Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,237
- 1,828
Hao Vijana bado wako ndani ama wapo nje kwa dhamana!??, please nahitaji kufahamu na kama bado wapondani kuna mpango gani wa kuwatoa ili wasipate shida za kukaa mahabusu pasipo kosa.
vijana wapo ndani,magereza huko Igunga,walisomewa mashtaka siku ya jumatatu tarehe 3,na kesi yao kuahahirishwa hadi tarehe 17.9.2011,kesi ya unyanganyi wa kutumia silaha,wanasheria wetu wanalighuhulikia ili kuhakikisha haki inatendeka