acha kutoa povu chundu wewe, eti ccm imetumia mabilioni,, kuna chama kimetumia mkojo? acheni kutupoteze MUDa

Ah! Wewe naye una kupenda kubaya kunakopofua wakati mwingine!"When a true genius appears in this world, you may know him by this sign, that the dunces are all in confederacy against him." --Jonathan Swift
Now I know Rostam Aziz is a genius.
Nachukua fursa hii,kuwashukuru WanaIgunga(Ingawa wengi hawana uwezo wa kuwa kwenye computer kama mimi na wewe)Nawashukuru wote waliotutia moyo,nawashukuru hata wale ambao hawakututia moyo,Nawashukuru sana
Uchaguzi Igunga umeisha,mengi yamesemwa na kuandikwa kuhusu mchakato mzima,kuna mengi sana yalitokea na mimi nimeyashuhudia.Kwanza nikiri kuwa ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Igunga,kimsingi nilitarijia Igunga yenye neema,na maisha bora,lakini nilikumbana na UFUKARA wa kutisha,na maeneo mengine hata Kiswahili hawajui kwani vijana wadogo sana wa umri chini ya miaka 25 hawajaenda shule,amezaliwa hapo hapo kijijini,amekulia hapo kijijini,na hajui maisha mengine zaidi ya maisha ya shida hapo kijijini.Wanawake wanatembea hadi kilometa 15 kufuata maji ambayo kimsingi si safi wala salama.
Lakini katika lindi kubwa la umaskini wa Igunga,bado serikali ya CCM imatumia mabilioni ya pesa kurudisha jimbo la IGUNGA,ni wazi siasa za Igunga zilikuwa za nguvu kupita kiasi,kwa mara ya kwanza katika historia ya Taifa letu tumeshuhudia uvunjivu,mkubwa wa sheria na katiba.Mimi ni mmojawapo wa waadhirika wakubwa wa siasa za visasi,na matumizi makubwa ya nguvu,nilitekwa na vijana wa green guard,na kunitupa porini,baada ya purukushani kubwa,nikaripoti polisi lakini hakuna hatua zilizochukuliwa,na mwisho wakanigeuzia kibao et mimi ndio niliwateka,(Aibu kwa jeshi letu la polisi,historia itawahukumu)
Nimeshuhudia dini ikiingilia siasa,na kuwataka waumini wao kutokichagua chama fulani,huu ni moto uliopandikizwa kwa makusudi kabisa,yaani chama tawala kimeishiwa hoja,hata kufikia mahali pa kuwatumia viongozi wa DINI,ili tu kujihakikishia uhalali wa kubaki madarakani,na bila aibu viongozi wetu wastaafu,na wazee wa heshima kwenye hili taifa wakakaa kimya,hakuna hata mmoja aliyekemea tabia hii(Historia itahihukumu ccm kwa kkupandikiza chuki ya dini kwenye taifa letu,aibu kubwa kwa ccm)
.Nimeshuhudia wanawake wakinyanyaswa na polisi eti tu ni wafuasi wa CHADEMA,hakuna hata mmoja aliyekemea,DC aliyevunja sheria yeye kwa kuwa tu ni DC na ni kada wa ccm,akaonekana amedhalilishwa.Nimeshuhudia vijana wengi wakibambikiziwa kesi,kwa kuwa tu ni wafuasi wa CHADEMA,ninapoandika sasa kuna vijana watano walishika gari ya mwenyekiti wa ccm wilaya ya Igunga akigawa hela rushwa,wakaripoti polisi,na baada ya polisi kukagua gari hiyo wakakuta begi lina zaidi ya 21milion,vijana wale wazalendo wakawekwa chini ya ulinzi,eti ni wanyanganyi wanotumia silaha,na bila utu wala heshima kwa binadamu wenzao,polisi wakawapelea Nzega siku ya Ijumaa,hadi Jumatatu walipopelekwa mahakamani na kusomewa shitaka la unyanganyi wa kutumia silaha,Vijana wale walisekwa ndani kwa siku tatu bila chakula wala maji,,u wapi utu wa na usawa wa binadamu?tunaelekea wapi kama taifa?na misingi gani ya taifa tunajenga?
Uchaguzi wa Igunga umekuwa na mengi ya kujifunza,kwa serikali ya ccm,wametumia rasilimali zetu,kwa ajili ya Igunga tu,ni aibu kwa ccm na viongozi wake,lakini kubwa na ambalo sharti wajifunze ni kuwa ,inapofika mahali Chama dola,chenye serikali,rasilimali pesa,rasilimali watu,uongozi kuanzia balozi wa nyumba kumi,kulalamikia CHAMA CHA UPINZANI,eti kinagawa hela,eti kimeingiza makomandoo,na Mungiki,ni wazi kuwa CCM kimepoteza mwelekeo na sasa kinaelekea kwenye anguko kuu.
Ni faraja iliyoje kuona kuwa sasa ukombozi wa pili wa taifa letu u karibu kuliko mategemeo ya wengi,kuna wengine wataona ni maneno ya kujifariji baada ya kushindwa Igunga.Lakini huu ndio ukweli na ccm ni mashahidi katika hili,wanajua nguvu kubwa kiasi gani walitumia kulikomboa Igunga,na bila msaada wa vyombo vya dola wasingeweza.
Uchaguzi umeisha,kuna majeruhi wengi,na ambao kesho ndio wapamabanaji wa ukweli,Jambo moja la msingi ni kwamba hakuna wingi wa silaha,risasi,mabomu,wala vifaa vya kisasa vya kijeshi vinavyoweza kuzuia umma unaotaka mabadiliko,umma uliochoka,umma unaolilia ukombozi,na kwa kadri serikali inavyozidi kuminya uhuru na demokrasia ndivyo umma unavyozidi kuamka na kupigania uhuru wao.Daima tutasonga mbele
Na haiwezekani mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akaja hapa kutoka jimbo walilobwagwa kuja kutuletea habari Rostam hajafanya hivi Rostam hajafanya vile, nnashaka kama ni Mbunge kweli huyu au kabandika tu picha na anatumia ID ya kujipachika, uelewa wa Mbunge mahiri unatakiwa uwe mpana zaidi ya kuongelea mtu ambae hajafanya, labda ni mbunge kweli lakini wa kupewa na si wa kuchaguliwa na wananchi, hivi kama kachaguliwa kwa kura alikuwa anawaambia nini wananchi kuwa "convince" mpaka wamchaguwe? ngoja nitembelee website ya magwanda nikapate kukidhi kiu yangu.
Nachukua fursa hii,kuwashukuru WanaIgunga(Ingawa wengi hawana uwezo wa kuwa kwenye computer kama mimi na wewe)Nawashukuru wote waliotutia moyo,nawashukuru hata wale ambao hawakututia moyo,Nawashukuru sana
Uchaguzi Igunga umeisha,mengi yamesemwa na kuandikwa kuhusu mchakato mzima,kuna mengi sana yalitokea na mimi nimeyashuhudia.Kwanza nikiri kuwa ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Igunga,kimsingi nilitarijia Igunga yenye neema,na maisha bora,lakini nilikumbana na UFUKARA wa kutisha,na maeneo mengine hata Kiswahili hawajui kwani vijana wadogo sana wa umri chini ya miaka 25 hawajaenda shule,amezaliwa hapo hapo kijijini,amekulia hapo kijijini,na hajui maisha mengine zaidi ya maisha ya shida hapo kijijini.Wanawake wanatembea hadi kilometa 15 kufuata maji ambayo kimsingi si safi wala salama.
Lakini katika lindi kubwa la umaskini wa Igunga,bado serikali ya CCM imatumia mabilioni ya pesa kurudisha jimbo la IGUNGA,ni wazi siasa za Igunga zilikuwa za nguvu kupita kiasi,kwa mara ya kwanza katika historia ya Taifa letu tumeshuhudia uvunjivu,mkubwa wa sheria na katiba.Mimi ni mmojawapo wa waadhirika wakubwa wa siasa za visasi,na matumizi makubwa ya nguvu,nilitekwa na vijana wa green guard,na kunitupa porini,baada ya purukushani kubwa,nikaripoti polisi lakini hakuna hatua zilizochukuliwa,na mwisho wakanigeuzia kibao et mimi ndio niliwateka,(Aibu kwa jeshi letu la polisi,historia itawahukumu)
Nimeshuhudia dini ikiingilia siasa,na kuwataka waumini wao kutokichagua chama fulani,huu ni moto uliopandikizwa kwa makusudi kabisa,yaani chama tawala kimeishiwa hoja,hata kufikia mahali pa kuwatumia viongozi wa DINI,ili tu kujihakikishia uhalali wa kubaki madarakani,na bila aibu viongozi wetu wastaafu,na wazee wa heshima kwenye hili taifa wakakaa kimya,hakuna hata mmoja aliyekemea tabia hii(Historia itahihukumu ccm kwa kkupandikiza chuki ya dini kwenye taifa letu,aibu kubwa kwa ccm)
.Nimeshuhudia wanawake wakinyanyaswa na polisi eti tu ni wafuasi wa CHADEMA,hakuna hata mmoja aliyekemea,DC aliyevunja sheria yeye kwa kuwa tu ni DC na ni kada wa ccm,akaonekana amedhalilishwa.Nimeshuhudia vijana wengi wakibambikiziwa kesi,kwa kuwa tu ni wafuasi wa CHADEMA,ninapoandika sasa kuna vijana watano walishika gari ya mwenyekiti wa ccm wilaya ya Igunga akigawa hela rushwa,wakaripoti polisi,na baada ya polisi kukagua gari hiyo wakakuta begi lina zaidi ya 21milion,vijana wale wazalendo wakawekwa chini ya ulinzi,eti ni wanyanganyi wanotumia silaha,na bila utu wala heshima kwa binadamu wenzao,polisi wakawapelea Nzega siku ya Ijumaa,hadi Jumatatu walipopelekwa mahakamani na kusomewa shitaka la unyanganyi wa kutumia silaha,Vijana wale walisekwa ndani kwa siku tatu bila chakula wala maji,,u wapi utu wa na usawa wa binadamu?tunaelekea wapi kama taifa?na misingi gani ya taifa tunajenga?
Uchaguzi wa Igunga umekuwa na mengi ya kujifunza,kwa serikali ya ccm,wametumia rasilimali zetu,kwa ajili ya Igunga tu,ni aibu kwa ccm na viongozi wake,lakini kubwa na ambalo sharti wajifunze ni kuwa ,inapofika mahali Chama dola,chenye serikali,rasilimali pesa,rasilimali watu,uongozi kuanzia balozi wa nyumba kumi,kulalamikia CHAMA CHA UPINZANI,eti kinagawa hela,eti kimeingiza makomandoo,na Mungiki,ni wazi kuwa CCM kimepoteza mwelekeo na sasa kinaelekea kwenye anguko kuu.
Ni faraja iliyoje kuona kuwa sasa ukombozi wa pili wa taifa letu u karibu kuliko mategemeo ya wengi,kuna wengine wataona ni maneno ya kujifariji baada ya kushindwa Igunga.Lakini huu ndio ukweli na ccm ni mashahidi katika hili,wanajua nguvu kubwa kiasi gani walitumia kulikomboa Igunga,na bila msaada wa vyombo vya dola wasingeweza.
Uchaguzi umeisha,kuna majeruhi wengi,na ambao kesho ndio wapamabanaji wa ukweli,Jambo moja la msingi ni kwamba hakuna wingi wa silaha,risasi,mabomu,wala vifaa vya kisasa vya kijeshi vinavyoweza kuzuia umma unaotaka mabadiliko,umma uliochoka,umma unaolilia ukombozi,na kwa kadri serikali inavyozidi kuminya uhuru na demokrasia ndivyo umma unavyozidi kuamka na kupigania uhuru wao.Daima tutasonga mbele
Kuna tatizo kubwa sana katika uandishi wako kwani umejaa ushabiki kiasi cha kuutoa kutokana na mada uliyoweka aani uliyoyaona na kuwa malalamiko yako kwa Chama tawala.Nachukua fursa hii,kuwashukuru WanaIgunga(Ingawa wengi hawana uwezo wa kuwa kwenye computer kama mimi na wewe)Nawashukuru wote waliotutia moyo,nawashukuru hata wale ambao hawakututia moyo,Nawashukuru sana

Nina maswali mawili naomba uyafikishe CDM Makao Makuu. Nayo ni:
- Mna mpango gani kuhakikisha morali na ushirikiano mlioupata Igunga unaendelea kukomazwa ili Uchaguzi ujao mliweke jimbo mikononi?
- Mna mpango gani kumsaidia Mwalimu Kashindye na kuendelea kumjenga kisiasa ili kwa mahitaji na Madhaifu ya kibadamu asijeingia mtego wa kununuliwa ikizingatiwa sasa hana kazi?
Pole sana mkuu kwa maswahibu yote hayo,hata hivyo hakuna ufalme utakaodumu milele ipo siku Mwenye enzi Mungu atawaumbua na anguko Lao litakuwa kubwa.Hivi inaingia akilini chama tawala(ccm)kutumia gharama za kupitiliza kiasi hicho halafu wanawazawadia bajaji kina mama wajawazito huko vijijini!!?
Alipambana sana tu jimboni kwake huyu Dada Regia na akapata kura nyingi tu. Ana haki ya kuwa hapo alipo ingawa mimi sivifagilii VITI MAALUM. Wewe na mimi ni humu tu.Nimepata jibu:
MAJINA YA WABUNGE WATEULE 23 WA VITI MAALUMU WA CHADEMA NI:
- Lucy Owenya,
- Ester Matiko,
- Mhonga Ruhwanya,
- Anna Mallac,
- Paulina Gekuli
- Conchesta Rwamlaza,
- Suzan Kiwanga,
- Suzan Lyimo,
- Grace Kiwelu,
- Regia Mtema,
- Christowaja Mkinda,
- Anna Komu,
- Mwanamrisho Abama,
- Joyce Mukya,
- Leticia Nyerere
- Chiku Abwao.
- Naomi Kaihula,
- Grace Kiwelu,
- Rose Kamili,
- Christina Lissu Mughiwa,
- Raya Ibrahim,
- Philipa Mturano,
- Miriam Msabaha
- Rachel Mashishanga.
Aliyetoa hoja ni mwanaume wa shoka, anajulikana kwa sura, anapoishi na kwa jina.Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hizi ni hoja za walioshindwa wangeshinda haya yote wasingeyasema. Ww ulitegemea kampeni za uchaguzi ziwe km unamtongoza mtu, hizi ndio siasa km huwezi achia ngazi rudi home ukasaidiane na mama kupiga deki na kufua na kupika
shukuru Mungu kuna wanaume walitumia akili zao kuanzisha JF.Chumbani kwako na mkeo au ?