokana na pineal grand iliyopo kwa kila binadamu.Mtu akilifungua ni hatari!!! kwa kua ataona mabaya na mazuri na atajua ukweli wa future yake.

Wao Freemasons wanajiita FREE.Do you think free from what.They have secret of third eye.

FREEMASON YOYOTE AMBAYE KASHAJUA YEYE NI WAMOTONI BASI HAACHI STAREHE YA AINA YOYOTE ILE YA KUMTUKUZA SHETANI COZ THIRD EYE MAKE YOU SEE THE FUTURE.UKIONA MTU KAJINASUA KUTOKA FREEMASON UJUE KAONA FUTURE YAKE NI YA MBINGUNI HIVYO INAMPASA KUTOKA HUKO KWA SHETANI!!

UBAYA NI KWAMBA THIRD EYE INATAWALIWA NA SHETANI SO BE CAREFUL.

Ndio maana wenzetu waislamu wanaamini katika khadari/Qadari(sijui spellings ila pronounciation ni sahihi).Hii Qadari ni imani kwamba Mungu ndiye anayeendesha Dunia hivyo jambo lolote jema au baya litamfika mtu kwa hidhini yake japokua Kuna free will ya matendo yako.Cha kushangaza ni kwamba hata kwa Freemasons ni lazima uamini kuwa kuna nguvu inatawala Dunia.l.Je ni nguvu gani au ya Nani?

Screenshot_20220203-180808.png
 
Acha niseme tu NDIO ila ukisoma zaid biblia utapata majibu zaid ya hio ndio
Kwa hiyo wakati Yesu anakufa Nani alikua anatawala dunia?
Na kwanini wakati anakufa alisema "Mungu wangu Mungu wangu,mbona unaniacha"alafu akasema "ninakabidhi roho yangu mikononi mwako" hii roho ni ya kiMungu au kibinadamu maana Mungu alimuacha? Akashuka kuzimu hivyo Mungu hakushuka kuzimu kwa sababu alimuacha.
 
Mkuu, ni kweli kabisa, maisha ya binadamu ni kama "road map" kwa kuwa hatima yake ilifahamika toka kuwekwa kwa misingi ya dunia.

JEREMIA 1

5 Kabla sijakuumba katika tumbo la mama yako nalikujua, na kabla hujatoka tumboni mwake, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
Swali kulikuwa kuna umhimu gani wa kuweka siku ya hukumu ilihali anajua hatma ya kila mtu kabla ajazaliwa? Kulikuwa na umhimu gan wa kumtuma Yesu kuja kujitoa sadaka ili kuokoa watu ilihali anajua kabsa watu wake ata kabla hawazaliwa?

Kwa mantiki hiyo mungu ni gaidi na muonevu kuliko vile tunavyo mzania maana anahukum mtu apate mateso wakati yeye ndio alikuwa ameisha mpangia kufanya hizo dhambi
 
Suala la kuwa Mungu wa Israeli lina utata gani?

Ni kweli kuwa jamii za zamani kulingana na uimara wa tawala na himaya zao, kila jamii iliamini kupitia miungu wake na walijiaminisha kuwa mungu wao ndiye perfect na ilikuwa wajibu wa kila jamii kuhakikisha inaambukiza jadi, imani na tamaduni zao kwa jamii zingine zisizoamini kama wao kama njia mojawapo yakujieneza na kudominate wengine hivyo hapa kanuni ni yule weak anayeshindwa kunadi chake uwa conquered na stronger one. Hivyo kwa Mungu wa Israeli kuwa Mungu wa wote hivi ss ni hiyari yetu wenyewe kwa kuwa defeated kiimani nakuamua kufuata njia hiyo.

Kwanini Mungu wa amani anakuwa Mungu mgomvi na mmwagaji damu?

Kanuni ya kuishi duniani ni kuharibu au kukatisha uhai wa kiumbe kingine ndo u-survive wewe, hiyo ni asili ya ulimwengu tunaoishi sisi.

Nakwakulitambua hilo jamii za kale ambazo zilikuwa za kifalme ziliishi kwa kanuni ya expansionism ilikuwa lazima mchapane battle ndo ujiakikishie miliki na upanue mipaka ya eneo la utawala wako, hivyo jiulize bible inapozungumzia mapigano na namna Mungu alivyohusika kwenye hizo battle kuwasaidia watu wake na sheria zake za torati kulingana na nyakati hizo unaisi sheria zake zilikuwa za kikatili?

Leo hii tulichobadili katika vita ni kutoka katika zana duni za kale na kuwa na zana za kisasa na za maangamizi makubwa kuliko zamani, lakini wanaoifahamu kanuni hii(wanaoicontrol dunia hii kimaslahi na kwa kutaka ww na mm tuishi) wanatambua bila vita haijawa dunia,

hivyo daima utengeneza sababu ya watu kuendelea kufa mfano kuzalisha magonjwa, kuongeza ajali, utumwa, kuchochea maovu, kuchochea mapigano kwa itikadi za kiimani,kutengeneza mazingira ya umwagaji damu kupitia demokrasia na propaganda zakisiasa,n.k hii yote ni kutengeneza faida huku wakibalance nature maana utake usitake duniani twaishi kwa upanga.

Swali la kujiuliza hapa ni kwanini ilipoumbwa dunia haikuumbwa kuwa sehemu ya amani?

Kwanini taifa la Mungu huyu ndiyo linaongoza kwa umwagaji damu za watesi wake?

Iliaidiwa kwenye maandiko yao wenyewe kuwa siku wakiiacha njia ya Mungu wao (kwa maana ndiyo wateule na mfano wakuigwa na mataifa yote ulimwenguni) na kufuata njia zao wenyewe chamoto watakiona, hivyo atuwezi jua kama chanzo ni laana kwa kukiuka amri za Mungu wao au lah!
Kwa kuwa nje ya kuwa taifa la mapigano yasiyoisha pia ndilo taifa tangatanga ambalo kwa muda mrefu alikuwai kuwa na makao hapa duniani.

Kwanini taifa hilo haliamini katika uwepo wa Yesu?

Wayaudi au watu wa yuda ni kabila kubwa na kiongozi kwa makabila ndugu yote ya taifa hilo linalofuata misingi ya imani ya kale ya babu zao tokea kipindi cha Mungu wa Israeli katika zama za Musa aliyemuongoza musa kuandika amri kumi na sheria za kufuatwa kule jangwani misri, ambapo walisali na kuitunza sabato yao siku ya jumamosi(kama wafanyavyo wasabato waleo), nyumba zao za kuabudu zilikuwa masinagogi yenye ufanano fulani na misikiti na yenye kufuata misingi ya kuabudu kwa kusujudu mpaka nyuso ziguse ardhini nakukaa kitako kama wafanyavyo waislamu leo hii.

Isipokuwa tu waligoma kumtambua Yesu waliemwona akikua na kulelewa kama mwana wa yusufu kuwa Mungu au aliyetumwa na Mungu wao na hivyo hawakupokea wala kuhifadhi mafundisho yake hivyo wakabaki kuamini katika original book za mapokeo ya manabii wao wa kale tu,

ambapo walipokuja wanamapokeo ya mafunzo ya Mungu wa Israeli walikopi vichache walivyoona vyawafaa na vingine wakajiongeza kukamilisha imani zao. Kila mmoja kwa upande wake akikiri kupokea mafunzo ya unabii wa mwisho ulioletwa na Mungu mwenyewe kwa njia ya mwanae/manabii pamoja na kuamua kila mmoja kumfuata Mungu wao anayekidhi matakwa na matarajio yao kulingana na uhitaji wa imani na tamaduni za jamii husika.
You have narrated it so very well.
 
Kwa hiyo wakati Yesu anakufa Nani alikua anatawala dunia?
Na kwanini wakati anakufa alisema "Mungu wangu Mungu wangu,mbona unaniacha"alafu akasema "ninakabidhi roho yangu mikononi mwako" hii roho ni ya kiMungu au kibinadamu maana Mungu alimuacha? Akashuka kuzimu hivyo Mungu hakushuka kuzimu kwa sababu alimuacha.
Kuna kitu naomba ninukuhu kwanza
Yohana 14:7-11
⁷ Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
⁸ Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
⁹ Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
¹⁰ Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.
¹¹ Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe.

Kwa mjibu wa biblia inaoneaha daima yesu hakutembea mwenyewe bali mda wote alikuwa natembea na uwepo wa Mungu ndani yake. Na aliposema "Mungu wangu mbona unaniacha" haikumanisha Mungu hamuoni tena bali Mungu alijiweka pembeni ili kuacha lengo la Yesu kuja dunian litimie. Kwann alisema roho yangu naikabidhi mikononi mwako hapo sijui sasa
 
Back
Top Bottom