Kuvaa vibaya na ukimwi

Kuvaa vibaya na ukimwi

Mkuu, naona nawewe umeamua kuongeza taharuki tena....
Kwani haujaskia yule member ambae Jana alidondoka kwa presha, kisa kasoma Uzi kwamba ameunganishwa kwenye gridi....
Yupi huyo kaanguka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitonye mkuu
 
Mama wa kuachia as long as kakuona u have something good in return[emoji851].

@unforgetable
Screenshot_20191128-185013.jpeg
 
Yupi huyo kaanguka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitonye mkuu
Mkuu, misitaki kusutwa kabisa aiseeee...
Kuna wapenzi pia ambao ni member wenzetu, jana ilibidi tuka wasuluhishe. Maana mmoja alikuwa anamtuhumu mwenzake kwamba jina lake lilitajwa kwenye ule uzi wa kukulana kimaskhara....teh[emoji28]
 
Nilikuwa muoga sana wa kupima ngoma mzee baba ukizingatia mimi ni mtaalamu wa kujilipua a.k.a kuuza mechi yaani mwanamke asipo komaa kutumia huo mpira mimi sina habari hata niwe nimemuokota mitandaoni huko.

Sasa mwaka huu wife alinibananisha wakati alipokuwa mjamzito aliniambia kuwa Clinic wamemwambia asipoenda na mzazi mwenziye hapati huduma yoyote hivyo lazima twende wote. Usiku sikulala kwa sababu nilikuwa nahofu hata sijui ilipotokea , asubuhi nikamwambia nenda serikali za mtaa waambie mume wako ni driver wa malori hivyo amesafiri yuoi Congo hawezi kurudi mapema wakupe barua upeleke hospital ukapate huduma.

Wife aligoma kabisa akasema kwani unaogopa nini au unanisaliti siku hizi mwenzangu nikakosa ch akujitetea ikabidi tuongozane lakini amani ilishatoweka na moyo ulikuwa unadunda sana . Nashukuru lakini baada ya kupima mambo yalikuwa poa yaani sasa hivi nawamega ila nimekuwa muoga sana kwenye issue za kuuza mechi .

Lakini sitaki tena kwenda kupima kupima sijui kwa nini sipendi kupima hivyo hovyo.
 
Mkuu, misitaki kusutwa kabisa aiseeee...
Kuna wapenzi pia ambao ni member wenzetu, jana ilibidi tuka wasuluhishe. Maana mmoja alikuwa anamtuhumu mwenzake kwamba jina lake lilitajwa kwenye ule uzi wa kukulana kimaskhara....teh[emoji28]
Aiseee
 
Nimeshajitoboa sana kwa ajili ya kupima HIV.mbaya zaidi x wangu alikua na vipimo geto kwa hiyo kila baada ya miezi mitatu tulikua tunapimana
Kwahy najionea kawaida halafu ngoma ilikua zamani siku hizo mbina haitishi 😀😀
 
Back
Top Bottom