KUZALIWA na kuendelea KUZALIWA Upya...

KUZALIWA na kuendelea KUZALIWA Upya...

birthday_quotes_010.jpg

Happy BirthDay my Sister, My Friend, and the Mentor .......D!

Kivumah my Dear Friend. Maneno mazito haya ambayo yanaweza mfanya yeyote awe really Proud! I am forever humbled, na nashukuru for you ever acknowledgements. Pamoja Saana with Lots of love.
 
Happy birthdate sister.

ooo my God.. Nimefurahi sana kujua tunashare birthday My dia Sister AshaDii..

Asante sana kwa kunitag hii post. HAPPY BELATED BIRTHDAY DADA YANGU.

Hongera AshaDii kwa kuzaliwa upya!
Nakuombea Mungu mwingi wa rehema aendelee kukujalia miaka mingi zaidi ili uendelee kuzaliwa upya kwa kukupa mambo mazuri na ya baraka mara nyingi zaidi kulingana na kudra zake.
Pamoja sana.

Nawashukuru saana wapendwa kwa salamu zenu za Kheri. Mwenyezi Mungu atubariki sote... Pamoja saaana!
 
happy birthday

Nashukuru kwa salamu Makoyo... Pamoja Saana.

nimekuja, nilikuwa namkanda mzazi kwanza nikamuachia my wii wa ukwehn King'asti ashughulike na kichanga; sasa kama mibange imemzingua na kumuacha mtoto uchi nitamsemea kwa Paw.

Hongera sana AshaDii kwa siku yako muhimu, ni kweli maisha matukio yanatufanya tujifunze na kubadilika ili tucope na situation zinazojitokeza. Wanasema kitu kilicho permanent ni change pekee yake; so usipozaliwa upya ili kuendana na kasi ya mabadiliko utabaki sana tu na waweza ishia kulalama na kuwa miserable maisha yako yote.
Hongera kwa +1 Birthday.

Kaunga nafurahi kukuona as always.

Nafurahi zaidi kwa salamu zako za kheri na nakubaliana na ujumbe wako wa the only permanent thing ni 'Change'. Usiwe na wasi wasi na Wifi King'asti. Alimtreat mtoto worthwhile kabisa! Had great fun with the gal...

Do have a fun day Dear.
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, mtu unaweza achwa safari hivi hivi, lol!
hata kama nimechelewa Happy birthday my dear friend AshaDii
Mungu Mwenyezi akujalie maisha marefu zaidi na akujalie kuzaliwa upya mara nyingi zaidi.....
nasikia kuna kuzaliwa upya ukipata first grand child, I can't wait for that......
 
Ndo kwanza stage ya warm up... Lol

Hujachelewa kabisa Dear... Nashukuru sana kwa salamu zako za kheri na namuomba Mwenyezi Mungu atubariki sote.

Aisee kwa maisha ya sasa hivi first grand child lazima uwe umezaliwa upya! Mwenyezi Mungu atupe uzima (ingawa pia kumuomba iwe at the right time and right circumstances) si mambo ya kubeba mimba za teenages or za baba asiye julikana! Ha ha ha!
 
Najua, nimechelewa kidogo kukupongeza kwa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako, but I hope kama tutahesabu masaa nadhani nitakuwa within the time, please Bibie, accept my late "Happy Birth day" wishes
 
ha haaa, mtu unaweza achwa safari hivi hivi, lol!
hata kama nimechelewa Happy birthday my dear friend AshaDii
Mungu Mwenyezi akujalie maisha marefu zaidi na akujalie kuzaliwa upya mara nyingi zaidi.....
nasikia kuna kuzaliwa upya ukipata first grand child, I can't wait for that......
Dada mwonili!!
Ne niyimwiki, nivii kulihengu
 
Dear all,

Jana ilikua Birthday ya Aunty wangu AshaDii and I made the unforgivable... I forgot to wish her a happy birthday. I called her this morning and she doesn't seem to be bothered, but I know it would have meant a lot if I had done it jana jana. It's too late, we can't be jana again, but I hope I can make it up.

I want to wish her a very happy birthday, and I beg all our friends to cheer with me ili leo na jana asione tofauti, aone as if kumbe birthday ilikua leo na sio jana. After all, if we count in lunar calendar her birthday wasn't evven yesterday. and if we take out every additional day of bisextil years, it wasn't her birthday yesterday. so her birthday can be today, really...

So let's take it this way: I am not late, I just wanted her birthday to last a little longer... 😉

cc: all our friends.
asha3.jpg
 
Ndo kwanza stage ya warm up... Lol

Hujachelewa kabisa Dear... Nashukuru sana kwa salamu zako za kheri na namuomba Mwenyezi Mungu atubariki sote.

Aisee kwa maisha ya sasa hivi first grand child lazima uwe umezaliwa upya! Mwenyezi Mungu atupe uzima (ingawa pia kumuomba iwe at the right time and right circumstances) si mambo ya kubeba mimba za teenages or za baba asiye julikana! Ha ha ha!
weweeeeeeeeeeeeee, naona Mungu karibu anachoka na hayo maombi......
inatisha sana na hali siku hizi ni mbaya sana.
Ila Mungu atatusaidia, naamini atatujalia matakwa ya mioyo yetu. Tujitahidi sana kuwaombea hawa watoto wetu kwa hili jambo, hata wa kiume nao wanahitaji maombi haya.
 
niyimwiki kaka yangu.....
sengulayi mlongo wangu, na nene nivi kulihengu

Kangamalayi wa mulongo, vana valyayi na vahamba kushuli, nivii kumafinga, mbepu yoyoh!
 
OMG! Imekuwaje sijaiona hii? But its not too late to wish you happy birthday. Happy Birthday my beloved sister AshaDii...May you live as long as you wand and love as long as you live.

tehhhhhhhhh wish ningekuwa mimi
 
Last edited by a moderator:
.... HBD...★☆★☆★

.... hii siku ni ya kutafakari zaidi kwako.... yapi umefanikiwa na yapi umeshindwa....& why umeshindwa.!!?... maneno yawe machache, usijisifie saana kwa watu bali jisifu ndani yako ww....●○°•◇◆¤¡¡¡¿¿
€ nj♥y....!!!!
 
Mwali wangu Mwali... I understand you more than you can understand. You have always been there for me na sasa I know kuwa you have loads. How could I ever be angry kwako? Lol. What matters is the bond between us and the Love spread in between and around us. THANK YOU so much for this wonderful message! And you are right kuwa am not bothered kabisaa! For I know you are there for me na hii ya Birthday ni slip up tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom