KUZALIWA na kuendelea KUZALIWA Upya...

KUZALIWA na kuendelea KUZALIWA Upya...

Last edited by a moderator:
Hapa umeniacha hoi AshaDii... Hata kuvunja ungo nako ni kuzaliwa?!!! Sasa kwa mwaka unasherekea happy birthday ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Naomba nitumie nafasi hii kuongelea MTAZAMO wangu juu ya kuzaliwa kwa mwanadamu.

Mie naamini kuwa mwanadamu katika uhai wake huendelea kuzaliwa. Mara ngapi anazaliwa upya na ni vitu ama watu gani wanachangia kwa kuendelea kwa kuzaliwa mtu huyo kunapishana. The more mwanadamu anazaliwa katika maisha yake, the more busara na hekima hukua ama kudidimia na kumfanya awe tofauti zaidi. Hutofauti huo kwa bahati mbaya ama nzuri unaweza kuwa kwa uzuri ama kwa ubaya tokana na the Choices we make…

Kuzaliwa upya huja pale ambapo kuna kitu ama tukio ambalo linakuwa limekugusa mno iwe kwa uzuri ama kwa ubaya kiasi kwamba hicho kitu ama hilo tukio likakubadilisha kabisa katika vitu msingi vikufafanuavyo – Iwe Msimamo /Fikra/Mtazamo/Amani ama Imani.

In spiritual Christian faith, we learn the following:-

Ephesian 4:5

"There is one God, one faith and one baptism."

And in John 3: 3-6 we learn also the following:-

" Jesus answered, and said to him, "Most assuredly, I say to you, unless one is born again, he cannot see the kingdom of God.

Nicodemus said to Him, "How can a man be born when he is old? Can he enter a second time into his mother's womb and be born?"

Jesus answered, "Most assuredly, I say to you, unless one is born of water and the Spirit, he cannot enter the kingdom of God"

"That which is born of the flesh is flesh, and that which is born of the Spirit is spirit."

My message is if you were born of flesh then incosenquential spectacles in your life will be glorified by all who are of the flesh but if you were born of the Spirit you will despise the things of the flesh be the lust of the eye, the last of the flesh and the pride of life because they are passing pleasures of sin ..................and before you know it they will disappear like vapour, following your death - of course -there will be nothing to be proud of except a fearful expectation of judgment!

I don't know whether I have to pop up a champagne for you or commence in earnest to mourn and lament for your poor soul because you do not know you are dead while living..........Read 1 Timothy 5:6.
 
Hapa umeniacha hoi AshaDii... Hata kuvunja ungo nako ni kuzaliwa?!!! Sasa kwa mwaka unasherekea happy birthday ngapi?

Tuko yaelekea bado hujanipata vema... Kuvunja ungo si kila mwanamke anaweza ona kazaliwa upya. Unapokuwa ni mtoto mdogo hujawahi sikia habari zozote kua ikifika wakati fulani kuna kubalehe, ikitokea huyo mtoto akapata hedhi kwa kiasi kikubwa inaweza muathiri psychologically... Ndio maana ni vema sana kumuanda mtoto (wa kike na kiume) uwepo wa stage ya kubalehe.

Hata hivyo niongeze haijalishi kuwa unazaliwa mara ngapi with what frequency... What matter ni kuwa tukio/mtu ameku affect to what extent that it changes you kabisa from the way ulikuwa awali.
 
My message is if you were born of flesh then incosenquential spectacles in your life will be glorified by all who are of the flesh but if you were born of the Spirit you will despise the things of the flesh be the lust of the eye, the last of the flesh and the pride of life because they are passing pleasures of sin ..................and before you know it they will disappear like vapour, following your death - of course -there will be nothing to be proud of except a fearful expectation of judgment!

Rutashubanyuma... Thanks so much for your message. A message which greatly underlies your belief and faith. Of which according to you and others may be absolute Fact but unfortunately not Universally held. Pamoja Saana.
 
the road to hell is wide and everybody seems to be flocking there but the path to heaven is narrower and few dare to walk in it.............for it calls for perseverance and endurance which can only come by the grace of the Most High God!.........It is true faith in Christ is abhorred by men of pleasure for it denies them the opportunity to practice lawlessness..............And lawlessness is sinful and foolishness.

The good news is we do not walk by faith because it is universally lauded to do so. No! ........We do so because we were called to serve Him: His Majesty the King of Jacob!
 
Hope sijachelewa dada maana nilikuwa huko Vijijini kuangalia wananchi wenzangu wanavyoijenga nchi kwa KILIMO KWANZA.
HAPPY BIRTHDAY AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Hope sijachelewa dada maana nilikuwa huko Vijijini kuangalia wananchi wenzangu wanavyoijenga nchi kwa KILIMO KWANZA.
HAPPY BIRTHDAY AshaDii

Hujachelewa Mtambuzi.. Asante kwa salamu za kheri na hongera bana kwa kuwa part of positive change. Pamoja Saana.

Rutashubanyuma... Nimekusoma rafiki.
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday. You are a wonderful human being!Keep on discovering yourself. That is the essence of life.
 
Nadhan hata mimi sijachelewa dada yangu
'
Happy birthday my lovly dada!
 
Nadhan hata mimi sijachelewa dada yangu
'
Happy birthday my lovly dada!

Thanks my lovely brother, hujachelewa... Like I have been saying salamu za kheri hazina kuchelewa. Nashukuru kwa salamu.
 
Back
Top Bottom