Kigoma 2015
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 371
- 93
Sad story, pole sana mkuu, vp hao vjana watatu mnawasaidiaje?
Umeandika makala ndefu lakini bahati mbaya ni pumba tupu.nlitegemea utakuwa objective kumbe unaendeleza umaskini wako wa mawazo.apa tupo ht tusio na vyama.vp yule kiongoz wa kanisa alosema wana igunga wachague chadema..vp kule sumbawanga ambapo waumini walitengwa na kanisa..vp kule arusha ambapo kiongoz mkuu wa kanisa tena wa kanda nzima aliposema wazi kuwa waumini wake wachague Chaga Development Manifesto.vp mw'kiti wa cdm alipompiga kofi mwangalizi wa uchaguzi wa kiislam kule hai...mi sina chama lakini cdm ijikosoe na ikikosolewa ikubali na kujirekebisha.
Nina maswali mawili naomba uyafikishe CDM Makao Makuu. Nayo ni:
- Mna mpango gani kuhakikisha morali na ushirikiano mlioupata Igunga unaendelea kukomazwa ili Uchaguzi ujao mliweke jimbo mikononi?
- Mna mpango gani kumsaidia Mwalimu Kashindye na kuendelea kumjenga kisiasa ili kwa mahitaji na Madhaifu ya kibadamu asijeingia mtego wa kununuliwa ikizingatiwa sasa hana kazi?
Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnakimbilia kwa Mods ooooh mfungie huyu, huu ni mtandao wa wote nyie mnajibu sie tukijibu mnalalamika. Jibu na ww pia .
acha wewe, eti ccm imetumia mabilioni,, kuna chama kimetumia *****? acheni kutupoteze MUDa
we muhuni tu, huna lolote. Huna cha kufanya humu jf. nakushauri post zako peleka michuziTatizo lenu mkiambiwa ukweli mnakimbilia kwa Mods ooooh mfungie huyu, huu ni mtandao wa wote nyie mnajibu sie tukijibu mnalalamika. Jibu na ww pia .
Umeandika makala ndefu lakini bahati mbaya ni pumba tupu.nlitegemea utakuwa objective kumbe unaendeleza umaskini wako wa mawazo.apa tupo ht tusio na vyama.vp yule kiongoz wa kanisa alosema wana igunga wachague chadema..vp kule sumbawanga ambapo waumini walitengwa na kanisa..vp kule arusha ambapo kiongoz mkuu wa kanisa tena wa kanda nzima aliposema wazi kuwa waumini wake wachague Chaga Development Manifesto.vp mw'kiti wa cdm alipompiga kofi mwangalizi wa uchaguzi wa kiislam kule hai...mi sina chama lakini cdm ijikosoe na ikikosolewa ikubali na kujirekebisha.
We shoga nini? Umelazimishwa kuchangia kwenye hii thread? Usitafute bwana kinguvu, bata we!
vijana wapo ndani,magereza huko Igunga,walisomewa mashtaka siku ya jumatatu tarehe 3,na kesi yao kuahahirishwa hadi tarehe 17.9.2011,kesi ya unyanganyi wa kutumia silaha,wanasheria wetu wanalighuhulikia ili kuhakikisha haki inatendeka
Asante sana Mkuu!ningeshangaa sana Kama usingniattack,ningeshangaa mno kama usingeandika haya!Baada ya kunishambulia anza sasa kujadili hoja iliyopo mezani Kama wenzako walivyofanya!
Ukiona umeanznisha sredi halafu watu wanakasirika mpaka wanatoa mapovu na jasho inapendeza sana.Kuna vitu nimejifunza humu kuwa watu wapo tayari kwa lolote kwaajili ya kumtetea Rostam hata kama anakosea!it is amazing!
FaizaFoxy,
Mbona unaonekana ni mtu mwenye kutetea sana Magambas hasa huyo Rostam Aziz? Amekupa nini huyu mwanamme mpaka una msifia mpaka kupitiliza kiasi hicho???
Of all the people in Tanzania can you single out RA as a genius? Really you must be joking! Labda kama una maanisha kwa tafsiri yako KWAMBA GENIUS NI YULE FISADI MKUBWA ANAYEJIPATIA FEDHA HARAMU KUPITIA KWENYE MIKONO YA VIGOGO WA CHAMA NA SERIKALI YA CCM NA KUZISAFISHA(MONEY LAUNDRY)KWA KUWEKEZA KWENYE MIRADI NA KAZI ZA CCM IKIWEMO KUKODI HELIKOPTA ZA KAMPENI NA KUFADHILI MIKUTANO MBALIMBALI YA CCM KAMA CC NA NEC KULE CHIMWAGA NA DSM!!!
Kama RA ni genius kweli unaweza kutuambia kwanini Chama chenu cha Magamba-CCM kimemwita ni FISADI na GAMBA pamoja na hao wenzake a.k.a.mapacha 3 kina Lowassa na Chenge?
Mimi natoka wilaya inayopakana kwa sehemu kubwa na wilaya ya IGUNGA. Kabila ambao bado wana tembea uchi karne ya 21 linaitwa wataturu. Kwa kweli nilishangaa sana kuona watu waliokuwa wanalia wakati huyu muirani akiimbia siasa uchwara za CCm. Jamani Igunga ni moja ya wilaya ambapo maisha ya watu vijijini ni magumu sana . Sehemu kubwa ya wilaya hiyo watu hawana elimu na wana huduma duni sana za kiafya
Rostam aliyaweza haya yote lakini hakujali kwakuwa hakuwa na lengo la kuwatumikia Wananchi wa Igunga. Kwasababu hizo basi nashawishika kusema kuwa Rostam ni zaidi ya DUBWANA ni mtu anayeongoza kwa roho mbaya hapa nchini. Hana huruma hata kidogo, anajali maslahi yake tu.. Bora ulivyojiuzulu, ungejiuzulu na utanzania kabisa, ukaombe uraia wa nchi nyingine huko ughaibuni sio Afrika!
Nawasilisha!
Nilishawahi kukuambia ulivyoomba msamaha wa ubaguzi kipindi kile hapa JF kuwa ulikuwa mwongo udhamiria, ubaguzi uko damni mwako!!! sasa naomba nikuulize wewe mpogoro ukiambiwa ujiuzulu uraia utaenda nchi gani? na kwa nini useme Rostam hata akijiuzulu (kama basi hilo bunge lako lina sheria za namna hiyo) aende nje ya Afrika? Kwa nini isiwe Africa na kwa nini ajiuzulu uraia wake? Unajua maana ya uraia au unakurupuka? Acha ubaguzi mama dunia ya sasa mipaka haina maana tena!
Watu wanazungumzia EAC, AU, EU, ECOWAS etc... wewe bado Morogoro, Rostam... hivi mama unawaabisha waalimu wako wa Uraia.
Nakushauri tena utulie uangalie mbona wabunge wenzako wa upinzani nikupe wachache kwa majina. Zitto Kabwa, John Mnyika, Anna Mdee.... na kuendelea, mbona hawaandiki rushwa roho kama wewe... angalia umetofautiana na wao nini? Waombe ushauri...
Tips, wanatafuta data, wanasoma sana,,, wako up2date... source yao ya information sio hapa JF tu, hapa wanapitia tu! .... Wanafuatilia dunia inaendelea vipi? kiuchumi kiutamaduni, kisayansi...
Mimi sidanganyi dada najisikia vibaya sana mtunga sheria wangu akitoka na low points kiasi hicho... i feel so bad.... serious... naona safari yetu ya maendelea kama tutaongozwa na viongozi wa namna hiyo ni sawa na ku-engage a reverse gear... tena ya treni mwendo wa kwenda mbele na kurudi nyuma sawa tu...
Mungu Ibariki Tanzania