GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,144
- 6,910
Wakati huo huo KDF imeanza mazungumzo na kampuni moja bora ya Israel inayotengeneza Air defense system....Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.
Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.
Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Sisi tuendelee tu kufungua viwanda vya kuponda kokoto na kujitapa kuwa jeshi la sita kwa ubora Duniani.