Kwa hili, namsaidiaje binti yangu?

Kwa hili, namsaidiaje binti yangu?

Tajiri, uzazi ni uwepo "presence", uzazi sio Biolojia peke yake. Uzazi ni bond, mtoto anahisi uzazi kwa uwepo wake katika maisha yake.
Ndio maana leo utaona watoto wengi waliolelewa na mama zao "Single mothers" ; hawanaga time na "biological" father sababu hawakuona au kuhisi, experience uwepo wao. Wanaona ni watu wa kuja tuu. Kunakuwa hamna ile "bond" kati yao na hii ni nature mkuu.

Kiumbe pekee ambaye, nature inamnyima wazazi kiasili ni Nyoka. Nyoka akitaga mayai, anaondoka yanajiangua yenyewe na yeye anakuwa hayupo thereafter. 😊

Binti yetu pia angekuwa kwa mama yake, angekuwa anakuona kama kolo tuu. Kama Diamond anavyomuona baba yake. 😊

Ushauri: Huwezi fanya lolote hapo, wewe endelea kumhusisha mzazi mwenzio katika malezi yake. Iache nature ichukue hatua zake.
 
Tajiri, uzazi ni uwepo "presence", uzazi sio Biolojia peke yake. Uzazi ni bond, mtoto anahisi uzazi kwa uwepo wake katika maisha yake.
Ndio maana leo utaona watoto wengi waliolelewa na mama zao "Single mothers" ; hawanaga time na "biological" father sababu hawakuona au kuhisi, experience uwepo wao. Wanaona ni watu wa kuja tuu. Kunakuwa hamna ile "bond" kati yao na hii ni nature mkuu.

Kiumbe pekee ambaye, nature inamnyima wazazi kiasili ni Nyoka. Nyoka akitaga mayai, anaondoka yanajiangua yenyewe na yeye anakuwa hayupo thereafter. 😊

Binti yetu pia angekuwa kwa mama yake, angekuwa anakuona kama kolo tuu. Kama Diamond anavyomuona baba yake. 😊

Ushauri: Huwezi fanya lolote hapo, wewe endelea kumhusisha mzazi mwenzio katika malezi yake.
Shukrani sana mkuu
 
Haya mambo yanatiba ya muda tu, muda utatoa majibu wakati sahihi kabisa.

Ukikaa mbali na mtoto, hata kihisia mtoto anakupotezea, watoto wanaweza sana kupotezea hasa walipohisi kutopendwa...mifano ipo mingi, naamini wengi wanayo!
 
Sasa kwa nini unataka ukaribu mkubwa wa mtoto na mama ambaye kwa sasa ni mke wa mtu tayari?!

Ukaribu wa mtoto na mama ukiongezeka zaidi ina maana na wewe utakuwepo kuwepo karibu, kifuatacho mtajikuta mko uchi tena kwenye shuka moja😁
Hapana mkuu, mke wa mtu na tuna heshimiana na mbaya zaidi ni mzee wa pombe siwezi fanya hivyo kamwe ila sifikiri kama mama wa mtoto wangu ni mjinga kiasi hicho
 
Haya mambo yanatiba ya muda tu, muda utatoa majibu wakati sahihi kabisa.

Ukikaa mbali na mtoto, hata kihisia mtoto anakupotezea, watoto wanaweza sana kupotezea hasa walipohisi kutopendwa...mifano ipo mingi, naamini wengi wanayo!
Dah hili ni kweli, nahisi single maza na hili wana pitia mimi ni jambo moja , hii imenitisha hata kuw na mke mwingine tena kwa kuhofia binti yangu anaweza teswa
 
Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.

Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.

Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .

Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.

Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa 🥲 , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa 🤔

Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.

Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake 🤔.
Hiyo siyo kazi yako, ni kazi ya huyo asiye na bond kwa mtoto wake
 
..mimi kuongezea nakushauri na wewe uwe karibu zaidi na binti yako.

..wakati mwingine watoto wanaosoma shule za bweni hupoteza mapenzi kwa wazazi wao.
 
Binti yako ana miaka mingapi?

Ila kwa ufupi tu, toka akiwa mdogo alipaswa awe anaenda kwa mama muda likizo.

Na hapaswi kabisa kujua kwamba mliachana na mama ake, mpaka pale akue aje adadavue mambo mwenyewe.
Ana miaka 6 anaenda kwa mama yake ila akirudi anarudi na chuki mpya , hataki kwenda huko kisa hapewi kipaumbele na yule baba ,binafsi naona asiende tu
 
Dah hili ni kweli, nahisi single maza na hili wana pitia mimi ni jambo moja , hii imenitisha hata kuw na mke mwingine tena kwa kuhofia binti yangu anaweza teswa
Mpende binti yako, mfundishe kila unapopata nafasi, kuwa baba bora, mueleze mazuri yote ya mama yake, huenda akiwa mtu mzima ataweza kupambanua mwenyewe.

Kwa sasa ana grudge na mama yake, hasira kwa nini wengine wapo na mama zao ila wa kwangu hayupo(na hajui sababu, haelewi).
 
Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.

Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.

Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .

Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.

Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa 🥲 , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa 🤔

Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.

Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake 🤔.
Hii naweza kuitolea ufafanuzi kama muhanga...mzee wangu alituchukua mm na mdgo wangu kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwa mama mwingine....nilikua nina miaka 5 mdg angu alikua na 1.5...nilikuja kumuona mama yangu nikiwa na miaka 7
Sasa basi mpaka utu uzima huu sina kabisa mpnz na mama yangu na hajawahi kunikosea na wala hajaolewa....nadhani zile kumbukumbu ndogo ndogo za malezi ndio zinazaa upendo na ukaribu.
Binti yako atakua anatamani sana aoneshe upendo kwa mama yake ila anashindwa na atashindwa zaidi akikua.
 
Mama yake anashiriki kila kitu hata leo kanitumia rangi ya gauni la mtoto kwa birthday yake mwezi wa tisa, ila kuna bond ya mama nahisi anaikosa, kwenye familia ya mtu kuweka hii bond kwa mtoto ambae yupo na bond na mimi naona ni ngumu sana 🤔
kuwa na Bond na ww. Hakumzuii yeye kuwa na Bond na Mama ake.

wape muda. Hao ni wanawake.
Ukaribu wao kwa miaka mingi mbele hasa wakat huu anakua na kuwa msichana mkubwa utafanya amkubali Mama yake kwa kiwango kinachostahili.

By the way. Nadhan unajua kuwa Hilo gauni anatakiwa ajue Mama yake ndio kamchagulia.
Pia ndio muda pekee wa kumpa mtoto sim aongee na kuchat na mama ake kuhusu mambo kama haya..

Na Sio unampa mtoto simu anacheza games.

kila la kheri Ndugu yangu kabisa.
mwisho wa siku. Mtoto atakuwa na mapenz na atakuwa baraka kwenu wote wawili.
 
..mimi kuongezea nakushauri na wewe uwe karibu zaidi na binti yako.

..wakati mwingine watoto wanaosoma shule za bweni hupoteza mapenzi kwa wazazi wao.
Binti yangu nipo nae karibu mno, yeye anajisikia vizuri hata akiongea na mimi, kuna mda naogopa hata kuoa tena kwa sababu yake tu , hapendi kushindanishwa dhidi yangu
 
Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.

Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.

Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .

Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.

Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa 🥲 , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa 🤔

Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.

Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake 🤔.
Vp lakini si bado unapiga..
 
Mangi. Hongera kwa kulea binti yako .

Hiko kinachokupa shida sio tatizo wala, mzazi ambaye hajakulea ni sawa na stranger tu, inahitaji bintiyo akue katika hali yoyote ile akitaka kuelewa deeply (yeye pekee) sio kwa kulazimishwa kwanini mama yake hajawa kwenye maisha yake ndio kidogo kidogo anaweza rudisha moyo nyuma, otherwise hakuna kitu utaforce kikawa.

Tena hawa Gen Alpha, somehow wana independent minds huwezi kuwacone na ile misemo ya zamani ya mzazi ni mzazi blah blah.

Katika malezi, proximity na caring zina matter kuliko umiliki, mtoto anaweza bond na mtu yeyote atakayekuwa karibu nae.
 
Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa 🥲 , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa 🤔
Mara nyingi kuna faida ya Mama na Baba Kuishi pamoja kuliko kisingizio michache vya kuachana.

Sasa ni majuto kwako, kwa Mwanao na hata kwa mama huko aliko.

Ndio Maana uko kundi la Kataa Ndoa kumbe ilipigwa kitu kizito Sana.

Turudi kwenye Mada, we endelea na maisha yako Huyo Binti Yako akikaa Sawa hakuna shida, ila kuwa makini Uko kwenye Risk ya kupata Single Maza. This time sio stori anatoka kwenye viungo vyako.

You gonna reap what you sow
 
Back
Top Bottom