Asante saana MadameX. May the Almighty God bless the both of us. Pamoja Saana.
Kaka DC sasa hapa umenifanya na mimi nivimbe kichwa kama vile ambavyo wewe huvimba... Lol!
Sincerely, unapokuta mtu mstaarabu na busara zake akakuu acknowledge kwa lolote... Kwangu it means a lot and carries a lot of weight. Maneno yako na salamu zako za kheri kwangu zimepokelewa kwa mikono miwili nikiwa mwingi wa furaha. Pamoja saana kaka. Mwenyezi Mungu atubariki sote.
Such a wonderful message, wonderful flowers as well as Birthday Dedication. Thanks so much Bak. Pamoja Saana!
Happy delayed BD Da Asha. Uendelee kuzaliwa tena na tena inshaallah :hug:Comment hiyo imetolewa... Asanteni for pointing that out. Blueprint huna kisingizio tena haya malizia kusoma alafu sasa mnitakie Birthday wishes mnipe na zawadi kwani hamjachelewa! Every drop counts 🙂. Pamoja Saana.
My son siku moja alinikalisha akanisisitiza kuwa Cartoon ya the Chipmunks nzuri sana. I remember I was not in the mood but kumridhisha nikaka; only to find mwisho wa hiyo Cartoon I had enjoyed so much and he was rite! 🙂
Hii hunifanya kila nikiwaona/soma/sikia nakumbuka mwanangu. I love the little voices. Perfect!
Asante kwa salamu zako za kheri YM. Tupo pamoja.
tehhhhhhhhh wish ningekuwa mimi
hongera sana AshaDii
mi nimechelewa kuituma hii wishes si King'asti alinichelewesha tulikuwa tunakutaftia jeans ya kukutosha!
si alikata panga eti anunue na yeye top mmechishe !ah mi nikajitahidije sasa kukimbia nije nikwambie hepi besidei ile jana ila ndo hvo nikachelewa bana!
kamatia hizi basi kwa kuchelewa!![]()
hongera kwa kuzaliwa upya mamii!
tehhhhhhhhh wish ningekuwa mimi
Nashukuru kwa salamu Makoyo... Pamoja Saana.
Kaunga nafurahi kukuona as always.
Nafurahi zaidi kwa salamu zako za kheri na nakubaliana na ujumbe wako wa the only permanent thing ni 'Change'. Usiwe na wasi wasi na Wifi King'asti. Alimtreat mtoto worthwhile kabisa! Had great fun with the gal...
Do have a fun day Dear.
Hommie, naomba kuzaliwa upya na shem wangu...
Heri ya siku yako ya kuzaliwa toka tumboni shem langu la ukwee AshaDii
Ana heri baba aliekulea (Aendelee kulala pema peponi),
Lina heri tumbo la mama lililokutunza,
Wana bahati watoto waliopitia tumboni kwako
Amebahatika aliyepata nafasi ya kuwaweka watoto tumboni mwako,
Una heri shem wangu wa ukweli.... Una heri.
Najua, nimechelewa kidogo kukupongeza kwa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako, but I hope kama tutahesabu masaa nadhani nitakuwa within the time, please Bibie, accept my late "Happy Birth day" wishes
Happy birthday AshaDii though tumechelewa kukuwish!!!
Happy Birthday AshaDii