komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,520
Experience ??? Only experience.JWTZ Ipo imara mno
Hakuna jeshi east and central afrika la kuikoromea JWTZ!!
Naongea by experience in side!!
Experience ??? Only experience.JWTZ Ipo imara mno
Hakuna jeshi east and central afrika la kuikoromea JWTZ!!
Naongea by experience in side!!
Hahahahaa eti kijiti, mkuu hii ni too much.Kagame ni sisimizi tu.
Anatumia propaganda dhaifu za vitisho, kwanza yule tunamtumia MIGAMBO tu wamnyooshe na kakijiji chake cha Rwanda.
JWTZ ni jeshi lenye hadhi ya juu sana haliwezi kushindanishwa na huyo KIJITI mwenye afya GOIGOI.
Huu ndio wakati wa akina Lucas Mwashambwa na migambo wenzake akina ChoiceVariable kuchangamkia fursa na kwenda kumtwanga huyo KIJITI WA RWANDA.
Uko sahihi kabisa✅JWTZ ilikuwa enzi za Nyerere, siku hizi imekuwa UVCCM.
Kwa technology ya Sasa hivi naona kama Kambi za jwtz zipo uchi wa mnyama..Hasta drones za kawaida zinaweza teketeza Kambi yote ya Lugalo.Hatujui kagame nyuma yupo nani?Tujifunze Kwa urusi mpaka leo anasumbuliwa na Ukraine 🤔JWTZ Ipo imara mno
Hakuna jeshi east and central afrika la kuikoromea JWTZ!!
Naongea by experience in side!!
Hunaga akili wewe,Unashindwa kutofautisha vita na operation tena ambayo inajumuisha vikosi washirika.Kwa hiizo akili zako ndogo unaona rwanda anakipi chakuisumbua Jwtz.Tumia akili zako zakuzaliwa bila mihemko ulete majibu sahihi.Dhaifu wakati kawapiga mkong'oto hadi mkaomba poo. Kasema hadi akaamua kuwaruhusu mpitishe mizigo yenu na silaha zenu kupitia nchini kwake maana la sivyo mngeuwawa wote
Kile kilikuwa "kipande kidogo" cha Jeshi letu kama mchango kwenye Jeshi la SADC. Na Jeshi lolote lililo kwenye "International Mission" halijihusishi na "Full Combat". Sio mnaelewa ninyi wapuuzi?Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.
Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.
Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
unamuita kijiti wakati wakaka na wadada wa sadc wamenyoosha mikono juu na kuondoa vikosi vyake huko gomaKagame ni sisimizi tu.
Anatumia propaganda dhaifu za vitisho, kwanza yule tunamtumia MIGAMBO tu wamnyooshe na kakijiji chake cha Rwanda.
JWTZ ni jeshi lenye hadhi ya juu sana haliwezi kushindanishwa na huyo KIJITI mwenye afya GOIGOI.
Huu ndio wakati wa akina Lucas Mwashambwa na migambo wenzake akina ChoiceVariable kuchangamkia fursa na kwenda kumtwanga huyo KIJITI WA RWANDA.
Uimara wa Jeshi ni wananchi wake.JWTZ Ipo imara mno
Hakuna jeshi east and central afrika la kuikoromea JWTZ!!
Naongea by experience in side!!
Siku hizi wanapigana na Wananchi wasio hata na wembe. Na kujisifia rank za GoogleJWTZ ilikuwa enzi za Nyerere, siku hizi imekuwa UVCCM.
Kila mwaka mnazika askari wenuTaarabu tu hizo toka kwa mpenda ukuu
Kwa yanayo endelea ccm kila kitu kinawezekana... Mtanielewa baada ya Oct2025Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.
Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.
Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Labda miaka 30 iliyopita, sahivi limejaa vimemo tu. Na jeshi sahivi ni technology na air superiority kitu ambacho Rwanda wametuzidi. Jeshi sio kupasua matofali na kichwa hizo vita hazipo tenaJWTZ Ipo imara mno
Hakuna jeshi east and central afrika la kuikoromea JWTZ!!
Naongea by experience in side!!
Uko sahihi asilimia 200. Leo hii nani ana uchungu/uzalendo kuifia nchi yake akikumbuka ndugu yake alitekwa, aliuwawa, wasomi hawana ajira, wanatukanwa majukwaani wavivu, wajiajiri. Ajira jeshini ni za vimemo watoto wa wakubwa, hela zinachotwa na watawala, wao wanasota. Enzi za Nyerere, elimu, afya na huduma zote ilikuwa ni bure na watu walikuwa ni wazalendo kupindukia.Uimara wa Jeshi ni wananchi wake.
Vita ya Kagera kila mwananchi alishiriki na kila kijana mwenye afya alibeba silaha.
Hata uwe na jeshi bora kiasi gani ila kama wananchi wako hawako na wewe UTAPIGWA VIBAYA sana
Mfano, hawa hapa vijana waandikishwa mitaani kwenda vitani.Uko sahihi asilimia 200. Leo hii nani ana uchungu/uzalendo kuifia nchi yake akikumbuka ndugu yake alitekwa, aliuwawa, wasomi hawana ajira, wanatukanwa majukwaani wavivu, wajiajiri. Ajira jeshini ni za vimemo watoto wa wakubwa, hela zinachotwa na watawala, wao wanasota. Enzi za Nyerere, elimu, afya na huduma zote ilikuwa ni bure na watu walikuwa ni wazalendo kupindukia.
Tayari USA amesaini mkataba huo wa kumaliza mgogoro:Na USA atachota madini ya kutosha kutoka huko Congo:Yeye Kagame hana resource yeyote zaidi ya kutaka kuiba kutoka Congo:Kitakacho mpata kwa sasa ni yeye kutumiwa vindege vidogo visivyo na rubani na kummaliza:Tayari wakubwa na wenye dunia wapo Congo:Yeye aendelea kulia lia kama mbwa koko lakini kwa sasa its the end of the road.Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.