Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

Mimi demu wangu anapendaa kunitumia picha za mgegeduo sijui kwanin
 
Mnaopinga hapa hamjawahi kutuma hizo picha, ndiyo nyie mmejaa kule Instagram tena mnaweka wenyewe public bila hata shuruti ili kila mtu aone kuanzia makalio, vitumbua, dude nk ila mkija JF mnajifanya angels sijui kwanini mnatuongopea,
 
Katika vitu ambavyo cjawahi kuwaza kufanya ni pamoja na hili,.ukiona my PP live wakati wa mgegedo inatosha kama utakuwa na shida ya picha baadae bora ukariri jinsi ulivyo kabisaaa kabla hujasepa,.tena wanaume utawasikia "usitume full picture we tuma tuu nusu..." Weeee weee Wangu wangu tuu hata kama uko nusu kesho niukute fb cjui insta si ntapata sonona hata kama sura haipo....hehehe situmi na siji kutuma ng'ooooo tena nikiona mwanaume king'ang'anizi naku downloadia Google then nakutumia kiroho safii [emoji12] [emoji12] uufurahie...mfyuu.
Google unadownload vp mpendwa unaenda site gani? Tupe ufundi
 
Halafu hii mada hii ni mada chokoziii..
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] cheki sasa Nimejikuta nimestack namuwaza Smart911 tu hapaa mweh!
Ndokwanzaaa saa sita uwiii!!

Mahondaw wa Smart911
Ishafika saa nane sasa hivi love...
Bado muda kidogo sana...
 
Bratan, naona ukitumiwa unajihisi kidume haswaaaa. Hadi mdada kuamua kukuonyesha maungo yake live si mchezo ujuwe
Ndo hivyo Bratan. Sometymz unaamua tu kumpima mtu..Kutokana na misimamo yake unaamini itakuwa ngumu kufanya hivyo..Ataruka viunzi mwanzoni Lakini mwisho wa siku analegeza...Halafu sitaki kuamini kuwa hao niliowahi kuwa nao ni wadhaifu ndo mana wakafanya hivyo...Asilimia kubwa ya wanawake wanafanya hii kitu.Inategemea tu approach ya mtu
 
Asilimia kubwa, tena very educated. Je, hili kina uhusiano na elimu, maana walio wasomi kabisa na madigirii yao, lol.
 
Si wanawake tu hata wanaume wapo kibao wanatuma usiniulize nimejuaje, mm nimewahi kutuma tena sana... Sasa sijaweka sura yangu hata akiisambaza ninani atanijua??? Zaidi ya kujipotezea muda wake....
 
Katika vitu ambavyo cjawahi kuwaza kufanya ni pamoja na hili,.ukiona my PP live wakati wa mgegedo inatosha kama utakuwa na shida ya picha baadae bora ukariri jinsi ulivyo kabisaaa kabla hujasepa,.tena wanaume utawasikia "usitume full picture we tuma tuu nusu..." Weeee weee Wangu wangu tuu hata kama uko nusu kesho niukute fb cjui insta si ntapata sonona hata kama sura haipo....hehehe situmi na siji kutuma ng'ooooo tena nikiona mwanaume king'ang'anizi naku downloadia Google then nakutumia kiroho safii [emoji12] [emoji12] uufurahie...mfyuu.
Wako munini huu???
 
Back
Top Bottom