Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

So far so pity, kitendo cha kuwaweka mateka Jwtz ilikuwa ni matusi kwa Tz. Kuliteka jeshi ni kuiteka nchi, ni kumteka raisi. Such a big shame to the country.

Na uzuri kasema tena na kama kawaida atarudia tena kuivamia Congo sasa tujiandae kusuka ama kunyolewa tena ..mind you, uimara wa jeshi si ukubwa wa nchi, na vita si uimara wa jeshi bali mbinu sahihi za vita ..don't underestimate your enemy till you are there.
 
Kama kikosi kinachopigwa kina baadh ya askance wa tz basi hilo sio jesh la tz.... hizo ni fursa tu zinatolewa kwa vijana waende kama ajira... sheria na myenendo ya huko haigusiani na tz moja kwa moja..

Ukiongelea JWTZ kama ni kikosi basi Sema
Kikosi gani kilipigana na rwanda – kipo chini ya Koplo / Sajenti nani ??.. Kama sio chetu ila kina baadh ya Ascari wetu basi sio chetu.

kiliposhindwa ilipaswa kisaidiwe moja kwa moja na sasa inapaswa tujue ni Kombania gani ilienda ku backup – na ipo chini ya Kapteni / Meja gani ?? Mzembe mzembe

Ikiwa kombania ilishindwa nambie inatokea kwenye Batalioni gani na ipo chini ya Kanali Gani ? asokuwa mwajibikaji hivyo ??

heb nipe taarifa za Brigedi ya hiyo battalion ilofeli kumchqpq mranda walipokutana na usisaha Brigedia Jenerali Anaeiongoza. Ongeza na taarifa za Divisheni na Meja Jenerali pia kwa hapa TZ tuna
Kundi la Majeshi (Corps) ambalo lipo chini ya Luteni Jenerali
Acha kulisema Jeshi Kuu (Army) na Jenerali wake kiboya boyq mze.

JESHI SIO WANA SIASA WENU WAIMBA TAARAB HAO.
Acha bla bla nyingi na maneno mengi yasiyoeleweka mbele ya vyombo vya habari vya Rwanda na Tanzania

Hao JWTZ waliondoka kuwa wanaenda kumpiga kunguru mweusi na operation waliitwa kumpiga kunguru mweusi wakageuziwa kibao wao ndio wakawa kunguru weusi

Mbona wakati ule Jeshi la SADC chini ya Mwakibolwa wa JWTZ lilipowafurusha M23 mlisifia Tanzania ,Leo Rwanda ana vifaa vya kisasa hategemei tena vita ya misituni na kutrmbea kwa mguu kama enzi za Mwakibolwa mnaanza kulilia

Jeshi lilishindwa kongo,Huo ndio ukweli kwa sasa .Wamepokonywa mpaka vifaa wameviacha kigali

Wanajeshi wetu wamesearch kama kuku na polisi wa Rwanda baada ya kujisalimisha.

Rwanda ili release Video na kutoa maelezo kuwa wale wote walio surrender wa JWTZ watapita kwake

Ni aibu kubwa sana ,Na sasa kagame ametoa tena tamko kali kuonya JWTZ na wenzake
 
Kwa biti alilowapiga Kagame jana kama wana akili waachane na kuwa majinga ya CCM na waanze kwa kuwakazia kusimamia kweli Katiba CCM waache upuuzi wa kuipeleka Tanzania watakavyo
kwani si alitishia wakati wa Kikwete na baadae aliufyata?
 
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo.

Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.

Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
kilichomfanya alazwe ujerumani ni nini? atulie watu washamwaga wino tayari
 
We hujui walichofanywa?

Hujui tumepoteza wanajeshi wangapi Congo? Hujui mission ya kuzuia M23 wasizichukue Goma na Bukavu zilifeli?

Hujui askari wetu na wengine wa SADC walichukuliwa mateka hadi waliporuhusiwa waondoke kurudi nyumbani kupitia Goma?
Askari kufa ni kawaida sana maana wanaapa kufa sasa maswali ni haya

☆JWTZ ilienda Congo Dr kupitia mwamvuli upi?

☆Hiyo kuchukuliwa mateka walichukuliwa lini? au mwenzetu huelewi maana ya hilo neno
 
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.

Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.

Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.

05 July 2025
Kigali, Rwanda 🇷🇼

We have the capacity you don't know, of fighting if and when we have to fight - President Kagame


View: https://m.youtube.com/watch?v=kVNhySLWZqg

Mheshimiwa rais leo akazia alichotuonesha mhariri mkuu wa gazeti asimulia alichokiona Goma na Bukavu....

TOKA MAKTABA:
22 February 2025

MGOGORO WA DR Congo : Yaliyokutwa katika ghala la silaha za askari wa Tshisekedi na mipango yake ya kuvamia Rwanda


View: https://m.youtube.com/watch?v=STZBGC_UncE
Mhariri mtendaji James Munyaneza wa The New Times Rwanda atoa ushuhuda wa kina alipopata fursa kuwepo Goma na leo akiwa studio pamoja na mwandishi James Kahuranga kwa njia ya simu akiwa Rusizi kutupa habari za kina...

Inaonesha FARDC walikuwa wamejipanga kuivamia Rwanda kutokana na mpangilio wa zana zilivyopangwa (formation) kuelekea nchi ya Rwanda. Mhariri mtendaji James Munyaneza anasimulia kwa undani hali hiyo alivyokuwa amejipanga Tshisekedi ..

Mhariri mtendaji James Munyaneza alichokiona Goma ni uthibitisho unaoweza kuchukuliwa kuwa kulikuwa na mkakati mpana wa jeshi la Congo FARDC, Burundi kuivamia Rwanda kama tukio la bahati la M23 wasingejitokeza na kutibua mipango hiyo kwa ...

Mhariri mtendaji James Munyaneza aliweza kufika eneo la Airport ya Goma ambapo kilikuwa kitovu cha mapambano makali baina ya FARDC na M23 yaliyotokea wiki mbili zilizopita ....

Mhariri mtendaji James Munyaneza aliweza kufika kambi iliyokuwa na hadhi ya Joint Command Centre iliyokuwa inaratibu mipango ambapo kulikuwa na milingoti minne ya bendera kuwakilisha jeshi la Congo FARDC, jeshi la Burundi, jeshi la SADC SAMIDRC, jeshi la BURUNDI na FDLR - mgambo wa intarahamwe

Na kuwa ...Joint Command Centre hiyo ni kambi ongozi ya Operesheni za kijeshi kuna nyaraka na ramani zilizotokana ukusanyaji wa intelejesia ya kijeshi zinazobainisha maeneo mkakati nyeti ambayo FARDC na FDLR wangeyashambulia Rwanda... zilizoachwa baada ya kambi hizo kukimbiwa kufuatia kipigo kutoka kwa M23

Kilima Nyoka vilikuwepo vikosi special forces wa FARDC wakiwa wamejichimbia wanataza mpaka wa Rwanda na Kanyamahoro kulikuwepo kambi ya FDLR iliyo kilometa 3 tu kutoka mpaka na Rwanda..

Kambi zenye majina ya Satan 2 (shetani) Armageddon (Ziwa la Moto) majina hayo yakiashiria unyama unyama na silaha kali za maangamizi zilizo tayarishwa kuishambulia Rwanda ...

Kambi za mamluki : waliosema ni 'wataalamu' kwa kumaanisha wangekuwa wanatoa ujuzi wa kutumia silaha hizo za maangamizi za 'shetani' na 'Ziwa la Moto' kuitia adabu Rwanda ..
1751893937317.jpeg



Kwa hiyo majeshi haya FARDC, kikosi cha ulinzi wa Rais, FLDR, mamluki wote hawa wangejiunga pamoja kuivamia Rwanda kwa kustukiza ... kama M23 wasingeanzisha mashambulizi February 2023..

Makontena yaliyosheheni silaha za mizinga ya masafa marefu ya kila aina , RPG , sniper rifles, kamikaze drones, camera ikionesha ingekuwa vita ya kisasa ...

Masimulizi hayo ya Mhariri mtendaji James Munyaneza yanakwenda na video mwendo ndani ya mahojiano haya ya ushuhuda wa kina..

Wataalamu kijeshi, utambuzi (intelejensia) ya kijeshi na intelejensia ya kiraia wanasema mkusanyiko huo wote wa mikakati, silaha, utaalamu, matayarisho mazito ya upande wa serikali ya Tshisekedi jirani na mpaka wa Rwanda. i
The missiom was to topple the Rwandan government and that mission has aborted
Inaonesha hayakuwa kujitayarisha kuishughulikia majeshi ya waasi wa M23 bali lengo lilikuwa kukamilisha tamko la Tshisekedi kuwa wataipiga Rwanda na kubadilisha uongozi wa kiserikali uliopo nchini Rwanda..


Vifaa vya Tshisekedi vilivyokutwa na M23
1751893982689.jpeg
 
16 June 2025
Waterkloof Air Force Base,
South Africa

Kufuatia vikosi vya SADC vya Tanzania, Afrika ya Kusini na Malawi kuondoka Goma DR Congo kupitia Chato Geita Tanzania

Shirika la ndege la Tanzania limepewa jukumu la kuwasafirisha hadi nyumbani kutoka uwanja wa ndege wa Chato

2nd batch of SANDF troops back on home soil​


View: https://m.youtube.com/watch?v=xzJbRNkJyIg

TOKA MAKTABA :

Juhudi wa mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi ya SADC Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania , wakuu wa majeshi wa SADC, wakuu wa vikosi vya SAMIDRC na wakuu wa nchi wa SADC wamewezesha kupatika uwezekano wa majeshi ya SAMIDR kuondoka salama kupitia Rwanda na Chato Tanzania

01 May 2025
Pretoria
Republic of South Africa

CHATO KUWA KITUO CHA MUDA KWA MAJESHI YA SAMIDRC KUREJEA MAKWAO KUTOKA CONGO

Inaripoti vyanzo katika kikosi cha Afrika Kusini SANDF vikisema agizo la kuanza kufunga virago lilikuja kabla tu ya wikendi iliyopita. SAMIDRC ina vikosi kutoka nchi za Afrika ya Kusini, Malawi na Tanzania vilivyokuwa nchini DR Congo kwa mwaliko wa serikali ya Kinshasa.

Chapisho hili linaripoti zaidi, vifaa na wafanyakazi watasafiri katika misafara mbalimbali kupitia Rwanda hadi Chato kaskazini-magharibi mwa Tanzania. Mji wa kando ya Ziwa Viktoria wenye uwanja wa ndege , kilomita 500 kutoka Goma na Sake DR Congo, utakuwa eneo la mwisho kabla ya kugawanyika kwa vikosi vyake kwa ajili ya kurejeshwa katika nchi zao.

"Hatuachi chochote nyuma," mwanajeshi wa Afrika Kusini anaripotiwa kusema, na mwingine kwenye rekodi akisema "Kama tunavyojua, Kikosi cha Sapoti ya Haraka (QRF) kitaondoka mwisho kutoa ulinzi katika mkia wa msafara mzima."

"Agizo tulilopewa linasema ifikapo Mei 30 kila mtu na kila kitu kinapaswa kuwa nje ya Goma na njia yake. Ilikuwa pilikapilika mwishoni mwa juma, lakini hakuna anayelalamika kwa sababu hatimaye tunarudi nyumbani," mwanajeshi mmoja anaripotiwa kusema.

defenceWeb inaelewa kuwa hatua hiyo imeanza, huku mizinga ikihamishwa kuanzia Jumanne tarehe 29 Aprili 2025. Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wanaodhibiti Goma na Sake inaonekana wamekuwa wakiratibu na wakikagua vifaa vinavyoondoka vya SAMIDRC, jambo ambalo limewakera wanajeshi.

Maagizo ya kufungasha na kuondoka yanalingana na mpango wa wakuu wa ulinzi wa majeshi ya nchi hizo tatu TCC zenye majeshi chini ya mwamvuli wa SAMIDRC waliopendekezwa katika mkutano wa Aprili 11, 2025 jijini Dar es Salaam Tanzania na wawakilishi wa SADC. Wakuu hao walionyesha kufadhaika kuhusu kucheleweshwa kwa SADC kukarabati na kuandaa njia ya ndege ya uwanja wa ndege wa Goma ambayo bado inashikiliwa na waasi hivyo kuafiki njia ya kupita Rwanda hadi Chato Tanzania. Lakini hatimaye rais Paul Kagame aliafiki majeshi ya SADC ya SAMIDRC watumie njia ya kupitia Rwanda yenye usalama wa kuaminika kuondoa majeshi hayo wageni wa serikali ya Kinshasa hadi Chato.

SAMIDRC withdrawal from DR Congo through Rwanda and Chato.​

Confimed that soldiers from Malawi, Tanzania and South Africa were withdrawing from bases in Goma and Sake with all equipment.

Tshabalala said a reconnaissance mission, which included representatives from Malawi, South Africa, Tanzania and the Sadc secretariat was conducted from April 14 to 19 to assess and confirm the withdrawal route from Goma through Rwanda to Chato, Geita region in Tanzania towards the respective TCC home countries.

“The team’s findings informed the finalisation of the withdrawal plan. This plan will ensure the safe and efficient return of personnel and assets.

“The withdrawal will take place in phases and the SANDF will provide regular updates to the public regarding the safe return of our soldiers to South Africa,” he said.

defenceWeb understands that the move has begun, with artillery being moved as from Tuesday 29 April. The Rwanda-backed M23 rebels controlling Goma and Sake have apparently been inspecting outgoing SAMIDRC equipment, much to the irritation of soldiers.

The pack up and go orders correspond with the plan the defence chiefs of the three SAMIDRC TCC proposed at an 11 April meeting in Dar es Salaam with SADC representatives. The chiefs voiced frustration about the delay in SADC repairing and preparing the Goma airport runway still held by the rebels.

The pack up and go orders correspond with the plan the defence chiefs of the three SAMIDRC TCC proposed at an 11 April meeting in Dar es Salaam with SADC representatives. The chiefs voiced frustration about the delay in SADC repairing and preparing the Goma airport runway still held by the rebels.

They proposed the withdrawal, earlier agreed to by M23 senior military hierarchy, continue by road. The SADC secretariat had to obtain Rwandan approval for safe passage through the country. It was later reported in Rwandan media that President Paul Kagame approved secure passage for SAMIDRC.
 
The SADC secretariat had to obtain Rwandan approval for safe passage through the country. It was later reported in Rwandan media that President Paul Kagame approved secure passage for SAMIDRC.
ASKARI ZAIDI WA SANDF Jeshi la Taifa la Ulinzi waliokuwa ktk vikosi vya SADC SAMIDRC wakiendelea kuwasili nyumbani Jamhuri ya Afrika ya Kusini :

We cross now to SABC News Reporter Makgala Masiteng in Bloemfontein, Republic of South Africa ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=ihSJwh3FfMs
 
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo.

Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.

Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Kama JWTZ ingekuwa dhaifu Comoro could be a chaotic country, kama JWTZ ingekuwa dhaifu huyo mshenzi angejikatia maeneo ya Kagera, Kigoma, Rukwa, Katavi na Tabora. JWTZ ingekuwa dhaifu Burundi could be under Kagame's influence. Kagame is a worst President doesn't sense any future threat atakufa ataacha Nchi ikiwa haina leadership pillars na watarudi kupigana tena. Kuishi na watu vizuri nayo ni hekima sio kila mtu anaweza sio Makalio hayo ...
 
Wana huo uwezo. Saivi Jeshi la Tanzania limekuwa Jeshi la maonyesho. Ukiwahitaji unawaita tu unawalipa wanakuja kucheza kwata za kimya kimya.

Huwezi kuwekwa mfukoni na CCM alafu ukawa na akili.
Kweli mkuu Jeshi letu limeshakua kama wasanuu wa Bongo movie jeshi limekua la Uswahili tu na kujenga from za maduka tu.
 
Achaga stories za zamani. Watu wanaishi leo.

Siku si nyingi utaona Comoro wanaomba ulinzi kwa wazee wa battle Rwanda sio JWTZ tena

Kama JWTZ ingekuwa dhaifu Comoro could be a chaotic country, kama JWTZ ingekuwa dhaifu huyo mshenzi angejikatia maeneo ya Kagera, Kigoma, Rukwa, Katavi na Tabora. JWTZ ingekuwa dhaifu Burundi could be under Kagame's influence. Kagame is a worst President doesn't sense any future threat atakufa ataacha Nchi ikiwa haina leadership pillars na watarudi kupigana tena. Kuishi na watu vizuri nayo ni hekima sio kila mtu anaweza sio Makalio hayo ...
 
Kwenye mali USA huwa hataki ujinga:Kuwachapa kamuulize Sadam Hussein na Gadaff:Hizo hapo Congo ni mali sio machungwa:
Shida siyo mali, ni malinzipi labda za Kinshasa.

Pili, Marekani hawezi kupogana kitoka Marekani, hapo labda we na military base ambayo ni mgumu.

Unakaza sana fuvu wakati hujui chochote.
 
Back
Top Bottom