Si huko igunga pekee ndo unadhani raia ni masikini. Ni maeneo mengi tuu na ni kama asilimia kama 40 ya watanzania wanaishi katika mazingira kama hayo.
Cha ajabu ni kwamba, unaweza sema wao wana shida wakati wao wanaona kawaida tuu. Kwa sababu hali kama hiyo anaikuta tangu akiwa mtoto, anakuwa nayo hadi kuwa mtu mzima, hivyo haoni kama ni shida.
Cdm na wana harakati mbalimbali tuna budi kuwaelimisha wananchi ili watambue haki zao. Hiyo ndo itakuwa suluhisho la matatizo. Lakini ni jambo lisilo rahisi kubadili fikra za watu.