Tarehe sahihi ya kuzaliwa Kwa YESU

Tarehe sahihi ya kuzaliwa Kwa YESU

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
3,870
Reaction score
4,470
Wachungaji Kondeni: Luka 2:8 inasema usiku wa kuzaliwa kwa Yesu, wachungaji walikuwa kondeni wakilinda mifugo yao usiku. Kijiografia, mwezi Desemba huko Yudea ni kipindi cha majira ya baridi kali, mvua nyingi, na wakati mwingine theluji. Wachungaji wasingeweza kukaa nje usiku kucha na kondoo.

Mwezi wa Nisani (Machi/Aprili) ni majira ya masika (spring), ambapo hali ya hewa ni ya joto na ndio msimu wa kondoo kuzaa, hivyo wachungaji walikesha nje kuwasaidia kondoo wanaozaa.

Yesu ni mwanakondoo,na tunaona wachungaji wa kondoo waliokuwa kondeni usiku wakisubiri kondoo wao wazae wanakondoo,ndio walikuwa WA kwanza kupewa taarifa ya kuzaliwa mwana kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu(Yesu)

Kitabu cha Kutoka kinasema kuwa Hema la Kukutana (mahali ambapo utukufu wa Mungu ulishuka na kukaa kati ya wanadamu) lilisimamishwa rasmi siku ya 1 Nisani (Kutoka 40:2).

Cahn anabainisha kuwa kuanzia wakati Musa alipopewa maelekezo mlimani hadi kukamilika kwa Hema hilo, ilipita takriban miezi tisa—muda unaolingana na mimba ya mwanadamu. Hii ilikuwa ishara ya unabii wa kuzaliwa kwa Yesu, ambaye ni Mungu aliyefanyika mwili na "kufanya hema" kati yetu.

Mwaka Mpya wa Kidini: Katika Kutoka 12, Mungu aliwaambia Waisraeli kuwa mwezi wa Nisani (mwezi wa Pasaka) utakuwa "mwanzo wa miezi" kwao. Cahn anajenga hoja kuwa ikiwa Masihi ndiye mwanzo mpya wa ukombozi wa mwanadamu, ni sahihi kabisa kuwa alizaliwa siku hiyohiyo ambayo Mungu aliiweka kuwa mwanzo wa mambo mapya.

Asili ya Desemba 25: Cahn anasema tarehe hii ililetwa na Kanisa la Kiroma karne nyingi baadaye ili kufunika sherehe za kipagani za Waroma kama vile Saturnalia (sherehe ya mungu wa jua) zilizokuwa zikifanyika kipindi hicho cha baridi, kwa lengo la kuwavuta wapagani wengi kuwa Wakristo.

Kalenda ya GREGORIAN calender ni kalenda yenye ASILI ya kalenda ya KIRUMI ya kipagani.

KIJANA Mmoja aliyebahatika kugundua na kuipata biblia ya 1775 imetaja miezi 13 ya kibiblia ,na kwamba Yesu alizaliwa APRIL MOJA ,NISAN 1

DUNIA na yule mwenye kuudanganya ulimwengu wamegeuza kuwa siku ya wajinga DUNIANI KWA lengo la kumpinga KRISTO

Credit kwa JONATHAN CAHN
Link below 👇🏿
 
Asante mtumish... Kwa nini walokole wanaishehereka december 25?
 
Enzi za Giza watu walikesha wakingoja Yesu azaliwe ndio walale. Ikifika saa sita makanisani wanaliza kisauti cha mtoto mdogo.

Kwa Sasa makanisa yanayo fundisha hivyo yamebakiza wafuasi wa viongozi tu na si wenye kuelewa mambo ya Mungu.
 
Mnahangaika, mpaka tarehe wakuu.
Mbona Bibi yako hajui tarehe yake sahihi ya kuzaliwa na wewe hujui na ukoo mzima hakuna mwenyewe wasiwasi na hilo na maisha yanasonga tu🤔
Ebu wacheni kujichosha bhana.
 
Bibi yangu hajui tarehe yake ya kuzaliwa lakini hukuondoi ukweli kuwa Alizaliwa.

Sina shida, na usahihi wa tarehe ya kuzaliwa kwa Bwana Yesu, kikubwa ni kwamba Alizaliwa na matendo yake yanaishi hata sasa.

Bwana Yesu Apewe Sifa... 🙏
 
Aamen.
 
... La muhimu wote tunakubaliana ALIZALIWA; tarehe sio issue. Muhimu zaidi NENO LA MSALABA kwao wanaopotea ni upuuzi!
 
Bibi yangu hajui tarehe yake ya kuzaliwa lakini hukuondoi ukweli kuwa Alizaliwa.

Sina shida, na usahihi wa tarehe ya kuzaliwa kwa Bwana Yesu, kikubwa ni kwamba Alizaliwa na matendo yake yanaishi hata sasa.

Bwana Yesu Apewe Sifa... 🙏
Sio Bibi tu; mtu yeyote hana uhakika na siku/tarehe yake ya kuzaliwa. Wote huambiwa au hupewa hiyo Taarifa akishapata akili. Hata hivyo vyeti sio vya kviamini sana kwani navyo huandikwa na watu huko Hospitalini. Cha msingi hapo ni kwamba (kama ulivyosisitiza hapo) Tumezaliwa. Hayo mengine sio muhimu kwa Wokovu wako.
 
Yesu alizaliwa Tarehe 01 Mwezi 01 Mwaka 01 Baada ya Kristo:
Leo ni Tarehe 11 Mwezi wa 10 Mwaka 2026 Baada ya Kristo
 
Kwa kalenda ya kwanza ya kiebrania,mwezi WA kwanza WA NISAN tarehe 01..AMBAPO kwa biblia ya mwaka 1775 aliyeisoma Ina miezi 13 na mwezi WA kwanza ndio huo WA NISANI..na hiyo biblia ya 1775 imeandikwa Yesua alizaliwa APRIL MOJA au NISAN 01.

AMBAPO kwa kalenda hii ya kipagani ya KIRUMI TUNAYOITUMIA SASA imegeu siku ,siku ya kwanza ya juma ni jumapili na siku ya Saba ya juma ni JUMAMOSI,imegeuzwa na miezi
mwezi WA kwanza ni APRIL na sio January,.
Na mbaya zaidi APRIL 6 wanaiita siku kuu ya wajinga DUNIANI,siku exactly ambayo ndiyo sikukuu ya kuzaliwa Kwa YESU.

There is no TRUTH IN THIS WORLD.

Shetani anafanya kazi kwa HILA iliyojificha nyuma ya kila kitu kilichopo kuna agenda ya siri ya kishetani nyuma yake.
 
Wachungaji Kondeni: Luka 2:8 inasema usiku wa kuzaliwa kwa Yesu, wachungaji walikuwa kondeni wakilinda mifugo yao usiku. Kijiografia, mwezi Desemba huko Yudea ni kipindi cha majira ya baridi kali, mvua nyingi, na wakati mwingine theluji. Wachungaji wasingeweza kukaa nje usiku kucha na kondoo.

Mwezi wa Nisani (Machi/Aprili) ni majira ya masika (spring), ambapo hali ya hewa ni ya joto na ndio msimu wa kondoo kuzaa, hivyo wachungaji walikesha nje kuwasaidia kondoo wanaozaa.

Yesu ni mwanakondoo,na tunaona wachungaji wa kondoo waliokuwa kondeni usiku wakisubiri kondoo wao wazae wanakondoo,ndio walikuwa WA kwanza kupewa taarifa ya kuzaliwa mwana kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu(Yesu)

Kitabu cha Kutoka kinasema kuwa Hema la Kukutana (mahali ambapo utukufu wa Mungu ulishuka na kukaa kati ya wanadamu) lilisimamishwa rasmi siku ya 1 Nisani (Kutoka 40:2).

Cahn anabainisha kuwa kuanzia wakati Musa alipopewa maelekezo mlimani hadi kukamilika kwa Hema hilo, ilipita takriban miezi tisa—muda unaolingana na mimba ya mwanadamu. Hii ilikuwa ishara ya unabii wa kuzaliwa kwa Yesu, ambaye ni Mungu aliyefanyika mwili na "kufanya hema" kati yetu.

Mwaka Mpya wa Kidini: Katika Kutoka 12, Mungu aliwaambia Waisraeli kuwa mwezi wa Nisani (mwezi wa Pasaka) utakuwa "mwanzo wa miezi" kwao. Cahn anajenga hoja kuwa ikiwa Masihi ndiye mwanzo mpya wa ukombozi wa mwanadamu, ni sahihi kabisa kuwa alizaliwa siku hiyohiyo ambayo Mungu aliiweka kuwa mwanzo wa mambo mapya.

Asili ya Desemba 25: Cahn anasema tarehe hii ililetwa na Kanisa la Kiroma karne nyingi baadaye ili kufunika sherehe za kipagani za Waroma kama vile Saturnalia (sherehe ya mungu wa jua) zilizokuwa zikifanyika kipindi hicho cha baridi, kwa lengo la kuwavuta wapagani wengi kuwa Wakristo.

Kalenda ya GREGORIAN calender ni kalenda yenye ASILI ya kalenda ya KIRUMI ya kipagani.

KIJANA Mmoja aliyebahatika kugundua na kuipata biblia ya 1775 imetaja miezi 13 ya kibiblia ,na kwamba Yesu alizaliwa APRIL MOJA ,NISAN 1

DUNIA na yule mwenye kuudanganya ulimwengu wamegeuza kuwa siku ya wajinga DUNIANI KWA lengo la kumpinga KRISTO

Credit kwa JONATHAN CAHN
Link below 👇🏿
ok.🐒
 
Wewe ni msabato, tarehe ya kuzaliwa Yesu hakuna anayeijua, sherehe zote kwenye kalenda ya Papa Gregory zilibuniwa ili kuweka kumbukumbu ya matukio ya kiimani, ukumbuke kuwa siku Moja kwa MUNGU ni sawa na miaka elfu Moja kwa mujibu wa Biblia, hivyo basi mpaka Leo hesabu una siku ngapi, ama unatumia majira ya ikawa asubuhi ikawa jioni. pili kwa Imani yako ya kisabato ni kwamba hamuwakubali warumi, mnachoshangaza ni kwamba Bado mpaka Sasa mnaitumia hiyo kalenda ya Papa Gregory, mbona msiifuate kalenda mnayoiamini mkawaacha hao wapagani na kalenda yao? Nb: nimekutambua wewe ni msabato sio mlokole kwa maneno yako uliyoyatumia, kwanza upagani, pili siku ya sabato. Utaumia kichwa bure kwa kubishania usiyoyajua.
 
Wachungaji Kondeni: Luka 2:8 inasema usiku wa kuzaliwa kwa Yesu, wachungaji walikuwa kondeni wakilinda mifugo yao usiku. Kijiografia, mwezi Desemba huko Yudea ni kipindi cha majira ya baridi kali, mvua nyingi, na wakati mwingine theluji. Wachungaji wasingeweza kukaa nje usiku kucha na kondoo.

Mwezi wa Nisani (Machi/Aprili) ni majira ya masika (spring), ambapo hali ya hewa ni ya joto na ndio msimu wa kondoo kuzaa, hivyo wachungaji walikesha nje kuwasaidia kondoo wanaozaa.

Yesu ni mwanakondoo,na tunaona wachungaji wa kondoo waliokuwa kondeni usiku wakisubiri kondoo wao wazae wanakondoo,ndio walikuwa WA kwanza kupewa taarifa ya kuzaliwa mwana kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu(Yesu)

Kitabu cha Kutoka kinasema kuwa Hema la Kukutana (mahali ambapo utukufu wa Mungu ulishuka na kukaa kati ya wanadamu) lilisimamishwa rasmi siku ya 1 Nisani (Kutoka 40:2).

Cahn anabainisha kuwa kuanzia wakati Musa alipopewa maelekezo mlimani hadi kukamilika kwa Hema hilo, ilipita takriban miezi tisa—muda unaolingana na mimba ya mwanadamu. Hii ilikuwa ishara ya unabii wa kuzaliwa kwa Yesu, ambaye ni Mungu aliyefanyika mwili na "kufanya hema" kati yetu.

Mwaka Mpya wa Kidini: Katika Kutoka 12, Mungu aliwaambia Waisraeli kuwa mwezi wa Nisani (mwezi wa Pasaka) utakuwa "mwanzo wa miezi" kwao. Cahn anajenga hoja kuwa ikiwa Masihi ndiye mwanzo mpya wa ukombozi wa mwanadamu, ni sahihi kabisa kuwa alizaliwa siku hiyohiyo ambayo Mungu aliiweka kuwa mwanzo wa mambo mapya.

Asili ya Desemba 25: Cahn anasema tarehe hii ililetwa na Kanisa la Kiroma karne nyingi baadaye ili kufunika sherehe za kipagani za Waroma kama vile Saturnalia (sherehe ya mungu wa jua) zilizokuwa zikifanyika kipindi hicho cha baridi, kwa lengo la kuwavuta wapagani wengi kuwa Wakristo.

Kalenda ya GREGORIAN calender ni kalenda yenye ASILI ya kalenda ya KIRUMI ya kipagani.

KIJANA Mmoja aliyebahatika kugundua na kuipata biblia ya 1775 imetaja miezi 13 ya kibiblia ,na kwamba Yesu alizaliwa APRIL MOJA ,NISAN 1

DUNIA na yule mwenye kuudanganya ulimwengu wamegeuza kuwa siku ya wajinga DUNIANI KWA lengo la kumpinga KRISTO

Credit kwa JONATHAN CAHN
Link below 👇🏿
Sipingi hoja yako ya kuzaliwa kwa yesu. Ila naona inakuwa ngumu sana kutambua siku na mwezi sahihi wa kuzaliwa yesu. 1. Hizi tarehe tunazozitaja kwa sasa kama tarehe 1 mpaka 30 au 31 ulikuwepo toka zamani?.

Kwa fikra za kawaida tarehe na miezi naona tunavyo hesabu sasa si sawa na miaka 2000 iliyopita kuna miezi iliongezwa mbele ata baada ya kuzaliwa kwa yesu.
 
Back
Top Bottom