Kwa hili, namsaidiaje binti yangu?

Kwa hili, namsaidiaje binti yangu?

Wazazi inaonekana kuna maisha mnayapata yana raha yake ya kupasha viporo ambapo sisi ambao hatuna wazazi wenza tunayakosa.

Mama yangu akiwa anaongea na mzee kwenye simu huwa anamwambia "Mpenzi wangu wa zamani.."
 
Bwashee, kuna mda nafikiri nimtoe kwa mume wake arudi kwa sababu ya mwanangu tu , ula nawaza sana
Sory si kusoma vyote swali langu ni la kipuuzi.

Ila sema Baada ya kusoma Kuna chemistry ina ivolve nadhani ni real issue ya uzi

Kama ukipenda mangi Funguka kidogo

Katika ujinga wa ujana wenu na kichefuchefu
 
Binti yako ni mdogo, kiumri lkn anajitahidi kuchangua kwanini mama hakai na mimi anakaa na wengine??

zaidi sana inaonekn akienda huko huyo mume wa mzazi mwenzako anaweza kuwa sio rafiki kwake hivyo napo lazima ajiulize mbona huyu mzee naye sio kama baba yangu ??

Hivyo ni kutafuta njia ya kumkutanisha na mama yake pasi kwenda nyumbani kwake inapobidi ili. Pengine uweze kuona anakuwaa huru au la


Yapo mengi mzee min

Mwisho wa Siku. Binti wa min -me ni mkubwa na hao wengine ni wadogo zake.

Mama kumkataa Mtoto wake wa kwanza ni nadra.
Na kama inatokea. Huko mbelen watajivuta waungane.

Hawa ni wanawake. Tutakufa sisi mwanzon alaf wao wafuate.

Ni muhimu kuelewa hili. Wanawake wa ndugu moja wanaelewana sana kuliko wanaume. Hasa likija tatizo la kifamilia. Hata kama unaona wanagombana ila kuna siku wataungana. Watakuwa wamoja.

Ni jambo la muda Ndugu yangu.
 
Hilo sio jambo lako bwashee hilo jambo ni la mama mtu, mtoto ashaona hana nafasi tena kwa mama yake, na kama unavyojua mtoto wa kike ni wa baba acha mambo yaende kama yalivyo
Mtoto wa kike ni wa Baba.
Ila malezi ni ya Mama.

Mtoto wa Kiume ni wa Mama.
Ila malezi ni ya Baba.

Ukitaka kufahamu hili. Angalia Mtoto wa Kiume alieyelewa na Mwanamke pekee anavyokuwa na mtoto wa Kike akilelewa na Mwanaume pekee anavyokuwa.

Tunategemeana.
Ila mtoto apate malezi.
 
Mtoto wa kike ni wa Baba.
Ila malezi ni ya Mama.

Mtoto wa Kiume ni wa Mama.
Ila malezi ni ya Baba.

Ukitaka kufahamu hili. Angalia Mtoto wa Kiume alieyelewa na Mwanamke pekee anavyokuwa na mtoto wa Kike akilelewa na Mwanaume pekee anavyokuwa.

Tunategemeana.
Ila mtoto apate malezi.
Kwani si yuko kwa Bibi yake? Mama ashaolewa na kidume mwingine na tayari ana watoto wengine huko, utalazimishaje? Kwani ambao mama zao wamekufa hawajalelewa vema?
 
Bwashee, kuna mda nafikiri nimtoe kwa mume wake arudi kwa sababu ya mwanangu tu , ula nawaza sana
Ww jamaa bhana 😂

Nmekuambia mtoto atakuwa sababu ya ww kumla huyo mzazi mwenzako, ukasema huwez kufanya hvy, heshima n muhimu.

Hapa tena unasema unatamani umtoe mzazi mwenzako kwa mume wake ili arudi 😂

Ngoja nicheke 😂
 
Wazazi inaonekana kuna maisha mnayapata yana raha yake ya kupasha viporo ambapo sisi ambao hatuna wazazi wenza tunayakosa.

Mama yangu akiwa anaongea na mzee kwenye simu huwa anamwambia "Mpenzi wangu wa zamani.."
Ndo mana sisi wengine tunapinga kuwa na mahusiano na single mother, mana tunajua tuu lazima watalombana tuu.
 
Muda wowote mechi inapigwa!
Kuna vitu mnakua mnavimiss.
Kwanza wanasema mkishakua na mtoto nyie ni ndugu.
Binafsi nasema ndoa sio ile ibada ya kanisani, msikitini au ya serikali, ndoa ni mtoto.
Mkishazaa tuu tyr hiyo n ndoa na haivunjiki kamwe.
 
Back
Top Bottom