Jiweke na wewe uungueYooi Habari zenu ndugu zangu.,kama nipo katika wakati mgumu hivi..kuna Girl anakujaga Sana ofisini kwetu kwa rafiki yake..mazoea ya Mara kwa tukajikuta tumezoeana Sana..mtoto mkali balaa,taa zimewaka kwangu,na kwake PIA.,plus am single natamani nijiweke..but rafiki yake ambae Ni Mfanyakazi mwenzangu anasema Girl anatumia Dawa..sijui nifanyaje..naombeni ushauri..,sometimes nahisi kama Ana wivu ananitisha..mazee nijiweke au nikaushe??
Tumia TACAIDS au hujui matumizi yakeYooi Habari zenu ndugu zangu.,kama nipo katika wakati mgumu hivi..kuna Girl anakujaga Sana ofisini kwetu kwa rafiki yake..mazoea ya Mara kwa tukajikuta tumezoeana Sana..mtoto mkali balaa,taa zimewaka kwangu,na kwake PIA.,plus am single natamani nijiweke..but rafiki yake ambae Ni Mfanyakazi mwenzangu anasema Girl anatumia Dawa..sijui nifanyaje..naombeni ushauri..,sometimes nahisi kama Ana wivu ananitisha..mazee nijiweke au nikaushe??
Mimi nitaangalia upepo kipindi tu naoa..

Tena bora hata usijiamini maana unaweza jiamini lakini majibu yakakutoa barabarani hapo ndio.tabu inaanzaKama unajiamini ni kawaida sana