Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Sasa si mkapime auu!???tatizo unapenda dry halafu kupima muoga...
Umeona yaani vitu vidogo anahitaji kupewa ushauri mtandaoni.Mkapime kwanza.mbona jibu unalo yani hii mitandao inadumaza akili za watu aagh..

Kwa hayo mapaja yako ni lazima bendi iazishwe....Kama tayari mna NGOMA, tafuteni Guitar, Kinanda mwanzishe bendi yenu

Ndo hapo sasa!! Aagh huyu hata akioa atakuja hapa kuuliza Leo nimpe vingapi mke wangu?Umeona yaani vitu vidogo anahitaji kupewa ushauri mtandaoni.![]()
Ndo maana anaogopa ogopa maana kazoea kuloeka.Sasa si mkapime auu!???tatizo unapenda dry halafu kupima muoga...


Siku hizi hawa wanazingua au ndiyo utandawazi unawaharibu.Ndo hapo sasa!! Aagh huyu hata akioa atakuja hapa kuuliza Leo nimpe vingapi mke wangu?

Ndo maana anaogopa ogopa maana kazoea kuloeka.![]()
bora uloeke uloane,unaloeka halafu unatoka vilevile...hatariiAnazingua huyu hawezi kujiongeza mpaka apewe wazo mitandaoni....Ndo maana anaogopa ogopa maana kazoea kuloeka.![]()

Naona anataka tumshauri akaonje sumu kwa kuilambaAnazingua huyu hawezi kujiongeza mpaka apewe wazo mitandaoni....
![]()
Labda tumwambie hivyo halafu atajiongeza mwenyewe....Naona anataka tumshauri akaonje sumu kwa kuilamba

Samahani mkuu kabla sijakushauri naomba nikuuulize. Unataka kupiga KAVU?Yooi Habari zenu ndugu zangu.,kama nipo katika wakati mgumu hivi..kuna Girl anakujaga Sana ofisini kwetu kwa rafiki yake..mazoea ya Mara kwa tukajikuta tumezoeana Sana..mtoto mkali balaa,taa zimewaka kwangu,na kwake PIA.,plus am single natamani nijiweke..but rafiki yake ambae Ni Mfanyakazi mwenzangu anasema Girl anatumia Dawa..sijui nifanyaje..naombeni ushauri..,sometimes nahisi kama Ana wivu ananitisha..mazee nijiweke au nikaushe??
Njia pekee ya kujua ni mkapime. No other wayYooi Habari zenu ndugu zangu.,kama nipo katika wakati mgumu hivi..kuna Girl anakujaga Sana ofisini kwetu kwa rafiki yake..mazoea ya Mara kwa tukajikuta tumezoeana Sana..mtoto mkali balaa,taa zimewaka kwangu,na kwake PIA.,plus am single natamani nijiweke..but rafiki yake ambae Ni Mfanyakazi mwenzangu anasema Girl anatumia Dawa..sijui nifanyaje..naombeni ushauri..,sometimes nahisi kama Ana wivu ananitisha..mazee nijiweke au nikaushe??
Hahaha! Watu mna maneno.Ndo hapo sasa!! Aagh huyu hata akioa atakuja hapa kuuliza Leo nimpe vingapi mke wangu?