Kwa hili, namsaidiaje binti yangu?

Kwa hili, namsaidiaje binti yangu?

Chief Kujenga Bond ya Mzazi na Mtoto Hua Ni Utotoni Hasa Below 7,Ikifika 10 na Above Hamna Feeling za mzazi kwa mtoto Ni kazi sana kuzirudisha Labda Kitokee au kifanyike kitu special sana.

Hapo Mama Ake Ana kazi ya Ziada,atenge muda Mwingi wa kuwa na mtoto kurudisha Bond nae na Itabidi aavumilie mchakato maana si jambo rahisi na linachukua muda mrefu.
 
Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.

Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.

Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .

Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.

Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa 🥲 , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa 🤔

Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.

Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake 🤔.
Pole sana daktari ,huna lolote unaloweza kufanya kwasasa kwa binti yako maana kila utakachojaribu kumueleza binti juu ya mama yake swali la msingi kichwani mwake linabaki kwanini hamko wote yuko na mwingine na huku wewe kwa binti yako unaonekana mwema kwa kila kitu hivyo kumueleza chochote juu ya mzazi mwenzio ni kumchanganya na kumtesa kihisia binti.

Fanya hivi timiza wajibu wako kwa binti ,mpende mjali na mpeleke kwenye njia iliyo njema suala la mama yake ataishi nalo kadri umri unavyoenda ipo siku ukubwani atahitaji walau ueleze ni nini kiliendelea ni hapo mueleze ABC zote pasina kujipakulia minyama wala kumponda mzazi mwenzio ,ni nature ndiyo itaamua yeye ataishi vipi na atakuwa vipi na mama yake .

Pole sana najua unachopitia angekuwa wa kiume ningekueleza upande mwingine ila wa kike na kanuni ya saikolojia juu ya baba na mtoto wa kike haikupi favour daktari min -me kuweza kufanya lolote juu ya binti na mama yake waelewane utapoteza muda wako bure rafiki .

Pole sana naelewa unachopitia ila jikaze ,ishi kwenye ukweli wa hivyo ndugu
 
Kama kila akienda anajeruhiwa, kwanini unamwacha anaendelea kwenda? Unafanya kwa maslahi ya mtoto au ya huyo x-mke?

Kulenga maslahi ya mtoto hakikisha uwepo wako upo nae, kwakua mama mzazi hayupo tafuta mother figure iwepo nae.
Kuna mda naona huyu binti ni mimi tu, nawaza nimnyweshe hata vodka , sijawahi kukumbana na changamoto ya namna hii😀(jokes)
 
Chief Kujenga Bond ya Mzazi na Mtoto Hua Ni Utotoni Hasa Below 7,Ikifika 10 na Above Hamna Feeling za mzazi kwa mtoto Ni kazi sana kuzirudisha Labda Kitokee au kifanyike kitu special sana.

Hapo Mama Ake Ana kazi ya Ziada,atenge muda Mwingi wa kuwa na mtoto kurudisha Bond nae na Itabidi aavumilie mchakato maana si jambo rahisi na linachukua muda mrefu.
Shida ninayoiona hapo, mama ana watoto wengine na kaolewa kabisa. Huyo mama mwenyewe ameshapoteza touch na binti yake.

min -me ajifunze kuwa baba na mama coz huyo mzazi mwenzake hataweza kujigawa tena!
 
Chief Kujenga Bond ya Mzazi na Mtoto Hua Ni Utotoni Hasa Below 7,Ikifika 10 na Above Hamna Feeling za mzazi kwa mtoto Ni kazi sana kuzirudisha Labda Kitokee au kifanyike kitu special sana.

Hapo Mama Ake Ana kazi ya Ziada,atenge muda Mwingi wa kuwa na mtoto kurudisha Bond nae na Itabidi aavumilie mchakato maana si jambo rahisi na linachukua muda mrefu.
Yapo mengi sana…
 
Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.

Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.

Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .

Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.

Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa 🥲 , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa 🤔

Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.

Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake 🤔.
Mshaachana na mzazi mwenza kwa taraka na akaolewa na mwingine, huyo futa kabisa akilini mwako maana mawasiliano hayo na mke wa mtu yatapelekea kupashiana viporo.
Vaa uhusika wa endapo wewe ndiye mpashiwa kiporo kwa mkeo, inauma sana.
 
Bwashee nazingatia hili
Bwashee kwanza ni ngumu sana kwa Mama wa mtoto kuamini kua wewe hujampa sumu mtoto ili amchukie Mama yake,si ajabu hata huko pembeni anakusema kua umempa maneno mtoto ili amchukie yeye Mama yake,

Just relax,acha nature iamue,Kujenga emotion connection kwa sasa hivi kati ya Mama na mwanae sio kazi rahisi,almost impossible kama mtoto kisha zidi miaka 10 ya umri wake.
 
Nahisi hivyo mkuu
Psychologically kuna phenomenon inayosema mtoto wa kike anahitaji uwepo wa baba zaidi ili her feminine side kuonekana. Inaitwa electra complex.

Hichi kipindi mtoto wa kike humchukulia mama yake kama rival kwenye kuwin mapenzi ya baba. Ndiyo watu husema mtoto wa kike humpenda sana baba na kinyume chake.

Sasa hapa imefanya niwaze kwamba inawezekana binti yako yupo kwenye hichi kipindi so anaona ni sawa tu hata mama asipokuepo kwakua she thinks mama ni rival. Kama kuna mtu karibu anayeweza cheki na dogo juu ya nilichoandika acha acheki ili kudeduce kama ni electra complex is at work ama she is getting colder towards her mother.
 
Back
Top Bottom