Nimependa ulichoandika....Mangi. Hongera kwa kulea binti yako .
Hiko kinachokupa shida sio tatizo wala, mzazi ambaye hajakulea ni sawa na stranger tu, inahitaji bintiyo akue katika hali yoyote ile akitaka kuelewa deeply (yeye pekee) sio kwa kulazimishwa kwanini mama yake hajawa kwenye maisha yake ndio kidogo kidogo anaweza rudisha moyo nyuma, otherwise hakuna kitu utaforce kikawa.
Tena hawa Gen Alpha, somehow wana independent minds huwezi kuwacone na ile misemo ya zamani ya mzazi ni mzazi blah blah.
Katika malezi, proximity na caring zina matter kuliko umiliki, mtoto anaweza bond na mtu yeyote atakayekuwa karibu nae.
Mtoto kashindwa kubond na mamake lawama kwa baba?Nakataaa kabisaaaa hata kwenye mahusiano kama hakuna mawasiliano Mazur basi ujue hakuna Mapenzi ndo yaliyomkuta huyo bint na mama yake no communication na baba ndiye chanzo
Mnasemaga basi....wee shenyeta bby mama bwana acha zako.Mimi huo ufala sifanyi kamwe bwashee usinione tu mlevi, na hekima zangu😅
Akifanya baba basi Hana makosa yeye mwenyewe baba amekiri hakuweka Yale mawasiliano Mazur Kat ya mama na mtotoMtoto kashindwa kubond na mamake lawama kwa baba?
Anasema baba si kikwazo kwa mtoto kuhusiana na mamake.
Sasa kwa nini unataka ukaribu mkubwa wa mtoto na mama ambaye kwa sasa ni mke wa mtu tayari?!
Ukaribu wa mtoto na mama ukiongezeka zaidi ina maana na wewe utakuwepo kuwepo karibu, kifuatacho mtajikuta mko uchi tena kwenye shuka moja😁
Thank you bro Maki, Sijui bro HS yuko wapi aiseee, kama ameacha kutumia JF what a loss.Nimependa ulichoandika....
Niliposoma tu huu uzi nilitamani nikutane na comment yako au comment ya Heaven Sent
Shukrani.
Huu uzi umejadiliwa kwa upole sana, Pata picha ingekuwa upande wa kike. JF sio salama kwa wanawake kiivo…. Nashangaa mods hawalionagi hili au na wao wana-amplify haya mambo ya ku-bully wanawake.Akifanya baba basi Hana makosa yeye mwenyewe baba amekiri hakuweka Yale mawasiliano Mazur Kat ya mama na mtoto
Mwanamke akimficha mtoto kwa baba yake atatikanwa matusi yote ila akifanya baba yuko sahihi
min -me amekosea
Utakua baba mkwe wako nike 20- ageFafanua zaidi bwashee, sijaelewa napaswa hofia nini hapo
Karibu Broh!!Thank you bro Maki, Sijui bro HS yuko wapi aiseee, kama ameacha kutumia JF what a loss.
Nimemmisiko!
Hakuna aliye sahihi kumzuia mtoto kuwasiliana na mzazi wake.Akifanya baba basi Hana makosa yeye mwenyewe baba amekiri hakuweka Yale mawasiliano Mazur Kat ya mama na mtoto
Mwanamke akimficha mtoto kwa baba yake atatikanwa matusi yote ila akifanya baba yuko sahihi
min -me amekosea
Point... Mimi nipo kwenye Ndoa na wanangu wana Bond na MM kuliko Mama yao, ni wajibu wa mama yao kutengeneza Bond na watoto, kama hajali basi!Mimi ninadeal na haya maswala kama sehemu ya kazi yangu.
Ningeweza kuandika sana ila nitasema tu kwa kifupi kwamba unachohofia ilibidi ahofie mama yake. Ni juu ya mama siyo wewe.