Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Achaga stories za zamani. Watu wanaishi leo.

Siku si nyingi utaona Comoro wanaomba ulinzi kwa wazee wa battle Rwanda sio JWTZ tena
Mwaka juzi tu hapo waasi wa Msumbini waliingia Mtwara wakateka kijiji wakapiga watu. Kuchoma nyumba then wakaondoka.

Msumbiji kaomba msaada Rwanda
 
We
Chadema bwana🤣🤣🤣🤣

Eti wenyewe wameanzisha hii mada na kukusanyana na kuichangia wakifikiri itawasaidia kumuondoa Samia madarakani Ili aingie chiba wao lissu (mwenye bwana ulaya). Kweli hawa watu ni hamnazo aisee......ndo maana Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania, anaoshia kuwaonyesha dole la kati tu.
We mburulula umekunywa gongo umekosa mpka heshima kwa mh rais msnge ww
 
Shida siyo mali, ni malinzipi labda za Kinshasa.

Pili, Marekani hawezi kupogana kitoka Marekani, hapo labda we na military base ambayo ni mgumu.

Unakaza sana fuvu wakati hujui chochote.
Military base Mbona zipo kenya:Mm ni mtu wa Geopolitical hauwezi kunielewa jaji mkaruka:
 
Nimeangalia hotuba ya rais mbabe wa vita Paul kagame Jana akisema Kuna nchi viherehere ambao walishoboka Kule congo akawashugulikia na kurudisha wanajeshi wao kwenye masanduku ya milele akasema anaweza ifuata akaipigia ndani nasema hivi jamani huyu mtu msimchokoze mkimchokoza mtakiona kilichomtoa mfanya mtema Kuni ateme Kuni siongei Kwa kubahatisha Rwanda ni Israel ya Africa inadrone na silaha za kisasa nyingi sana na kingine kagame maisha yake yote yupo vitani mkijichanganya na hayo mazoezi ya kuvunja matofali mtapigwa mchakae
 
Anasema baada ya kuwatembezea kichapo na wakasalimu amri tukawaonyesha njia ya kurudi kwao vinginevyo tungewamaliza.

Na kweli tuliona wanajeshi wa Tz Jwtz wakisachiwa Rwanda kama wezi wameweka mikono juu alafu wakaonyeshwa njia ya kurudi nyumbani
 
K
Nimeangalia hotuba ya kagame Jana akisema Kuna nchi viherehere ambao walishoboka Kule Kongo akawashugulikia na kurudisha wanajeshi wao kwenye masanduku ya milele akasema anaweza ifuata akaipigia ndani nasema hivi jamani huyu mtu msimchokoze mkimchokoza mtakiona kilichomtoa mfanya mtema Kuni ateme Kuni siongei Kwa kubahatisha Rwanda ni Israel ya Africa inadrone na silaha za kisasa nyingi sana na kingine kagame maisha yake yote yupo vitani mkijichanganya na hizo silaha zenu za kizamani mtapigwa mchakae
Kagame ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu.

Mwanaume vitendo.

Arushe hata jiwe hapo kigoma.
 
Anasema baada ya kuwatembezea kichapo na wakasalimu amri tukawaonyesha njia ya kurudi kwao vinginevyo tungewamaliza.

Na kweli tuliona wanajeshi wa Tz Jwtz wakisachiwa Rwanda kama wezi wameweka mikono juu alafu wakaonyesywa njia ya kurudi nyumbani
Haha jw walionya kuna watu wako kwneye serikal si watz, ni raia wa nchi ile lakin gov hawasikii wanakaza fuvu

Buy the time tukiingiw kwenye conflict na hao jamaa tayar watakuwa na siri za nchi hii almost zote

Ni element ya incompetence inayoendelea sasa
 
Wakati wenu anapiga mipasho na udaku tu.
Wakina MAPINA na GWAJI boy.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Haha jw walionya kuna watu wako kwneye serikal si watz, ni raia wa nchi ile lakin gov hawasikii wanakaza fuvu

Buy the time tukiingiw kwenye conflict na hao jamaa tayar watakuwa na siri za nchi hii almost zote

Ni element ya incompetence inayoendelea sasa
Kagame sio mtu mzuri
 
Anasema baada ya kuwatembezea kichapo na wakasalimu amri tukawaonyesha njia ya kurudi kwao vinginevyo tungewamaliza.

Na kweli tuliona wanajeshi wa Tz Jwtz wakisachiwa Rwanda kama wezi wameweka mikono juu alafu wakaonyeshwa njia ya kurudi nyumbani
Kagame sio mtu mzuri
 
kagame ametafuta ukuu wa kanda kwa muda mreefu.hatimea anaonekana kufanikiwa kwa kasi zaidi. na hapo anageukia burundi.kwa kupitia huyu.anaetaka kupambana na serkali kwasababu ya kuibiwa kura.
naona anatumia mbinu.za kufadhili ugaidi kwenye ukanda huu.
kwa upande wa uganda kule ni familia tayali.
 
Back
Top Bottom