Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

Kuhusu wenzako wanaojiuza unawasaidiaje
Wenzangu wanaojiuza? Well, wale wameamua kujilipua, hawana cha kupoteza, unajua ni kiasi gani wengi wamejikana nafsi na kuvaa utu mwingine kabisa?

Naongelea hawa ambao wapo na wapenzi/wake au waume zao lakini wanaona sawa kuwatumia picha za utupu.
 
Ntajisikia vibaya sana ila aibu itakuwa kwake zaidi
Itakuwa kwako kama itakavyokuwa kwake, trust me. Labda hujapata watoto hivyo hujui aibu ya watoto nani anaibeba kiongozi.
 
siku zote date na mtu anaejitambua!wewe unadate namtu km@Jordi pola unategemea uhai hapo?? tuache unafki!zote zote zinavutia tu si za kike au kiume! na nyie watumaji msijipige full!ohooo piga maeneo husika ya ajali!
mie nishakuwa mhenga! acha niwe mshauri tu!
 
Uzuri wa "Watakatifu" wa Jf wengi wetu tutasema hatufanyi hivyo kisha kila mmoja atalaani na kukemea tabia hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23]

Binafsi nimewahi kutuma na kutumiwa Sana tu zamani za ushamba wangu wa digital na ulimwengu wa smart phone.


Hata sasa nikitumiwa "nafuta" instantly nimalizapo kuangalia. Najitahidi kulinda privacy ya aliyetuma.
 
Nilikuwa naona watu wanatumiana picha za uchi nashangaa saana tena wengine hardpics kabla ya hizi simu kuenea.

Kwangu tukikutana nafanya yangu nakuachia mwili wako ukajijue nao.
Daby hujawahi kutuma/kutumiwa "mchele"? Dah!!!
 
Mkuu nikiri uliyooengea hakuna hata chembe ya uongo ha moja..! Na sio picha tu mpaka video..!

Hii tabia nimeiona in multiple times... Na kadri siku zinavyozidi kwenda inakuwa kama Fashion...!
MVB Jr asante kwa kuliona tatizo, nadhani watu wanalichukulia easy kwa sababu ulimbukeni wa teknolojia unatusumbua. Lakini tatizo ni kubwa sana.
 



Taio Cruz Lyrics

Play the Taio Cruz Quiz

"Dirty Picture"
(feat. Ke$ha)

I could dream of ways to see you
I could close my eyes to dream
I could fantasize about you
Tell the world what I believe

But whenever I'm not with you
It's so hard for me to see
I need to see a picture of you
A special picture just for me, yeah

So take a dirty picture for me
Take a dirty picture
Just take a dirty picture for me
Take a dirty picture

Just send the dirty picture to me
Send the dirty picture
Just send the dirty picture to me
Send the dirty picture, picture, picture, picture, picture

Snap, snap, uh

Whenever you are gone
I just wanna be wit' ya
Please don't get me wrong
I just wanna see a picture

Take a dirty picture for me
Take a dirty picture
Take a dirty picture for me
Take a dirty picture

Whenever you are gone
I just wanna be wit' ya
Please don't get me wrong
I just wanna see your picture

Take a dirty picture for me
Take a dirty picture
Take a dirty picture for me
Take a dirty picture

The dream of ways to see you
I could close my eyes to dream
Fantasize about this with you
But the way is never seen, oh

Take a dirty picture for me
Take a dirty picture
Take a dirty picture for me
Take a dirty picture

Just send the dirty picture to me
Send the dirty picture
Send the dirty picture to me
Send the dirty picture

Uh, snap, snap, snap

Whenever you are gone
I just wanna be wit' ya
Please don't get me wrong
I just wanna see your picture

Take a dirty picture for me
Take a dirty picture
Take a dirty picture for me
Take a dirty picture

When you're all alone, boy
I got something to give ya
Will ya play along
If I take a dirty picture

I'll take a dirty picture for ya
Take a dirty picture
I'll take a dirty picture for ya
Take a dirty picture

Take a dirty picture for me
Take a dirty picture
Take a dirty picture for me
Take a dirty picture

Send the dirty picture to me
Send the dirty picture
Send the dirty picture to me
Send the dirty picture, picture, picture, picture

Snap, uh, snap, snap
Click, click, snap
 
Hahaha. Kwani hayo matumizi mengine hujayaona au unanichimba tu mkuu
Teh, mkuu nataka tu kufahamu. Wanasema, "90% ya wanaume wamewahi kufanya masturbation at least once katika maisha yao"

Au umewahi kumuadhiri aliyekuwa mpenzi wako kwa kusambaza utupu wake?
 
Hilo swala siezi lifanya hata iweje ndo Yale mambo ya mjigombana zinakua wazi akaaaa siezi
 
Uzuri wa "Watakatifu" wa Jf wengi wetu tutasema hatufanyi hivyo kisha kila mmoja atalaani na kukemea tabia hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23]

Binafsi nimewahi kutuma na kutumiwa Sana tu zamani za ushamba wangu wa digital na ulimwengu wa smart phone.


Hata sasa nikitumiwa "nafuta" instantly nimalizapo kuangalia. Najitahidi kulinda privacy ya aliyetuma.
Hahaha, nimependa hiyo 'watakatifu wa jf'. Umesema kweli ngoda, ulimbukeni wa smartphone na teknolojia ulitubeba wengi, hadi tukaja kujitambua mda ushapita sana.

Lakini je, mke wa mtu kumtumia mchepuko utupu wake ni sawa kweli?
 
Mkuu Eli79 Asante kwa maada janga maanake kwa sasa swala hili ni janga kwa watu walio wengi

Kwa maoni yangu kwanza kuhusiana na sababu naweza sema hakuna sababu ya kujustify swala la kutumiana picha za utupi
1.kuna njia nyingi sana za kujua ikiwa mpenzi wako amekufa ameoza kwako na kujiona mshindi kuomba picha ya utupu ni kumdhaliliha mpenzi wako,unajua hapo katikati kuna nini na nini mpaka ikakufikie
2.Yeyote anayetumia picha kumblck mail mpenzi wake hana mapenzi ya dhati na sio mtu wa kumwamini kabisa coz anaweza akafanya a worst thing that that
3.No need of pikishaz muimagine mpenzi wako kwa kichwa inatosha basi

Mwisho asante kwa angalizo na I hope watu watastuka kidogo na kasi ya kutumiana hizo picha itapungua
 
Back
Top Bottom