Goma wapo chini ya eneo wanapotawala waasi na hawatoki njeJWTZ ilikuwa enzi za Nyerere, siku hizi imekuwa UVCCM.
Goma wapo chini ya eneo wanapotawala waasi na hawatoki njeJWTZ ilikuwa enzi za Nyerere, siku hizi imekuwa UVCCM.
Congo lilipo jeshi jwtz walipateka kwa haraka na kuua Askari wane wa jwtz na kujeruhi wengi na mpaka mda huu hawathubutu kujibu mapigo, na kwa nini Asikari waliuawa wakashindwa kuwafukuza waasi ambao mpaka mda huu wanatawala eneo lote walipo jwtzKagame anaweza kuwatisha watu wengine, lakini Kagame hawezi kuitisha Tanzania, kwamba atapambana nayo achilia mbali kuipiga.
Atakung'utwa asubuhi kweupe, wala Rusumo hatovuka pale.
Na kweli, amiri jeshi kuwa mwanamke sio issue lakini waziri wa ulinzi kuwa mwanamke inapunguza motisha kwa wapiganaji. Mambo ya jeshi hayana usawa wa kijinsia hata Mungu alijua hilo ndio maana akamwambia Adam utatafuta kwa jasho na utakuwa mlinzi wa Eva.Na kweli Jw wame tia aibu , wizara ya ulinzi ina ongozwa na kyupi , amiri jeshi mkuu nae ni kyupi kwa nini msikae kidada dada
Congo wameshindwa kumaliza UasiWana huo uwezo. Saivi Jeshi la Tanzania limekuwa Jeshi la maonyesho. Ukiwahitaji unawaita tu unawalipa wanakuja kucheza kwata za kimya kimya.
Huwezi kuwekwa mfukoni na CCM alafu ukawa na akili.
Chadema bwana🤣🤣🤣🤣Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.
Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.
Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Jwtz ya zamani ilikuwa strong sana kwani Askari wangi wa kiume walikuwa wengi zaidi hivyo kuwa na mazoezi magumu mazuri, sasa wanawake ni wengi sana kiasi cha kupelekea jeshi kuwa la kawaida sana hata kufeli congo imetokana na kupungukiwa nguvu tofauti na zamaniNa kweli, amiri jeshi kuwa mwanamke sio issue lakini waziri wa ulinzi kuwa mwanamke inapunguza motisha kwa wapiganaji. Mambo ya jeshi hayana usawa wa kijinsia hata Mungu alijua hilo ndio maana akamwambia Adam utatafuta kwa jasho na utakuwa mlinzi wa Eva.
Kagame ana nguvu ya America pia mseveni Kwani ni wanufaika wa mali za Congo na soko lao ni huko AmericaWewe unaonelana MJINGA sana na hujui historianya K-GAME
JWTZ ni jeshi la vilaza,JWTZ Ipo imara mno
Hakuna jeshi east and central afrika la kuikoromea JWTZ!!
Naongea by experience in side!!
Huu ni Uongo chadema hawana mda huo kazi ya chadema sasa ni kutaka uchaguzi huru na haki Tume huru ya uchaguzi, wanakemea kukataa , utekaji, mauaji, kuwabambikia kesi za uongo, acha kuwasingizia UongoChadema bwana🤣🤣🤣🤣
Eti wenyewe wameanzisha hii mada na kukusanyana na kuichangia wakifikiri itawasaidia kumuondoa Samia madarakani Ili aingie chiba wao lissu (mwenye bwana ulaya). Kweli hawa watu ni hamnazo aisee......ndo maana Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, anaoshia kuwaonyesha dole la kati tu.
Congo walipo ni sehemu inayotawaliwa na m23 hawana uwezo wa kuwafukuza tena kilichobaki ni wanarejea Tanzania, congo hawaiweziJWTZ ni jeshi la vilaza,
Limejaa ujinga mwingi na uwoga
Kazi Yao ni kupigana na raia wao kugombania mademu bar
Ndio maana walitandikwa na mgambo wa M23
Umejiunga Leo jf nn ndugu?!!! Fuatilia vzr, ndani ya dakika utaelewa kuwa nilichokisema ni kweli kabisa.Huu ni Uongo chadema hawana mda huo kazi ya chadema sasa ni kutaka uchaguzi huru na haki Tume huru ya uchaguzi, wanakemea kukataa , utekaji, mauaji, kuwabambikia kesi za uongo, acha kuwasingizia Uongo
Congo wamefeli sana sasaJWTZ ni jeshi la kazi kazi..
Mh, naona mchambuzi wa masuala ya kiusalama unapngea. Aisee, kazi ipo!!Jwtz ya zamani ilikuwa strong sana kwani Askari wangi wa kiume walikuwa wengi zaidi hivyo kuwa na mazoezi magumu mazuri, sasa wanawake ni wengi sana kiasi cha kupelekea jeshi kuwa la kawaida sana hata kufeli congo imetokana na kupungukiwa nguvu tofauti na zamani
Wewe acha history za huko kote komaa na ya sasaUmejiunga Leo jf nn ndugu?!!! Fuatilia vzr, ndani ya dakika utaelewa kuwa nilichokisema ni kweli kabisa.
Muda utasema. Time will tellStory za Vijiweni
Congo waliwapenda kipindi kile cha kikwete walipowafukuza m23, lakini sasa wacongo wanawaona hawana msaada kwao tenaMh, naona mchambuzi wa masuala ya kiusalama unapngea. Aisee, kazi ipo!!
Africa nzima hii, mwanasiasa ndie anaepanga utaratibu wa SheriaNdo upumbavu ambao kama wana akili washirikiane na TISS kuukomesha walazimishe katiba mpya inayowapiga pini Wanasiasa.
Inakuwaje mwanasiasa anakuwa juu ya mifumo?
Huu upuuzi upo Tanzania tu ndo mana saivi tunazidi kuwa kituko.