GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,187
- 6,991
Lazima umuweke samia Ili roho iridhike,wakati jeshi no la sadc na aliyeamua silaha gani ziende ni mwenye nchi
View: https://youtube.com/shorts/IwwAXPeBkwI?si=g4nMyIHBt0Df81Xx
Vita ni mbinu za medani na kivita zinazotumika kwa ufanisi kumshinda adui, Jiulize SADC na silaha hizi ilikuwaje wakazungukwa na kuwekwa mateka?