Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,959
- Thread starter
- #301
Wamekalia kijisifu, kujipendekeza kwa CCM na kula mademu wa watuJCTZ(Jeshi la ccm Tanzania)
Wamekalia kijisifu, kujipendekeza kwa CCM na kula mademu wa watuJCTZ(Jeshi la ccm Tanzania)
Utaelewa tuBado hauna hoja.
Hana akili huyu. Achana nae.We
We mburulula umekunywa gongo umekosa mpka heshima kwa mh rais msnge ww
Hahahahakagame ametafuta ukuu wa kanda kwa muda mreefu.hatimea anaonekana kufanikiwa kwa kasi zaidi. na hapo anageukia burundi.kwa kupitia huyu.anaetaka kupambana na serkali kwasababu ya kuibiwa kura.
naona anatumia mbinu.za kufadhili ugaidi kwenye ukanda huu.
kwa upande wa uganda kule ni familia tayali.
JWTZ walikwenda kama SADC na siyo TZ. Jeshi likienda kama UN au SADC huwa linafuata sheria zao na hawaruhusiwi kujibu mapigo mpaka kwa ruhusa maalumu.This time hajatishia tu
Aliwapa kichapo kweli JWTZ
Jipige kifuani alafu jiambie Mimi ni mjingaJWTZ walikwenda kama SADC na siyo TZ. Jeshi likienda kama UN au SADC huwa linafuata sheria zao na hawaruhusiwi kujibu mapigo mpaka kwa ruhusa maalumu.
Ikiwa hodari basi aje avamie Tz aone kama huo mkoa wake wa Rwanda utabaki mkoa au wilaya.
Wakuu wako wa kazi. Na Unaifanya vizuri 'information warfare' , hongera sana.Wamenituma kina nani?
Kina nani hao?Wakuu wako wa kazi. Na Unaifanya vizuri 'information warfare' , hongera sana.
Ahahahaha napingana na wewe kwenye hili,vita inajumuisha vitu vingi sana,pamoja na siasa ya vita,Kagame yuko mbali sana kwenye intelejensia ya vita pamoja na siasa ya vitaJWTZ Ipo imara mno
Hakuna jeshi east and central afrika la kuikoromea JWTZ!!
Naongea by experience inside!!
Samia ndo alikuwa mwenyekiti wa Troika,kama unajua maana ya Troika na kazi yake basi utajua Samia ni empty setLazima umuweke samia Ili roho iridhike,wakati jeshi no la sadc na aliyeamua silaha gani ziende ni mwenye nchi
Siyo kweli , Rwanda defence force ndiyo "IDF"ya afrika mashariki na kati😃Kagame anaweza kuwatisha watu wengine, lakini Kagame hawezi kuitisha Tanzania, kwamba atapambana nayo achilia mbali kuipiga.
Atakung'utwa asubuhi kweupe, wala Rusumo hatovuka pale.
Hana uo uwezo unaompa siraha zote ili azipate zinapita tz au KenyaAhahahaha napingana na wewe kwenye hili,vita inajumuisha vitu vingi sana,pamoja na siasa ya vita,Kagame yuko mbali sana kwenye intelejensia ya vita pamoja na siasa ya vita
Hapana kuongea pia ni njia moja wapo ya vita,unakumbuka wakati anampiga mkwara South Africa,tayari wakati huo keshajua kawashika mateka askari wa South Africa,kwa hiyo Raisi wa South Africa angebweka kidogo tu jamaa alikuwa anachinja wote,Kagame ni terrorist,unakumbuka jinsi alivyowapiga wanajeshi wetu pale Sudani kwa kutumia mamluki wa Janjaweed,Kagame ni muuaji mkubwa ana asiyejali na anapewa nguvu na Israeli pamoja na USA,maana yupo analinda interest zaoHana uo uwezo unaompa siraha zote ili azipate zinapita tz au Kenya
Hata akibeba kwenye ndege Rada zinammulika tu kiufupi yupo uchi tu
Mtu mwenye uwezo kivita uwa haongei Sana!!
Saa ii tz tuna geshi la ccm ambalo kiukweli halina moja wala 2, linauwezo wa kupiga wanainji wake tu na sio adui. Hongereni chama tawalaKama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo.
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.
Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.
Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Halafu akaonekana kunung'unika hatukwenda na silaha zetu hivyo kupunguza ufanisi wetu!?Samia ndo alikuwa mwenyekiti wa Troika,kama unajua maana ya Troika na kazi yake basi utajua Samia ni empty set
jibu hoja basi, walikwenda kama Tz au kama SADC, hiyo ya kusema ujinga ina maana huna jibuJipige kifuani alafu jiambie Mimi ni mjinga
JWTZ ni jeshi au ni pool ya wanasiasaJWTZ Ipo imara mno
Hakuna jeshi east and central afrika la kuikoromea JWTZ!!
Naongea by experience inside!!
Hata wangeenda nazo, wana nini cha kupeleka huko?Hawezi puuza ushauri wa jwtz kwenye operations za jwtz, muongo mkubwa,samia alishawahi ongelea restrictions za kutokwenda na silaha za jwtz DRC,wakuu wa majeshi sadc walikutana mara kadhaa kwa hili