KUZALIWA na kuendelea KUZALIWA Upya...

KUZALIWA na kuendelea KUZALIWA Upya...

^^
Afadhali leo nimeona mtu anayeazimisha birthday with reasons.
LONG LIVE AshaDii
^^

I am humbled by your acknowledgments. Asante... Pamoja Saana Himidini.

Heri ya kuzaliwa Ashadii.

Mwenyezi Mungu aendelee kukuongezea miaka mingine zaidi na akupe baraka zote kwenye malengo yako ya mbeleni na aendelee kulinda yale uliyotimiza tayari.

Sheherekea salama

Nafurahi kukuona, it has been so long. I believe upo pouwa and all is going on well Oxlade.

Nashukuru kwa salamu zako za kheri na dua yako njema juu yangu. Asante saana.
 
Huyu Kaunga naye kakengeuka kama Kongosho. Wako wapi hawa kinamama waje kumvalisha mtoto nguo

Mwana Mtoka Pabaya pamoja na kusema zawadi hainitoshi tokana na wowo aliyo taja King'asti, bado nashukuru for the thought itself. Pamoja Saana!

BTW nimetoka kabisa ile contradictory comment. 🙂
 
Last edited by a moderator:
ooo my God.. Nimefurahi sana kujua tunashare birthday My dia Sister AshaDii..

Asante sana kwa kunitag hii post. HAPPY BELATED BIRTHDAY DADA YANGU.
 
Last edited by a moderator:
Dear my close friend AshaDii


Each day is a beautiful gift. To be part of your life is a priceless gift too. From the bottom of my heart - Happy Birthday!

Wishing your big day is
A memorable one,
Just filled with surprises,
Pleasure and fun!

I wish next year you will have even you more reasons to smile and to be happy. May all your birthday wishes become reality!

Birthdays are always special because they help to see how far you have come and how far you still have to go. Wishing you wisdom for the rest of your life!

Happy Birthday AshaDii.

Arushaone Dear... THANK YOU So much for your message. Its wonderful and so inspiring... Really appreciate. Pamoja Saana.
 
Happy birthday AshaDii

Happy birthday AshaDii, Mungu akujalie kheri na baraka tele ili nawe ukawe baraka kwa wengine.

Nawashukuru sana wapendwa kwa salamu zenu za kheri... Mwenyezi Mungu atubariki sote. Pamoja Saana.

Mimi huwa sisemi Happy Birthday...I dont believe in happy birthdays. I wish YoU A vErY hApPy AnNiVeRsArY.

Consig, shukrani kaka... Thanks (Jana it was my anniversary on something) so inakuwa kama umenitakia BD na anniversary pia. 🙂 Pamoja Saana!
 
Kabanga yeah.. Its a wonderful coincidence na I really hope BD yako ilikuwa na so much fun like mine. Mungu ni mkubwa katufikisha hapa, na naipokea dua yako huku nikikuombea pia kuwa sote tuweze kujaaliwa kwa hayo.

Hongera saana kwa kuongeza Mwaka, Inshallah God willing tutazidi gongana kwa miaka miiingi ijayo. Pamoja Saana.

Aaamin Inshaallah
 
kusema kweli mimi sijasoma zaidi ya paragraph ya kwanza tu mana me nadhani umesahau au kwa makusudi umeamua kumuabandon baba kwenye kuzaliwa kwako ila mungu na mama tu. nadhani wewe ni YESU kama sijakosea mana yesu tu ndiyo hakuwa na baba kama hawa wa kwetu ila baba mlishi wakatoriki tunamwita hvo. je wewe ndiye masihi?

Mbona kauli yako imejaa utata mkuu. Mungu asaidiane na mama yako! Ina maana Mungu ana mapungufu hadi ahitaji msaada wa mama yako! Funguka vizuri mkuu.

Da Asha kabla sijaendelea kusoma, tafadhali sana badili hiyo kauli hapo nilipoweka nyekundu. Kulingana na mabandiko yako ya nyuma ninaamini wewe ni muislamu na kwa mukhtadha huo basi kwa kauli hiyo hapo chini unafanya shirki kubwa sana japokuwa huenda likawa si lengo lako. Allah(sw) huwa hasaidiani na kiumbe chochote. Badala yake unaweza kusema hivi, "Kwa rehma na baraka za Allah (sw), mama yangu mpenzi alinileta kuonja uhai na maisha".
No pun intended.

Comment hiyo imetolewa... Asanteni for pointing that out. Blueprint huna kisingizio tena haya malizia kusoma alafu sasa mnitakie Birthday wishes mnipe na zawadi kwani hamjachelewa! Every drop counts 🙂. Pamoja Saana.
 
Last edited by a moderator:
Wifi, nami nimezaliwa upya kwa kuwa rafiki yako.
Wewe wajua, umekuwa msaada kwangu wakati niko confused (whether na kakako Paw, ama na babangu. Ama hata na boss wangu). Wewe ni mmojawapo kati ya watu wa kwanza kuwatafuta nikiwa hata nna viatu vipya, kwa maana kuwa unafurahia kupata kwangu na kukosa kwangu kunakuhuzunisha. Lets celebrate this bday in style. I will say this today, I LOVE YOU.

Happy birthday darling.
(@sweetlady atajinyonga leo)

That Love ni hivyo pia kwangu... Ile sincerely.. The appreciation is reciprocal Dearest... I am just honored to be a part of your life and thank you for letting me. Tumuombe Mungu kadri umri wetu unavyozidi kusonga ndiyo that bond izidi kuwa strengthened. And Thanks for the fun time. Really humbled.
 


May your Birthday bring the first day of an amazing year ahead, a happy new beginnings and sweet surprises. May you be blessed with luck, prosperity, love, health and a whole lot of joy.

Happy Birthday ADI


My special greetings to your loved ones

Such a wonderful message, wonderful flowers as well as Birthday Dedication. Thanks so much Bak. Pamoja Saana!
 
Adii HAPPY BIRTHDAY.
Ila nimependa ulipozaliwa upya wakati ule umepata uchungu na raha kwa sababu ya kupenda!! Ningependa uendeleze kidogo..............Kwamba ilikuwajekuwaje mapaka ukaingia kumi na nane...ehh bana, nk nk nk!!

Wakatabahu.
Platozoom

Hahaha! Platozoom... Hiyo ni story ya siku nyingine kabisaaa! Lol (Umenikumbusha mbaaali...)

Nashukuru kwa salamu zako za kheri... Pamoja Saana!
 
Huyu Kaunga naye kakengeuka kama Kongosho. Wako wapi hawa kinamama waje kumvalisha mtoto nguo

417207.jpg

nimekuja, nilikuwa namkanda mzazi kwanza nikamuachia my wii wa ukwehn King'asti ashughulike na kichanga; sasa kama mibange imemzingua na kumuacha mtoto uchi nitamsemea kwa Paw.

Hongera sana AshaDii kwa siku yako muhimu, ni kweli maisha matukio yanatufanya tujifunze na kubadilika ili tucope na situation zinazojitokeza. Wanasema kitu kilicho permanent ni change pekee yake; so usipozaliwa upya ili kuendana na kasi ya mabadiliko utabaki sana tu na waweza ishia kulalama na kuwa miserable maisha yako yote.
Hongera kwa +1 Birthday.
 
Last edited by a moderator:
Stay Blessed on this day....

Asante saana MadameX. May the Almighty God bless the both of us. Pamoja Saana.

Kati ya watu ambo huwa nikiwafikiria navimba kichwa ni wewe Da Asha,.. AshaDii,

I am very proud of you and I wish many more women could take half of your courage...

Uwe na siku njema ya kukumbuka mambo mazito yaliyokutokea katika maisha yako na Mungu akujazie mibaraka zaidi...

Isha-allah, miaka yako na iwe mingi hadi upoteze meno yote na macho...!

Babu DC!!

Kaka DC sasa hapa umenifanya na mimi nivimbe kichwa kama vile ambavyo wewe huvimba... Lol!

Sincerely, unapokuta mtu mstaarabu na busara zake akakuu acknowledge kwa lolote... Kwangu it means a lot and carries a lot of weight. Maneno yako na salamu zako za kheri kwangu zimepokelewa kwa mikono miwili nikiwa mwingi wa furaha. Pamoja saana kaka. Mwenyezi Mungu atubariki sote.
 
Praise be God, the Creator of heaven and earth and everything in between. Be Blessed AshaDii on your Birthday.

Happy Birthday AshaDii...

Long live my dada AshaDii

Nawashukuru saana wakuu kwa salamu zengu za kheri. Asante sana... Mwenyezi Mungu atubariki sote... Pamoja Saana.

So Kaizer leo full mgegedo
hump.gif
mpaka kukuche...tehe tehe teh teh

Jamani Kivumah... Taratiiibu.. Hujui kutunza siri? Lol
 
Happy birthday Sister AshaDii. M/MUNGU akujaalie maisha ya furaha na afya tele.

Globu Shukrani kwa salamu zako za Kheri... Mwenyezi Mungu atujaalie sote. Pamoja saana.

to yu AshaDii



from C6 with love


Your love has been humbly received. Nashukuru saana. Pia nashukuru for the dedication - that is one of my forever favorite songs and the message is beautiful. Pamoja saana C6. Stay blessed.
 
Last edited by a moderator:
AshaDii,

Mimi ni mmoja wa wale ambao hata tarehe ya kuzaliwa kwangu inaweza kunipita bila hata kukumbuka. Mimi ni mmoja wa wale ambao nina tabia ya kusahau sana birthdays za watu, hata wale wa karibu sana.

Lakini recently I have noticed how birthdays can be important to others. I learnt to someone's birthday recently na sasa najifunza kwako pia.

Mara nyingi tunaweza kuimba casually na bila thoughts zozote ule wimbo wa "happy birthday to you" lakini unaweza kuwa na maana kubwa sana kwa mhusika kuliko tunavyoamini.

Kwa wengine salamu ni zaidi ya casual gesture. Ni survival nyingine, maendeleo na matumaini for the future. Kuna wengine mpaka walishaambiwa kuwa mwisho wao wa kuishi ni mwaka fulani kwa hiyo kila wanapovuka mwaka ni another survival.

Thread ina symbolise what you have been through tokea ulipozaliwa. Hata hivyo, kitu ambacho kinafanya birthday yako iwe special zaidi ni kitendo cha wewe kuamua kui-share na sisi hapa JF.

To some, birthdays zinaweza kuwaongezea what is now commonly referred to as "haters" lakini sidhani kama kuna kiumbe yoyote hapa JF, including wale Mods wa kutwanga bans, anaweza hata kufikiri "Damn it! She's still alive!".

Happy Birthday AshaDii.

Usually I treasure sana Birthdays.. Sometimes I think I treasure more za watu wangu wa karibu kuliko zangu mwenyewe. I Love birthdays... But usually huwa si mpenzi wa kuwekewa Birthday party; ila napenda throwing one for others.

Mie personally napenda iwe quiet. Sometimes hata niwe alone, or with a loved one but really quiet. I tend to enjoy more ikiwa hivyo. Ikiwa a party basi iwe watu wachache ambao tunaweza tukakaa na tukafurahia na kuongea vitu coherently.. Si ile party ambayo kuna watu so packed! I like it simple..

Upande wa urafiki; kujali Birthday ya mtu ni moja ya njia ya kuonyesha to what extent you really care about your friend. Na also a way ya kuonyesha you think about the person walau constantly.

EMT rafiki yangu... Nimependa ujumbe wako, nimepokea salamu zangu. Na you are right as in a way inaonyesha what I have been through (thou kwa uchache) kwa thread hii.

Mwenyezi Mungu atubariki sote! Pamoja Saana.
 
mimi birthday yangu ni muhimu sana sana...birthday yangu shem wako sijui alisahau sijui ni makusudi hakunipa birthday wishes yaani nikikumbuka roho inaniuma naweza kutemana nae anytime....nimeumia sana kwa kweli

Polee ana Smile. Kaka/baba zetu hawa sometimes they underestimate umuhimu wa Birthdays kwa Mwanamke... 🙂

CC: Kina baba/kaka woote out thea!
 
As you grow up tomorrow make sure you have...
More dreams than memories,
More opportunities than chances,
More hard work than luck and,
More friends than acquaitances as you know in the end it's not the year in your life that count. It's the life in your years.

Happy birthday Sister AshaDii na tuombe Mwenyezi Mungu/Allah akijaze kikombe chako cha hekima, busara na uvumilivu.

Umeniombea vitu vya msingi saana... Vitu ambavyo hata mimi humuomba Mungu kila siku aweze kunijaalia. Ameen. Zaidi naomba Mwenyezi Mungu atubariki sote kwa hilo.

Nashukuru sana kwa salamu zako za kheri. Pamoja Saana.
 
OMG! Imekuwaje sijaiona hii? But its not too late to wish you happy birthday. Happy Birthday my beloved sister AshaDii...May you live as long as you wand and love as long as you live.



My son siku moja alinikalisha akanisisitiza kuwa Cartoon ya the Chipmunks nzuri sana. I remember I was not in the mood but kumridhisha nikaka; only to find mwisho wa hiyo Cartoon I had enjoyed so much and he was rite! 🙂

Hii hunifanya kila nikiwaona/soma/sikia nakumbuka mwanangu. I love the little voices. Perfect!

Asante kwa salamu zako za kheri YM. Tupo pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom