Kwa hili, namsaidiaje binti yangu?

Kwa hili, namsaidiaje binti yangu?

Mangi. Hongera kwa kulea binti yako .

Hiko kinachokupa shida sio tatizo wala, mzazi ambaye hajakulea ni sawa na stranger tu, inahitaji bintiyo akue katika hali yoyote ile akitaka kuelewa deeply (yeye pekee) sio kwa kulazimishwa kwanini mama yake hajawa kwenye maisha yake ndio kidogo kidogo anaweza rudisha moyo nyumba, otherwise hakuna kitu utaforce kikawa.

Tena hawa Gen Alpha, somehow wana independent minds huwezi kuwacone na ile misemo ya zamani ya mzazi ni mzazi blah blah.

Katika malezi, proximity na caring zina matter kuliko umiliki, mtoto anaweza bond na mtu yeyote atakayekuwa karibu nae.
Nashukuru sana kwa ushauri rafiki
 
Sure,
Huwezi kudeal au kutaka kubadilisha kitu ambacho ni Self control,feeling.
 
Wanawake wanajuana mkuu, unaigiziwa ili uonekane kuwa umemlisha matango pori na kumsagia kunguni mama yake! Wakitoka mbele yako wanaendelea kama kawa kama mama na mtoto wake. Wewe potezea tu endelea kumlea mwanao.
 
1785933475590.jpg
out of point mfanyakazi anahitajika huku
 
Mara nyingi kuna faida ya Mama na Baba Kuishi pamoja kuliko kisingizio michache vya kuachana.

Sasa ni majuto kwako, kwa Mwanao na hata kwa mama huko aliko.

Ndio Maana uko kundi la Kataa Ndoa kumbe ilipigwa kitu kizito Sana.

Turudi kwenye Mada, we endelea na maisha yako Huyo Binti Yako akikaa Sawa hakuna shida, ila kuwa makini Uko kwenye Risk ya kupata Single Maza. This time sio stori anatoka kwenye viungo vyako.

You gonna reap what you sow
Bwashee, mchango wako unaibua mada nyingi sana kunihusu , ila kwa hapa sipendi tu binti yangu aniweke mimi ndio kila kitu kwake , mama yake yupo na anashiriki matunzo tatizo tabia yake
 
Mimi kuna binti nimezaa nae ila sikonae ameshaolewa na jamaa kazaa nae watoto wawili ila nikitaka kumkomboa mtoto anakataa yeye ni muislam na mtoto kawa muislam mimi mkristu vipi kunahaja ya kwenda ustawi wa jamii au niendelee kurusha hela tuu
 
kuwa na Bond na ww. Hakumzuii yeye kuwa na Bond na Mama ake.

wape muda. Hao ni wanawake.
Ukaribu wao kwa miaka mingi mbele hasa wakat huu anakua na kuwa msichana mkubwa utafanya amkubali Mama yake kwa kiwango kinachostahili.

By the way. Nadhan unajua kuwa Hilo gauni anatakiwa ajue Mama yake ndio kamchagulia.
Pia ndio muda pekee wa kumpa mtoto sim aongee na kuchat na mama ake kuhusu mambo kama haya..

Na Sio unampa mtoto simu anacheza games.

kila la kheri Ndugu yangu kabisa.
mwisho wa siku. Mtoto atakuwa na mapenz na atakuwa baraka kwenu wote wawili.
Nashukuru sna mkuu
 
Mimi kuna binti nimezaa nae ila sikonae ameshaolewa na jamaa kazaa nae watoto wawili ila nikitaka kumkomboa mtoto anakataa yeye ni muislam na mtoto kawa muislam mimi mkristu vipi kunahaja ya kwenda ustawi wa jamii au niendelee kurusha hela tuu
Ngoja waje washauri
 
Binti yangu nipo nae karibu mno, yeye anajisikia vizuri hata akiongea na mimi, kuna mda naogopa hata kuoa tena kwa sababu yake tu , hapendi kushindanishwa dhidi yangu
OA Ndugu yangu.

Ni namna unatakiwa uliweke hili sawa kwenye fikra zake.

Alaf hawa Watoto wa sikuhizi hata kama hawakuambii ila wanajua kabisa hata kama hujaoa basi kuna sehem unahemea.

Sasa kuliko kujua Baba yao ni mzinzi.
Mvalishe pete Seran na umuoe.

Au uache alaf aje akupekenyue JF miaka 10 mbele ajue umemchezea msukuma wa watu kama ulivyomchezea mama ake.

☺☺☺☺
 
Hahahahaha ngoja tuone
 
Ana miaka 6 anaenda kwa mama yake ila akirudi anarudi na chuki mpya , hataki kwenda huko kisa hapewi kipaumbele na yule baba ,binafsi naona asiende tu
Kama kila akienda anajeruhiwa, kwanini unamwacha anaendelea kwenda? Unafanya kwa maslahi ya mtoto au ya huyo x-mke?

Kulenga maslahi ya mtoto hakikisha uwepo wako upo nae, kwakua mama mzazi hayupo tafuta mother figure iwepo nae.
 
Back
Top Bottom