Kuvaa vibaya na ukimwi

dU! MNANICHOSHA! YAANI MIDUME YA BONGO BALAA! NDIO MAANA UBAKAJI HAUISHI HATA BAADA YA JANGA HILI LA NGOMA.
 
post nyingine zinaboa, maana mtu anauliza kitu anachojua jibu lake, problem most of us we use to preach what we never practice,mavazi yana influence kubwa, hasa kuzingatia maumbile ya mtu, huku uzunguni ni kawaida kupishana na wazungu waliovaa see me through ila maumbile yao they never become men optical comodity,
 
Tamaa zao tu wanaume, kuvaa vibaya kwanza ndio kuvaa gani? Mavazi wala hayana uhusiano wowote na maambukizi ya ukimwi.
Ukimwi mnaautafuta nyinyi wenyewe wala msisingizie mavazi.
 
Chakubanga!

ch_kichaa01.gif
 
NASHANGAA SANA KUSIKIA ETI MAVAZI FULANI YA WANAWAKE HUCHANGIA KUONGEZA MAAMBUKIZI YA hiv. HIVI WANAWAKE KUKAA VIBAYA AU KUVAA VIBAYA INAWAHUSU NINI NYIE WANAUMEWA KIAFRIKA?
MBONA WAZUNGU WAO SIO SHIDA
MIMI NAAMINI MWANAMME KUNTAMANI MWANAMKE KWA VILE AMEONA NYETI AU AMEVAA NGUO ZA KUTAMANISHA ILE HALI HATA MWANAKE HUYO HATA HAMJUI LAZMA NI CHIZI. KWANI NJAA INAUMA WAKATI UMEONA MENU? KWANINI TUSIWAZE KUNYWA BAADA YA KUONA RANGI YA LAGER?

Vipi na wale wanaovutiwa na burka? Maana kuna wale wanaovutiwa na visivyoonekana, sasa mtawasaidiaje nao?

burka1.jpg
 
Yooi Habari zenu ndugu zangu.,kama nipo katika wakati mgumu hivi..kuna Girl anakujaga Sana ofisini kwetu kwa rafiki yake..mazoea ya Mara kwa tukajikuta tumezoeana Sana..mtoto mkali balaa,taa zimewaka kwangu,na kwake PIA.,plus am single natamani nijiweke..but rafiki yake ambae Ni Mfanyakazi mwenzangu anasema Girl anatumia Dawa..sijui nifanyaje..naombeni ushauri..,sometimes nahisi kama Ana wivu ananitisha..mazee nijiweke au nikaushe??
 
Miruzi mingi hupoteza mbwa
 
Piga tu...kwani ukimwi kitu gani?
Mbona hata viongozi wanao.!
 
Mkuu kuwa makini yawezekana ni kweli au ni wivu tu wa huyo rafiki ake, mi naona kabla ya lolote kuendelea mcheki afya zenu pamoja ili mjiridhishe
 
Kuna utata hapo anatumia dawa ya aina gani.... ??
1. Dawa ( bangi )
2. Dawa ( parasetamo )
3. Dawa ( ya mbu )
4. Dawa ( kikohozi )

Hebu fafanua vyema mzee baba.
 
Back
Top Bottom