Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

Naskia na vitabu via dini vinazungumzia habari ya mke wa farao alivyotaka kufanya mapenzi na yusufu kwa kumradhmisha na yusufu alipokataa alimshika kwa nguvu na kisha yusufu kukimbia na kumwachia Shati lake na kuna sehem aliumia mke wa farao akaona yusufu atasema kwa farao,wachambuzi wa vitabu vya dini wanasema laana hiyo ili kwa wanawake karibia wote na pia ktk familia c kweli watoto wote ni wa baba mmoja wanawake wanamtindo wa kuzini nje ya ndoa na kuzaa kisha kusema yule mtoto ni wa mmewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom