Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

JWTZ ni jeshi la vilaza,
Limejaa ujinga mwingi na uwoga
Kazi Yao ni kupigana na raia wao kugombania mademu bar
Ndio maana walitandikwa na mgambo wa M23
Wewe ni mwehu na huna akili yani umekaa umejificha unaandika huu ujinga na ikitokea viongiozi waitishe maandamano hutoki halafu unakuja kusema JWTZ waoga sasa nani hapo muoga
 
Naomba kuchangia Uzi huu.

Kwanza mnaoidharau Rwanda kijeshi futeni hiyo mentality, ni nchi ambayo kiongozi wake amejidhatiti kuunda JESHI imara, utii na lenye ufanisi mkumbwa sana.
RDF ni moja ya majeshi ya kisasa kabisa Afrika hii.

Silaha kubwa ya JESHI LA RDF ni intelijensia Bora sana. Mnaweza msiamini hata ndani ya vyombo muhimu vya kiulinzi na kimaamuzi Kuna maajenti wa Rwanda. Serikali ya nchi yenu imefumbia macho ambapo wanyarwanda wameshika madaraka na nyazifa muhimu kwenye serikali ya JMT.

Je, Tanzania mtaweza kipi dhidi Yao? Mmeruhusu rushwa mpaka namna ya ku recruit vijana kuwaingiza kwenye JESHI letu, je, serikali ya Rwanda itasita kutoa mafungu Kwa akili ya maafisa walafi Ili wawaingize vijana wao jeshini?
Mkuu wa majeshi Afande J.J Mkunda alisisitiza kihusu raia wa kigeni kupata teuzi serikalini but who cares?

Tanzania inakuwa nchi kubwa yenye ushabiki wa kijinga katika mpira na siasa chafu zisizo na manufaa kwetu.

Kagame anajua by numbers haiwezi Tanzania lakini yeye kaja na njia ya kujua mmeamkaje, mmekula Nini, mmefanya Nini na mnatarajia kufanya Nini.
Rwanda wako smart kuliko mnavyodhani, JESHI letu tumelifanya butu Kwa sababu ya siasa za kishabiki, haliko huru Tena kiasi kwamba mwenyekiti wa Chama mkoa ana nafasi ya kumpa maagizo kamanda wa kijeshi.

SILAHA
RDF inaendelea kujiimarisha Kwa silaha za kisasa zaidi toka Kwa washirika wake wakubwa Russia na China.
RDF Ina mifumo Bora zaidi ya Air Defense Systems kuliko nchi zote za ukanda wa EAC ukiacha Ethiopia.

RDF ina viwanda vya ndani Kwa ajili ya light weapons na APCs ( magari ya delaya).
RDF ina attack and utility helicopters ambazo Zina uwezo wa kushambulia toka mbali Kwa mvua ya mashambulizi ya risasi na makombora ya masafa madogo.
Nimetaja silaha zao muhimu tu ( na zinazojulikana wazi) ambazo Kwa asilimia kubwa wapinzani wa Rwanda hawana.

Vita na Rwanda siyo sawa na Malawi Bali ni kazi pevu inayoitaka Tanzania kukaa chini na kuvipa uhuru, uwezo vyombo vya ulinzi.

Hitimisho:
Taifa letu🇹🇿 tunalipenda sana, lakini tusijiaminishe Kwa uwezo wetu wenyewe. Tujiimarishe zaidi.
Kinachouma zaidi huyo Mkunda mwenyewe ana ndugu Rwanda upande wa baba yake mzazi.
 
Hunaga akili wewe,Unashindwa kutofautisha vita na operation tena ambayo inajumuisha vikosi washirika.Kwa hiizo akili zako ndogo unaona rwanda anakipi chakuisumbua Jwtz.Tumia akili zako zakuzaliwa bila mihemko ulete majibu sahihi.
Huyu jamaa ni kiazi tu nimefatilia reply zake ni mweupe hajui chochote kuhusu mambo ya kimedani halafu kingine linaingiza mambo ya siasa kwenye vita ko lifala fmtu achana nalo mzee
 
Heb nielekez3 vizuri with reference and citation where necessary, 1. wale M23 ni kagame ??

2. JWTZ imekabliqna wapi na jeshi la RWANDA. ??
au Kikosi cha SADEC cha SAMI ni cha JWTZ .??

heb nielekeze kama ni cha JWTZ. unambie battalion gani na kambi GANI. . With reference of Numbers mana kila battalion na kambi zinajylikanq kwa namba mkuu.

Yani kikosi kipigwe af kombania yake imepoa tu. Why hawakwenda kutoa msaada .....
Mkuu huyu achana nae hajui kitu
 
Kuanzia sasa marufuku kuvunja matofali na kutembea na manati
Sio hadhi ya jeshi hilo

Tunataka mapandikizi yajae kwa Slim kama wenzetu wanavyofanya ili Baada ya miaka kadhaa yatokee ya kutokea

Hana u smart wowote wa kutisha bali kama kaweka watu huku watafutwe na wawe eliminated all

Ana jeuri ya kuwa kapita jeshi na kufanya aliyoyafanya zamani

Anasema atawafuata hata wakiwa maili 2000
Ina maana Yule wa South ama
 
Silaha zenu dalali Lugumi, mtu wake.

Ana watu mpaka ndani
 
We jamaa unaongea sana halafu ni mweupe kichwani kwenye mambo ya majeshi.

Haya twambie aliwafanya nini hapo Goma
Hili swali lako linaonesha ulivyo mjinga.

Hujui JWTZ walifanywa nini Goma na Bukavu? Au unajitoa ufahamu tu?
 
Hata enzibya kikwete,ilikua hatar sana
Pona ya Kikwete aliikuta JWTZ iliyokuwa inajielewa sana. Majenerali waliokuwa watu wa kazi kweli ambao hawawaogopi wanasiasa.

Tena Majenerali wengi na Maofisa Seniour enzi za kikwete ni watu waliopita nae Monduli ambao walikuwa wanamtuliza akileta za kuleta
 
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.

Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.

Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Bora angenyamaza! Kajichimbia kaburi kwa uozo wake aliongea!
 
Kwa biti alilowapiga Kagame jana kama wana akili waachane na kuwa majinga ya CCM na waanze kwa kuwakazia kusimamia kweli Katiba CCM waache upuuzi wa kuipeleka Tanzania watakavyo
Sisi tuko vizuri Sana, nilisoma pahala fulani kuwa lugumi ndo kapewa tenda ya kununua siraha kwaajili ya geshi letu la taifa, sijui ilikuwa kweli au stori tu za uongo, maana mengi husemwa hapa duniani.
 
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.

Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.

Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Si nimesikia MArekani wamesign mkataba wa kumaliza hii conflict kwa Congo kulindwa na wao kuvuna madini pale? Au ndiyo kama alivyowafanya Ukraine, wamesign mkataba iila sioni kama akiwalinda Ukraine zaidi naona mashambulizi kutoka Russia yamezidi zaidi?
Kuna hatari hii mikataba US akaanza kuvuna lakini asitekeleze obligations zake.
 
Vijiwe vingi vya walevi wa kahawa kunakuwa na umbea, udaku na mipasho mingi kwelikweli
 
Si nimesikia MArekani wamesign mkataba wa kumaliza hii conflict kwa Congo kulindwa na wao kuvuna madini pale? Au ndiyo kama alivyowafanya Ukraine, wamesign mkataba iila sioni kama akiwalinda Ukraine zaidi naona mashambulizi kutoka Russia yamezidi zaidi?
Kuna hatari hii mikataba US akaanza kuvuna lakini asitekeleze obligations zake.
Kagame ana akili. Na anapenda kuzungukwa na vichwa. Sio kama CCM wa huku.
 
Ndo useme sasa walichofanywa ili uelimishwe
We hujui walichofanywa?

Hujui tumepoteza wanajeshi wangapi Congo? Hujui mission ya kuzuia M23 wasizichukue Goma na Bukavu zilifeli?

Hujui askari wetu na wengine wa SADC walichukuliwa mateka hadi waliporuhusiwa waondoke kurudi nyumbani kupitia Goma?
 
Sisi tuko vizuri Sana, nilisoma pahala fulani kuwa lugumi ndo kapewa tenda ya kununua siraha kwaajili ya geshi letu la taifa, sijui ilikuwa kweli au stori tu za uongo, maana mengi husemwa hapa duniani.
Ni kweli
 
Tunalimaliza hili taifa kwasababu za kijinga kabisa.
Kwasababu ya kuwa na viongozi wenye matatizo ya kisaikolijia, viongozi wanaoamini wanapaswa kusifiwa tu. Taifa la viongozi wanaamini uchawa kama wa akina Lucas Mwashambwa ndio uzalendo uliotukuka ni taifa linaloelekea mwishoni kama halitokombolewa.
Bila shaka itakuwa wewe ni mhamiaji haramu
 
Back
Top Bottom