KUZALIWA na kuendelea KUZALIWA Upya...

KUZALIWA na kuendelea KUZALIWA Upya...

.... HBD...★☆★☆★

.... hii siku ni ya kutafakari zaidi kwako.... yapi umefanikiwa na yapi umeshindwa....& why umeshindwa.!!?... maneno yawe machache, usijisifie saana kwa watu bali jisifu ndani yako ww....●○°•◇◆¤¡¡¡¿¿
€ nj♥y....!!!!

Happy birthday mamito AshaDii

Asanteni Wapendwa... Nimepokea salamu kwa furaha na mikono yoote miwili. Pamoja Saana.
 
Sorry i was upcountry, but i wish u uzaliwe tena na tena na tena.............. Happy belated Birthday

You don't need to apologise Kalukamise... Thank you so much for the well wishes.

Hongera sana AD
Tunashukuru kwa michango yako
You are the best!!

I am humbled Arpaio... More so am happy to see you. It has been long. Pamoja saana!

Hahaha dada Mwali nimeipenda hiyo excuse! Walau sherehe imerefushwa kama kipindi cha mzee ruksa, sikukuu ikiangukia weekend tunairusha kwenda siku ya kazi!

Wish you well AshaDii, Mungu akutangulie katika yote uyafanyayo! HBD!

Ameeeen!! Mwenyezi Mungu atusimamie woote. Pamoja Saana.
 
AshaDii,

Hiyo si siku yako ya kuzaliwa ni tarehe yako ya kuzaliwa.

Naona na wewe umeingia mtegoni wa wale wanaoifanya tarehe ya kuzaliwa ni siku yako ya kuzaliwa.

Kuna siku saba katika wiki, siku uliyozaliwa ni mojawapo ya siku hizo saba, kuisherehekea au kuikumbuka kwake ni kila wiki na kwa Kiislaam na si kila mwaka. Kiislaam siku hiyo hukumbukwa kwa kufunga siku hiyo kama alivyofanya Mtume Muhammad SAW. Akifunga kila Jumatatu, siku yake ya kuzaliwa.

Kufunga kwa maana ya kui-"dedicate" siku hiyo kwa mola wako aliyekuumba, kwa kumtukuza na kumshukuru kwa yote aliyokuruzuku kwa juma zima na kumuomba akuepue shari na kukupa yenye heri kwa wiki nzima nyingine ijayo utapokuwa hai.

Kwanini ungoje kujikumbusha kuzaliwa kwako hadi tarehe ya mwezi na mwaka? ambayo ukichunguza, utakuta mara nyingi huwa si siku yako ya kuzaliwa.

Naona umetoa darasa la kutosha hapa Zomba... Shukrani. Pamoja Saana.
 
sijui nimechelewa!! heri ya siku ya kuzaliwa aunt, uishi miaka mingi hadi tukuanike. mungu akupe furaha tele maisha yako yote.

Huchachelewa Dearest... Nashukuru kwa dua yako njema kwangu. Mwenyezi Mungu atubariki sote... Pamoja saana.

Happy delayed BD Da Asha. Uendelee kuzaliwa tena na tena inshaallah :hug:

Ameeen! Nashukurus ana Mjasiria... Tujaaliwe sote kuzaliwa tena na tena na tena!

View attachment 99330
You don't know how much you mean to me.

Nikutakie siku njema [
ingawa BELATED] ya kuzaliwa.

Nikuombee maisha marefu na furaha yako isipungue kama usivyopungukiwa na afya.

Thank you so much Pal! Its a beautiful message as well as poster.

Nashukuru pia kwa dua yako njema. May the lord bless us all. Pamoja Saana.
 
Ahsante sana ADI, nilifurahi kukusoma hapa, "Siku yangu ya kuzaliwa Kwa misingi ya siku niliyoingia hapa duniani ni tarehe kama ya leo June 23 miaka mingi iliyopita." ADI wa mwaka 47 lol! hahahahaha angeweka na umri wake mpya lakini si huyu wa 2013 🙂🙂

Good day

hahaha! Mie sina hiyana kabisa kuweka miaka... Ila tokana na kuwa hapa tupo kwa avatars najua kuna ile ya a fellow member kukukadiria miaka. Nataka kila mmoja aendelee na imagination yake nisiwa dissapoint! Lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hongera sana AshaDii
mi nimechelewa kuituma hii wishes si King'asti alinichelewesha tulikuwa tunakutaftia jeans ya kukutosha!
si alikata panga eti anunue na yeye top mmechishe !ah mi nikajitahidije sasa kukimbia nije nikwambie hepi besidei ile jana ila ndo hvo nikachelewa bana!
kamatia hizi basi kwa kuchelewa!
P11283151.jpg

hongera kwa kuzaliwa upya mamii!

Ha ha ha! Wifi King'asti sometime anakuwa kama kapinda vile... Anadai sababu yeye na sweetlady ni wifi zangu; miimi na yeye ndio tuwe tuna mechisha ili wifi Sweetlady atuonee wivu! Na hivi we were the same size tukienda shopping usipime Lol.

Nashukuru saana mpendwa, kwa salamu zako na kwa zawadi. Pamoja Saaana!
 
Last edited by a moderator:
Hommie, naomba kuzaliwa upya na shem wangu...

Heri ya siku yako ya kuzaliwa toka tumboni shem langu la ukwee AshaDii

Ana heri baba aliekulea (Aendelee kulala pema peponi),
Lina heri tumbo la mama lililokutunza,
Wana bahati watoto waliopitia tumboni kwako
Amebahatika aliyepata nafasi ya kuwaweka watoto tumboni mwako,
Una heri shem wangu wa ukweli.... Una heri.

Asante kwa maneno yako mazuri na yaku inspire Darling shem. Mwenyezi Mungu atubariki sote. Pamoja Saana!
 
Happy birthday AshaDii too bad i have given the wish late.
Nidai zawadi yako tukuonana popote pale.

Long live,you will always see the goodness of God in your life.

BTW: karibu kwenye club yetu ya mazoezi ha ha
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday AshaDii too bad i have given the wish late.
Nidai zawadi yako tukuonana popote pale.

Long live,you will always see the goodness of God in your life.

BTW: karibu kwenye club yetu ya mazoezi ha ha

Its alright sababu umeahidi kunipa zawadi... Ili nifurahi hadi nizaliwe upya! Lol.

Thanks Speaker, nafurahi kwa salamu zako - Suala la kujiunga club ya Mazoezi inahitaji negotiations za maana! Hadi tuonane ha ha ha!

Pamoja Saana!
 
Happy Birthday Ashadii Mtoto anazaliwa toka mimba inapotungwa nakutakia maisha marefu na afya njema
 
Happy Birthday Ashadii Mtoto anazaliwa toka mimba inapotungwa nakutakia maisha marefu na afya njema

Upo sawa kabisa Kilimasera... Asante sana kwa salamu zako za kheri. Pamoja Saana!
 
Baada ya kusema hayo unaweza kutuambia kwa nini jana.ulimwachia Paloma akaondoka na chupa za konyagi?

Si unajua Paloma ako kwa msiba, na si wajua nyagi ni tiba ya msongo wa mawazo?

Baada ya kusema hayo, sasa waeza ipitisha bajeti yetu?

hahahahahaaa nyie wabwanga.........hivi MOI hawajagoma............mbavu zimevunjika huku!!!
 
Ryooo dada AshaDii, how in heaven and on earth did I not see this..?

Thousand apologies my dear...

Nonetheless, I wish to say a prayer for you that each day God will shine to you His grace and grant you your heart's desires. That He will keep you an protect you from the snares of the evil one! That despite the time, condition or situation He will give you joy beyond human understanding...

Happy belated Birthday dada AshaDii.

Mentor loves you sooooooooo much!!!!!!:clap2::clap2::clap2:

NB: Haijalishi nimechelewa, pliz nataka keki yangu.
 
There is no need of apologies Mentor... Usijali kabisa.

I am so glad thou of the well wishes and the Love; Appreciated so much and all Reciprocated. Thank you.

Cake si unajua haiozi? Ni suala tu la wewe uje home.. Na unajua the way sponge cake inakuwa well preserved kwa jokofu 🙂
 
Hi Pal,

Do You think am the last one posting on your birthday? ME? No way!!!

Reference is made to your Visitor message, It was about exactly a solid week that I felt something special ... !

I felt re newness in you, a distant kind of rebirth, that you love yourself soooo much!! That you clearly remember the very three IMPACTS of LOVE in you life 1. "LOVE can be that Crazy" 2. You LOVED your Dad 3. Your Maternal LOVE (Nilipoambiwa hiyo ni nini ilibadilisha psychologically)

That, I can feel what is in your heart? That I can read your mind and SOUL? That am that closer? .. This is different topic all together.

Let me just say.. Nilikuwa nasumbuliwa na Impact ya Birthday Yako and especial the style you presented It this year. YES I SAW IT COMING ... But couldn't be that much precises on the day I posted in your Visitor message. I should have said Happy Birthday in one week to come!!!!

Do you still think I'm the last one to post ....?:glasses-nerdy:
 
Ha ha ha! Umenifurahisha saana! Lol

The way you know to get your self off the hook! Well if the VM has to be taken in question you may qualify as being the first to wish me 🙂

AJ Thanks so much for the well wishes... Appreciated. Pamoja Saana! :grouphug:
 
Back
Top Bottom