Kuvaa vibaya na ukimwi

Kuvaa vibaya na ukimwi

Wakuu habar zenu, ngja niende direct kwa Topic.Wakuu mimi kila nikiplan kupima UKIMWI huwa naishiwa kabisa nguvu ya kwenda kupima inshort siwez kwenda kupima. Ila sasa kuna watu huwa wanakwenda kupima kwa moyo mweupe hapa ndo najiuliza huu ujasir wanautoa wapi?? Binafsi nmeshindwa kabisaa nyie mnaoenda kwa hiari yenu mtupe mbinu bhasi mnazotumia ili na sisi wengine humu Jf tukapime UKIMWI....
Achana nayo kafanye mishe nyingine tuuu
 
Jiamini mkuu
 
Mda ukifika utapata ujasiri tu mkuu
 
Kuna siku nusura nikimbie majibu,ila nikasema ntakimbia mpaka lini,ni heri kujijua kuliko kujulikana hilo jambo ni kama kukimbia kivuli chako tuu,kwa zama hizi bora kufahamu hali yako..

Chumba kilikua cha bariidiiii lakini kijasho chembamba kilin'churuzika,lol
@Mother Confessor upo mpendwa? Nimekumiss
 
Tena bora hata usijiamini maana unaweza jiamini lakini majibu yakakutoa barabarani hapo ndio.tabu inaanza

Mimi huwa naona kama garage tu kupeleka gari na mechanic ukamwambia angalia kila kitu kama kuna hitilafu
Sasa mimi kila mwaka huwa nafanya checkups kila kitu kuanzia pressure,kisukari, tezi dume, hiv na hata cancer
Huwezi kujua bila kupima
Usiogope
 
Usisahau meno na macho

Dah! Mademu wasiopenda kutumia Ndoms, ndiyo wananipeleka kwenye vipimo.
 
Mimi huwa naona kama garage tu kupeleka gari na mechanic ukamwambia angalia kila kitu kama kuna hitilafu
Sasa mimi kila mwaka huwa nafanya checkups kila kitu kuanzia pressure,kisukari, tezi dume, hiv na hata cancer
Huwezi kujua bila kupima
Usiogope

Utakipata unacho kitafuta
 
Utakipata unacho kitafuta

Magonjwa hayaepukiki kwa viumbe ila sio ya kutafuta na hilo labda unidunge sindano
Maana lolote linawezekana
Halafu uniambie hicho nakitafuta ni nini?
I am happily married and I don’t &£”@ around
 
Kuna siku nusura nikimbie majibu,ila nikasema ntakimbia mpaka lini,ni heri kujijua kuliko kujulikana hilo jambo ni kama kukimbia kivuli chako tuu,kwa zama hizi bora kufahamu hali yako..

Chumba kilikua cha bariidiiii lakini kijasho chembamba kilin'churuzika,lol
Ilà majibu yalikuja vizuri si eti! Hilo ndio jambo la msingi.
 
Back
Top Bottom