Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Ivi unazani hao TISS hawana akil kuendelea kuacha utawala huu uendelee?
Pumbav nyie mnaotaka kutuaribia nchi na vyama vyenu vya kiharakat hamjui hata uelekeo wa taifa
Mpo mpo tuh kazi kuisema serikal
Fanyeni kazi achen siasa na ujuaji
Hawana akili wala nguvu yoyote. Na wanafanya siasa za kishambaaaaaaaa.
 
Yaani camp ya US iliyopo Iran ishambuliwe na Iran US akae kimya tu, kisa ni operation?? Kagame kawaaibisha wote walopeleka majeshi Congo. Period
 
Wajimegeee kagera iwe yao waone moto
Jamaa ndo anakoelekea subiri miaka ya mbeleni utaona,kagera sehemu kubwa wametapakaa wanyaru alafu jamaa pamoja na kujifanya watanzania ila huwezi amini bado wanajiona wanyarwanda sasa hivi wapo karibia kila eneo
 
KIJITI KAGAME amejaa maporojo tu mdomoni, aingie mzigoni tumvunje hizo CHELEWA zake anazoziita miguu.

Akawatishe VIJITI WENZAKE wa Rwanda, HAPA KAZI TU.
Aingie mara ngapi?

Hujaona alivyowashikisha adabu hadi mkaomba poo?
 
Hawana akili wala nguvu yoyote. Na wanafanya siasa za kishambaaaaaaaa.
Labda nkuambie tuh hao TISS,Jwtz,jkt nk.hao wanalinda nchi na serikali
Iliyopo madarakani
Unaposema hawafanyi kazi Yao vizur unakosea.maana mpk saiv Africa mashariki hakuna nchi inaishi kwa amani kama sisi
 
Labda nkuambie tuh hao TISS,Jwtz,jkt nk.hao wanalinda nchi na serikali
Iliyopo madarakani
Unaposema hawafanyi kazi Yao vizur unakosea.maana mpk saiv Africa mashariki hakuna nchi inaishi kwa amani kama sisi
Amani wakati Viongozi wanajilimbikizia mali na kujitengenezea ukwasi wa kutisha kwa fedha za walalahoi? Huku wananchi wengi wakizidi kuwa masikini kwa kasi ya kutisha?

Amani wakati Viongozi wanakiuka na kuisigina Katiba waziwazi na hawafaywi chochote?

Amani wakati watu wanaotekeleza haki zao za kikatiba kutoa maoni yao wanatekwa, wanauwawa, wanapotezwa na kufirwa?

Amani gani unaisemea?
 
Labda nkuambie tuh hao TISS,
TISS wanafanya kazi za kishamba za IVCCM.

Za kishamba mnoo, hakuna akili.hata kidogo, ndio maana wanaua watu.wasio hata tishio.
JWTZ bado inapumuankdogo, ila kwa mwendo uliopo miaka 10 mbele itakuwa imeisha kabisa.

Watakachoweza ni kupigana na wananchi wao tu.
jkt nk.hao wanalinda nchi na serikali
Iliyopo madarakani
Kosa kubwa la kwqnza liko hapo.

Ndio maana serikali ina bei, ukiiinunua umenunua kila kitu
Unaposema hawafanyi kazi Yao vizur unakosea.maana mpk saiv Africa mashariki hakuna nchi inaishi kwa amani kama sisi
TZ ina amani kwasababu ya msingi wa Nyerwre aliyouweka hasa Vyama vya siasa (mbadala wa waasi msituni) na mazungumzo.

Sasa hivi huo msingi unauliwa taratibu.
 
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.

Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.

Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.

05 July 2025
Kigali, Rwanda 🇷🇼

We have the capacity you don't know, of fighting if and when we have to fight - President Kagame


View: https://m.youtube.com/watch?v=kVNhySLWZqg

Mheshimiwa rais leo akazia alichotuonesha mhariri mkuu wa gazeti asimulia alichokiona Goma na Bukavu....

TOKA MAKTABA:
22 February 2025

MGOGORO WA DR Congo : Yaliyokutwa katika ghala la silaha za askari wa Tshisekedi na mipango yake ya kuvamia Rwanda


View: https://m.youtube.com/watch?v=STZBGC_UncE
Mhariri mtendaji James Munyaneza wa The New Times Rwanda atoa ushuhuda wa kina alipopata fursa kuwepo Goma na leo akiwa studio pamoja na mwandishi James Kahuranga kwa njia ya simu akiwa Rusizi kutupa habari za kina...

Inaonesha FARDC walikuwa wamejipanga kuivamia Rwanda kutokana na mpangilio wa zana zilivyopangwa (formation) kuelekea nchi ya Rwanda. Mhariri mtendaji James Munyaneza anasimulia kwa undani hali hiyo alivyokuwa amejipanga Tshisekedi ..

Mhariri mtendaji James Munyaneza alichokiona Goma ni uthibitisho unaoweza kuchukuliwa kuwa kulikuwa na mkakati mpana wa jeshi la Congo FARDC, Burundi kuivamia Rwanda kama tukio la bahati la M23 wasingejitokeza na kutibua mipango hiyo kwa ...

Mhariri mtendaji James Munyaneza aliweza kufika eneo la Airport ya Goma ambapo kilikuwa kitovu cha mapambano makali baina ya FARDC na M23 yaliyotokea wiki mbili zilizopita ....

Mhariri mtendaji James Munyaneza aliweza kufika kambi iliyokuwa na hadhi ya Joint Command Centre iliyokuwa inaratibu mipango ambapo kulikuwa na milingoti minne ya bendera kuwakilisha jeshi la Congo FARDC, jeshi la Burundi, jeshi la SADC SAMIDRC, jeshi la BURUNDI na FDLR - mgambo wa intarahamwe

Na kuwa ...Joint Command Centre hiyo ni kambi ongozi ya Operesheni za kijeshi kuna nyaraka na ramani zilizotokana ukusanyaji wa intelejesia ya kijeshi zinazobainisha maeneo mkakati nyeti ambayo FARDC na FDLR wangeyashambulia Rwanda... zilizoachwa baada ya kambi hizo kukimbiwa kufuatia kipigo kutoka kwa M23

Kilima Nyoka vilikuwepo vikosi special forces wa FARDC wakiwa wamejichimbia wanataza mpaka wa Rwanda na Kanyamahoro kulikuwepo kambi ya FDLR iliyo kilometa 3 tu kutoka mpaka na Rwanda..

Kambi zenye majina ya Satan 2 (shetani) Armageddon (Ziwa la Moto) majina hayo yakiashiria unyama unyama na silaha kali za maangamizi zilizo tayarishwa kuishambulia Rwanda ...

Kambi za mamluki waliosema ni 'wataalamu' kwa kumaanisha wangekuwa wanatoa ujuzi wa kutumia silaha hizo za maangamizi za 'shetani' na 'Ziwa la Moto' kuitia adabu Rwanda ..
1751880735569.jpeg



Kwa hiyo majeshi haya FARDC, kikosi cha ulinzi wa Rais, FLDR, mamluki wote hawa wangejiunga pamoja kuivamia Rwanda kwa kustukiza ... kama M23 wasingeanzisha mashambulizi February 2023..

Makontena yaliyosheheni silaha za mizinga ya masafa marefu ya kila aina , RPG , sniper rifles, kamikaze drones, camera ikionesha ingekuwa vita ya kisasa ...

Masimulizi hayo ya Mhariri mtendaji James Munyaneza yanakwenda na video mwendo ndani ya mahojiano haya ya ushuhuda wa kina..

Wataalamu kijeshi, utambuzi (intelejensia) ya kijeshi na intelejensia ya kiraia wanasema mkusanyiko huo wote wa mikakati, silaha, utaalamu, matayarisho mazito ya upande wa serikali ya Tshisekedi jirani na mpaka wa Rwanda. i
The missiom was to topple the Rwandan government and that mission has aborted
Inaonesha hayakuwa kujitayarisha kuishughulikia majeshi ya waasi wa M23 bali lengo lilikuwa kukamilisha tamko la Tshisekedi kuwa wataipiga Rwanda na kubadilisha uongozi wa kiserikali uliopo nchini Rwanda..


Vifaa vya Tshisekedi vilivyokutwa na M23
1751880685023.jpeg
 
Message kamili hiyo, kuna watu wao ndani kwetu kila department ya Tanzania, CCM hadi Serikalini, kote huko; walisapewa kila kitu. MOSAD style. CDF alisema kweli, na Mama wa Zanzibar tumemwachia Ufunguo haaaa
Saivi wamekuwa Jeshi la Maonyesho. Leo walikuwa Comoro wanacheza kwata ya kimya kimya.

Kweli CCM wametuulia hili Taifa.

Tena kawaambia kuwa mnajisifu mnaweza kushambulia mji wetu Kigali kutoka nchini kwenu sasa nawaambia sisi tunaweza kuja hadi hapo mnapofanyia mashambulizi dhidi ya Kigali na kuwafanyizia.

Kagame mtu hatari san
 
Na jamaa huwa linaongea English au Kiswahili, ili wanaotakiwa kufikiwa ujumbe waupate.
Amepeleka ujumbe wa lugha ya kikatili sana. Kagame ni mtu mmoja hatari sana.

Yaaani anatuonesha waziwazi namna CCM walivyoliharibu hili Taifa kwa kuingilia mifumo ya utawala bora na utendaji.

Jeshi letu linanyooshwa vilivyo.
 
Taifa lolote ambalo wanasiasa wako juu ya mifumo na utaalam hilo ni Taifa mfu.

Wenye akili walishajua Wanasiasa ni Jau ndo mana wakawawekea Sheria kali na Katiba zenye meno kuwabana.

Huku Wanasiasa ndo mnawafanya miungu watu. Matokeo yake ndo haya sasa.
Tunalimaliza hili taifa kwasababu za kijinga kabisa.
Kwasababu ya kuwa na viongozi wenye matatizo ya kisaikolijia, viongozi wanaoamini wanapaswa kusifiwa tu. Taifa la viongozi wanaamini uchawa kama wa akina Lucas Mwashambwa ndio uzalendo uliotukuka ni taifa linaloelekea mwishoni kama halitokombolewa.
 
TISS wanafanya kazi za kishamba za IVCCM.

Za kishamba mnoo, hakuna akili.hata kidogo, ndio maana wanaua watu.wasio hata tishio.

JWTZ bado inapumuankdogo, ila kwa mwendo uliopo miaka 10 mbele itakuwa imeisha kabisa.

Watakachoweza ni kupigana na wananchi wao tu.

Kosa kubwa la kwqnza liko hapo.

Ndio maana serikali ina bei, ukiiinunua umenunua kila kitu

TZ ina amani kwasababu ya msingi wa Nyerwre aliyouweka hasa Vyama vya siasa (mbadala wa waasi msituni) na mazungumzo.

Sasa hivi huo msingi unauliwa taratibu.
Hii nchi imeshajifia tayari. Kinachoendeleq saivi ni hatua kwa hatua kuelekea kuzikwa rasmi
 
Binafsi, hofu yangu yangu siyo Silaha.

Weakness kubwa ni siasa za CCM. Compromised Jeshi na kama wananchi kama watakuwa kitu kimoja.

Moja ya njia rahisi ya kupigwa ni uasi kutoka kwa wananchi wako.

Unazima wananchi wako wanakaa kimya, akitokea adui wanaungana naye
still watanzania tuna imani kubwa sana na jeshi letu kuliko ccm.
 
05 July 2025
Kigali, Rwanda 🇷🇼

We have the capacity you don't know, of fighting if and when we have to fight - President Kagame


View: https://m.youtube.com/watch?v=kVNhySLWZqg

Hahahaa KIJITI KAGAME anachekesha kweli. Yuko kama MKOJANI!

Afya yenyewe mbovu kabisa! 😁😁😀😀😁😁

Huyu anatakiwa kucharazwa bakora za makalio Hahaha kamechoka kweli 😁😁
 
Experience gani mkuu,Hao wametandikwa vibaya sana hapo congo

Vita ni silaha na teknolojia sio kelele,Rwanda amewekeza silaha za kisasa na drones za kisasa

Ana uwezo wa kukupiga toka kigali mpaka Dar es Salaam kwa tech tu

Huko congo waliomba msamaha akawaambia JWTZ waondoke maana walikuwa tayari mateka na akawakagua wakati wa kuondoka ,Clip zipo
Ongezea walikaguliwa na polisi
 
Back
Top Bottom