Kwa hoja ipi watu wanaamini kuwa taifa la Israel ni taifa la Mungu ingalikuwa ni taifa linaloishi kwa Upanga?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,159
56,674
Mungu wa biblia,

Imeandikwa katika biblia kuwa Mungu ndie alieliteua taifa la Israel kuwa taifa lake,ambalo kupitia taifa hilo neno lake lingesambazwa dunia nzima!

Katika kitabu hicho kimenadi sana kuwa Mungu kutoka taifa hilo ndie Mungu wa kweli na uzima pia kikanadi kuwa Mungu ndie pekee angeweza kuwafikisha wana wa Abraham ktk nchi ya asali na maziwa ambayo ndo Israel!

Haikuishia hapo tu bali ikanadi taifa hili kuwa atakaelibariki nae atabarikiwa,vivyohivyo ambae ataridhihaki taifa hili nae atadhihakiwa!. (Sijaandika Kama ilivyoandikwa ila kwa ambao wameshasoma hicho kitabu watakuwa wameshanielewa).

Tukifatilia taifa hili ni moja ya taifa ambalo watu wake wameishi sana kwa upanga(Vita),toka agano la kale mpaka sasa Mambo ni moto.

Moja Kati ya sifa ya Mungu wa taifa hili tumekuwa tukihubiriwa kuwa ni Mungu wa amani lakini taifa lake aliloliteua na kulinadi mbele ya mataifa mengine limekua ni taifa lililotapakaa sana damu!

Je, hiyo ndio amani iliyomjaa Mungu wa taifa hilo?

Mpaka sasa jilani yao palestina amekuwa ni jilani ambae amekuwa akipokea kichapo kikali toka ktk taifa hili teule!
Je,hiyo ndo nchi ya asali na maziwa waliyoahidiwa?

Hata wao wenyewe wamekuwa sio wamoja ktk imani kwani wapo wanaoamini agano la kale nakuacha hili jipya!, namaanisha wanaamini yesu bado hajaja Kama ilivyotabiliwa agano la kale na wanamsubiri bado na pia wapo wanaoamini kuwa aliekuja na kuteswa ndie yesu it means yule alietabiliwa ktk agano la kale ameshakuja na ameshasurubiwa,Kama ilivyoandikwa agano jipya.

Sasa kwa mikanganyiko hii ya wana wa taifa hili teule ambao mikono yao imetapakaa damu kwa kuvunja amri ya Mungu wao wenyewe ya "USIUE" je,ipo haja ya kuamini kuwa hili ni taifa teule au tujue tumepigwa na kitu kizito kichwani..?

Kwani Mungu alikosa njia nyengine ya kuweza kuwapitisha watu wake vizuri nakwaamani pasipo kuwamwagisha damu..?

Hawaoni kuwa wanatupa mkanganyiko hasa wao na Mungu wao kwa kuvunja sheria walizoweka...??
 
Kumekucha! kumekucha!

Hao jamaa na hekaya zao za Mungu wamewafanya mpaka African kua Brain washed hawaambiliki

Yaani Mungu wao El/YHW/JEHOVAH/Elohim

Ni Mungu mshenzi na mgomvi, katili,uncivilized,mwongo na mwenye ahadi hewa Kwa watu wake
Imagine aliwaahidi Babu zao kina Abraham Kwamba uzao wake utakua mwingi kama mchanga wa bahari😁

Akawaambia Tena Atawapa Kaanan iwe Mali Yao Kwa kupora na ubabe,
Aliwatoa misri utumwani et
anawapeleka nchi ya ahadi yenye Asali na maziwa maajabu akawatembeza jangwani miaka 40 hata hawafiki mpaka wakafa wote

Baada ya miaka 40 ndio wanaanza panga vita ya kupora ardhi ya watu yenye maziwa na asali Kwa kuua raia wote mpaka wanawake na watoto!

Alivyo juha Huyo Mungu wao badala Ile Miaka 40 awapeleke kusini mwa jangwa la Sahara kama huku East Afrika au Zimbabwe sehemu yenye maeneo makubwa na hakuna watu wanaishi akaanza akawapeleka kuvamia mashamba ya watu Kaanan

Stupid God!
 
Hoja ya kumwaga damu sidhani kama ina mashiko katika hii mada.
Suala la amani kila dini inajinadi nalo.
Islam ni neno la kiarabu lenye maana ya amani, kwa hio uislam ni amani, mtume Muhammad ﷺ alikuja kuhubiri na kulingania amani, lakini je alipigana vita vingapi katika uhai wake?
Je zilimwagika damu za watu wangapi kutokana na amri zake?
 
Kwanini watu wa imani hizi watawaliwe na vurugu tupu badala ya amani sasa
 
Mungu wa biblia,

Imeandikwa katika biblia kuwa Mungu ndie alieliteua taifa la Israel kuwa taifa lake,ambalo kupitia taifa hilo neno lake lingesambazwa dunia nzima!.

Katika kitabu hicho kimenadi sana kuwa Mungu kutoka taifa hilo ndie Mungu wa kweli na uzima pia kikanadi kuwa Mungu ndie pekee angeweza kuwafikisha wana wa Abraham ktk nchi ya asali na maziwa ambayo ndo Israel!.

Haikuishia hapo tu bali ikanadi taifa hili kuwa atakaelibariki nae atabarikiwa,vivyohivyo ambae ataridhihaki taifa hili nae atadhihakiwa!. (Sijaandika Kama ilivyoandikwa ila kwa ambao wameshasoma hicho kitabu watakuwa wameshanielewa).

Tukifatilia taifa hili ni moja ya taifa ambalo watu wake wameishi sana kwa upanga(Vita),toka agano la kale mpaka sasa Mambo ni moto.

Moja Kati ya sifa ya Mungu wa taifa hili tumekuwa tukihubiriwa kuwa ni Mungu wa amani lakini taifa lake aliloliteua na kulinadi mbele ya mataifa mengine limekua ni taifa lililotapakaa sana damu!.

Je,hiyo ndio amani iliyomjaa Mungu wa taifa hilo..?
Mpaka sasa jilani yao palestina amekuwa ni jilani ambae amekuwa akipokea kichapo kikali toka ktk taifa hili teule!.
Je,hiyo ndo nchi ya asali na maziwa waliyoahidiwa..?

Hata wao wenyewe wamekuwa sio wamoja ktk imani kwani wapo wanaoamini agano la kale nakuacha hili jipya!, namaanisha wanaamini yesu bado hajaja Kama ilivyotabiliwa agano la kale na wanamsubiri bado na pia wapo wanaoamini kuwa aliekuja na kuteswa ndie yesu it means yule alietabiliwa ktk agano la kale ameshakuja na ameshasurubiwa,Kama ilivyoandikwa agano jipya.

Sasa kwa mikanganyiko hii ya wana wa taifa hili teule ambao mikono yao imetapakaa damu kwa kuvunja amri ya Mungu wao wenyewe ya "USIUE" je,ipo haja ya kuamini kuwa hili ni taifa teule au tujue tumepigwa na kitu kizito kichwani..?

Kwani Mungu alikosa njia nyengine ya kuweza kuwapitisha watu wake vizuri nakwaamani pasipo kuwamwagisha damu..?

Hawaoni kuwa wanatupa mkanganyiko hasa wao na Mungu wao kwa kuvunja sheria walizoweka...??
HILO. TAIFA UNALOLIJUA SIO. LENYEWE
 
Kwanini watu wa imani hizi watawaliwe na vurugu tupu badala ya amani sasa
Wao wanaokuja kwa mnasaba wa kuleta amani, na ili amani ipatikane inatakiwa watu wote wawakubali na kufuata maelekezo kutoka kwao(utii) hapo ndio chimbuko la matatizo linapoanzia.
Labda nikupe mfano halisi katika mazingira haya tunayoyaishi hivi sasa.
Ushawahi kusikia kikosi cha kulinda amani kimepelekwa nchi fulani?
Ushawahi kushuhudia hicho kikosi cha amani kinaenda kulinda amani kwa kutumia vifaa gani?
Amani hailindwi na madeli ya ice cream au masufuria ya pilau, kwenye kulinda amani lazima kuhusianishwe na umwagaji wa damu kwa wale wanaotaka kuvuruga amani.
 
Haya sasa kimeanza kuumana..

Mkuu nitajie hilo taifa..
Ufunuo 2:9
IMG_20220203_100909.jpg
 
Hata wao wenyewe wamekuwa sio wamoja ktk imani kwani wapo wanaoamini agano la kale nakuacha hili jipya!, namaanisha wanaamini yesu bado hajaja Kama ilivyotabiliwa agano la kale na wanamsubiri bado na pia wapo wanaoamini kuwa aliekuja na kuteswa ndie yesu it means yule alietabiliwa ktk agano la kale ameshakuja na ameshasurubiwa,Kama ilivyoandikwa agano jipya.
Tena ni Wayahudi wachache sana wanaoamini in Jesus! Wakristo wengi Israel ni Waarabu na wengine wageni! Wayahudi kama Wayahudi, ni wachache sana!
 
Inamaana hakuna specific name..?
Kasome vizuri Kumbukumbu la Torati wanaelezewa vizuri na tabia zao. Tamaduni na mila zao.....wale wa pale hawafananii hata kitu kimoja. Hivi mzungu anaweza kuwa Mtumwa for 40 years kwenye joto la Egypt!?????
And jiulize swali lingine why South Africa, Australia na Israel ndio nchi zinaongoza kwa kansa ya Ngozi??? from sunrays.
 
Back
Top Bottom