Israel hii ni taifa la kipagani: 30% tu nchi nzima ndio wanaamini uwepo wa Mungu

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,587
15,370
Kuna ndugu zangu wabongo wanaotembea na bendera za kiisrael ili kujipa morali za kiroho.

Ukweli ni kwamba ni 30% ya waisrael ambao wanajiusisha na mambo ya dini na wanaamini Mungu.

Israel ni taifa la kipagani. Hivyo sisi watumishi badala ya kuwashabikia kidini tuwaombee na twende tukawafundishe wampokee Yesu wasijekufia motoni wote.

Chanzo.
 
Mungu angeisamehe Sodoma na Ghomora kama kungekuwa na wachamung 10 pekee tu, 70% ni wengi sana kupokea huruma ya Mungu
 
Kuna ndugu zangu wabongo wanaotembea na bendera za kiisrael ili kujipa morali za kiroho.

Ukweli ni kwamba ni 30% ya waisrael ambao wanajiusisha na mambo ya dini na wanaamini Mungu.
Israel ni taifa la kipagani. Hivyo sisi watumishi badala ya kuwashabikia kidini tuwaombee na twende tukawafundishe wampokee Yesu wasijekufia motoni wote.

Chanzo.
Wayahudi wa Namanyere wanasemaje kwani? 🤣🤣
 
Kuna ndugu zangu wabongo wanaotembea na bendera za kiisrael ili kujipa morali za kiroho.

Ukweli ni kwamba ni 30% ya waisrael ambao wanajiusisha na mambo ya dini na wanaamini Mungu.

Israel ni taifa la kipagani. Hivyo sisi watumishi badala ya kuwashabikia kidini tuwaombee na twende tukawafundishe wampokee Yesu wasijekufia motoni wote.

Chanzo.
Inawezekana kuna point unayo. Namfuatilia muandishi wa ki Isarel Noah Yuval Harari, yeye ni atheist. Haamini uwepo wa Mungu.

Lakini, nilitaka kuweka sawa kitu kimoja.

Upagani si kutoamini kuwepo Mungu. Upagani ni jina ambalo dominant cultures, kifupi wazungu waliokuwa Wakristo, walizipa dini nyingine nyingi za watu ambao hawakuamini Ukristo/ Abrahamic religions.

Kwa hivyo, dini za asili za Africa, Asia, America zote ziliitwa upagani na wazungu wakristo.

Hawa watu waliamini miungu yao tofauti.

Hivyo, mpagani si mtu ambaye haamini Mungu. Wapagani wanaamini Mungu.

Watu wasioamini Mungu ni atheist, ambao si wapagani.

Nilitaka kuweka hilo sawa tu.
 
Wengi wanamuwazia Mungu kikumpamba hivi utadhani huyo Mungu hajiwezi. Ukweli ni kwamba Mungu hawezi kutegemea maandiko haya wala watu hawa wamfikishie simulizi za uwezo wake, Mungu anaweza mwenyewe, Mungu si wa Kutetewa, Ukinyamaza Yeye Yupo Kimya, Ukijikausha kama humjui Yeye Yupo Kimya, Ukimtetea na kumsemea Yeye Yupo Kimya, yaani katika dini zote aliye ndani ya Set ni sawa na Aliye nje ya Set na ni Sawa anayepatikana kwenye set, na ni sawa na aliye nje kabisa mbali kule, Madhara yanayotokea katika hawa walioko katika set ni matendo yanayotokana na mapandikizo vichwani mwao kulingana na elimu ya set alipojikuta, ukweli ni kwamba Mungu hujionyesha kwa mtu Mmoja mmoja na atakufanyia makuu yako wala hatakwambia ukamsaidie kujitangaza. Utakachoelewa ni kuwa Mungu yupo ila siyo et umemuona akiwa wa dini fulani. Mungu anaanza na wewe unapozaliwa kisha humaliza na wewe unapokufa.
Mungu si wa kikundi, Mungu ni Mkimya, kaeni Kimya, Mjue kama umjuavyo wewe, maana amekuumba umjue hivyo na kumjua kwako hakuendani na amjuavyo mtu mwingine.
Amani iwe nanyi nyote.
Nawaaga nikisema
Akili yako uliyopewa na Mungu iwe nawe peke yako.,
 
Warumi 3 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Basi Myahudi ana ziada gani? Na kutahiriwa kwafaa nini?
² Kwafaa sana kwa kila njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.
³ Ni nini, basi, ikiwa baadhi yao hawakuamini? Je! Kutokuamini kwao kutaubatili uaminifu wa Mungu?
⁴ Hasha! Mungu aonekane kuwa amini na kila mtu mwongo; kama ilivyoandikwa, Ili ujulike kuwa una haki katika maneno yako, Ukashinde uingiapo katika hukumu.
 
Kuna ndugu zangu wabongo wanaotembea na bendera za kiisrael ili kujipa morali za kiroho.

Ukweli ni kwamba ni 30% ya waisrael ambao wanajiusisha na mambo ya dini na wanaamini Mungu.

Israel ni taifa la kipagani. Hivyo sisi watumishi badala ya kuwashabikia kidini tuwaombee na twende tukawafundishe wampokee Yesu wasijekufia motoni wote.

Chanzo.
Kwa kukusaidia ile nyota katika bendera ya Israeli ni nyota ya mfalme Daudi..." the star of David "....nakushauri uwe unapenda kusoma....kuliko kuandika.....
 
Inawezekana kuna point unayo. Namfuatilia muandishi wa ki Isarel Noah Yuval Harari, yeye ni atheist. Haamini uwepo wa Mungu.

Lakini, nilitaka kuweka sawa kitu kimoja.

Upagani si kutoamini kuwepo Mungu. Upagani ni jina ambalo dominant cultures, kifupi wazungu waliokuwa Wakristo, walizipa Atheistdini nyingine nyingi za watu ambao hawakuamini Ukristo/ Abrahamic religions.

Kwa hivyo, dini za asili za Africa, Asia, America zote ziliitwa upagani na wazungu wakristo.

Hawa watu waliamini miungu yao tofauti.

Hivyo, mpagani si mtu ambaye haamini Mungu. Wapagani wanaamini Mungu.

Watu wasioamini Mungu ni atheist, ambao si wapagani.

Nilitaka kuweka hilo sawa tu.
Atheist kwa kiswahili mnaitwaje
 
Inawezekana kuna point unayo. Namfuatilia muandishi wa ki Isarel Noah Yuval Harari, yeye ni atheist. Haamini uwepo wa Mungu.

Lakini, nilitaka kuweka sawa kitu kimoja.

Upagani si kutoamini kuwepo Mungu. Upagani ni jina ambalo dominant cultures, kifupi wazungu waliokuwa Wakristo, walizipa dini nyingine nyingi za watu ambao hawakuamini Ukristo/ Abrahamic religions.

Kwa hivyo, dini za asili za Africa, Asia, America zote ziliitwa upagani na wazungu wakristo.

Hawa watu waliamini miungu yao tofauti.

Hivyo, mpagani si mtu ambaye haamini Mungu. Wapagani wanaamini Mungu.

Watu wasioamini Mungu ni atheist, ambao si wapagani.

Nilitaka kuweka hilo sawa tu.
Atheist ni kwa kiingereza kwa kiswahili ni mpagani.
Mpagani aamini uwepo wa Mungu
 
Kuna ndugu zangu wabongo wanaotembea na bendera za kiisrael ili kujipa morali za kiroho.

Ukweli ni kwamba ni 30% ya waisrael ambao wanajiusisha na mambo ya dini na wanaamini Mungu.

Israel ni taifa la kipagani. Hivyo sisi watumishi badala ya kuwashabikia kidini tuwaombee na twende tukawafundishe wampokee Yesu wasijekufia motoni wote.

Chanzo.
Kwa hiyo wakiwa taifa la kipagani wanastahili kufa na kuuwawa?
 
Waarabu siku zote ni wepesi kuliko wayahudi.

Ndio maana siku ya Pentekoste waarabu wengi sana walimpokea Yesu.

Hata mtume wao alikuwa karibu sana na wakristo.
Soma Qur'an 9:30 afu uje utudanganye hapa...
Tangu lini waislam wakawa karibu na wakristo kwa upendo na amani???
Unless wakrsto wanatawaliwa na ni raia wa daraja la pili au wabadili dini.
Kinyume na hapo wakrsto wanachinjwa
 
Back
Top Bottom