Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Kama mtu umeshakutana na wanawake kibao lazima uwe na hofu hata kama hukucheza rafu..Nini unaogopa. Mimi jamani sijawahi ogopa hata unipime kwa kunishtukiza,.sijui huwa najiamini nini
Kama mtu umeshakutana na wanawake kibao lazima uwe na hofu hata kama hukucheza rafu..Nini unaogopa. Mimi jamani sijawahi ogopa hata unipime kwa kunishtukiza,.sijui huwa najiamini nini
Ubakipata unachokitaka!Tena bora hata usijiamini maana unaweza jiamini lakini majibu yakakutoa barabarani hapo ndio.tabu inaanza
Majibu yangekuwa siyo hata huu uzi ningeukimbiaa😂Ilà majibu yalikuja vizuri si eti! Hilo ndio jambo la msingi.
Tupo pamoja sana mzeeMambo Ni swafi kabisaaaaa ndugu Wangu
Mimi hizo issue za kupima pima VVU huwa sizipi nafasi kabisa![]()




Siku unajikaza tu unaenda kupima, baada ya kupata uhakika wa afya yako sasa kabla hujakutana na mtu mnapima afya maana utakua unajiamin n itakuepusha kupata maambukizi.Wakuu habar zenu, ngja niende direct kwa Topic.Wakuu mimi kila nikiplan kupima UKIMWI huwa naishiwa kabisa nguvu ya kwenda kupima inshort siwez kwenda kupima. Ila sasa kuna watu huwa wanakwenda kupima kwa moyo mweupe hapa ndo najiuliza huu ujasir wanautoa wapi?? Binafsi nmeshindwa kabisaa nyie mnaoenda kwa hiari yenu mtupe mbinu bhasi mnazotumia ili na sisi wengine humu Jf tukapime UKIMWI....
ukiwa unajiamini unapima bila wasiwasiWakuu habar zenu, ngja niende direct kwa Topic.Wakuu mimi kila nikiplan kupima UKIMWI huwa naishiwa kabisa nguvu ya kwenda kupima inshort siwez kwenda kupima. Ila sasa kuna watu huwa wanakwenda kupima kwa moyo mweupe hapa ndo najiuliza huu ujasir wanautoa wapi?? Binafsi nmeshindwa kabisaa nyie mnaoenda kwa hiari yenu mtupe mbinu bhasi mnazotumia ili na sisi wengine humu Jf tukapime UKIMWI....

hivi ni kweli?? Maana naona wake kwa waume wanaweka hadi picha zao zinazoonyesha majibu ya vipimo kua wako salama! 









bora sikua na wazo LA kuwa na mwanamke katika mtandao huu, wote walioungwa na grid ya taifa nawapa pole sana ndio wajifunze kua mitandaoni kumeoza. 




Moderator afute siyo kusahihisha huu uzi auna maana ni wakutia watu hofu kama umeungwa utajijua wewe na shetani wako kila siku tunasema kaa njia moja kwa nini uchepuke??ukishindwa kondomu sasa vyote umefeli unakuj akulialia hapa tukusaidieje nyuma ya keybord Moderator futa huu uzi.Moderator edit CHAMSHA ni CHANGAMSHA
Mimi sijaungwa ndio maana nachekaModerator afute siyo kusahihisha huu uzi auna maana ni wakutia watu hofu kama umeungwa utajijua wewe na shetani wako kila siku tunasema kaa njia moja kwa nini uchepuke??ukishindwa kondomu sasa vyote umefeli unakuj akulialia hapa tukusaidieje nyuma ya keybord Moderator futa huu uzi.
nasina mwanamke hapaSasa hivi ni vitu vya kucheka wakati muda wowote unaweza ukaungwa na shetani!!wewe wa wapi??Mimi sijaungwa ndio maana nachekanasina mwanamke hapa
Sina tabia ya kutembea na wanawake was mtandaoniSasa hivi ni vitu vya kucheka wakati muda wowote unaweza ukaungwa na shetani!!wewe wa wapi??
Nimepima jumapili iliyo pita nashukuru nipo Negative